My campany ya minja kilimo nawashukuru sana ndugu zetu ,kwa elimu mbalimbali mnazo zitowa kwa wakulima weni tuna wapongeza sana kwa kazi hiyo. Sasa kwa mimi ambaye ndo kwanza kuanza kupata wazo la kufanya kilimo cha nyanya Nina omba kwenu kutufanyia elimu kadiri mambo yanavyo fuatana .Ili nasisi tupate kujuwa kitu kupitia mafunzo yenu.(kwa mfano:kuanza kitalu hadi mavuno, kwa upande wamaandalizi ya shamba.) 2 (kwa ajili ya matunzo ya mmea,kuanza kitaluni hadi mavuno) 3 ( matumizi ya mbolea na viwatilifu mwanzo hadi mwisho.)nahapo Nina Imani kwamba hatasisi wa changa tuta toboa Katika kilimo chotara,kupitia campany yetu ya minja.
Tushakuandalia video zote kuanzia matunzo ya kitalu,matunzo ya nyanya ya wiki moja mara baada ya kuhamishia shambani, MATUMIZI ya mbolea kwa hatua mbalimbali na nyingine nyingi cha msingi fatilia video hizo na endelea kutufatilia kwa mafunzo zaidi
Aisee! Mungu awabariki sana .point ya kuanza na robo heka imenigusa sana

Nashukuru kwa elimu hii ningependa nipate kitabu cha kilimo cha nyanya
Hatuna kitabu cha kilimo cha nyanya tunakitabu cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA
Nimepanda nyanya lakin majani yanakuwa na rangi ya zambalau tatizo Nini?
Pole tatizo ni upungufu wa kirutubishi cha phosphorus unapaswa ndani ya wiki ya kwanza mpaka ya pili Toka kupandikiza uwe umeweka DAP.
Kitabu nakitaka leo kesho nakiptaje
Kitabu nakitaka leo kesho nakiptaje
Kitabu nakitaka leo kesho nakiptaje
Unatumiwa kwa Whatsapp au email mara baada ya kuchangia 5000 kwenye 0678231427 Emanuel Minja