Varda Arts - Tazama Tanzania (Top-Ten Competition)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @tunuwaviwango7751
    @tunuwaviwango7751 11 หลายเดือนก่อน +2

    2023 Jambo Habari gani?Nzuri salama Tanzania Tanzaniaaa 🇹🇿

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 8 หลายเดือนก่อน +2

    Uzuri was Tanzania bila kujali rangi na jinsia wala ubaguzi, asanteni Varda arr this was the best and still the best song ever

  • @abdoolshakuruswalehe546
    @abdoolshakuruswalehe546 2 ปีที่แล้ว +3

    Leo tareh 7 Dec 2021 kwangu haichuji

  • @Kicbjamii
    @Kicbjamii 8 ปีที่แล้ว +24

    Kwangu unapozungumzia wimbo bora wa wakati wote kuhusu Tanzania mbali ya wimbo wa Taifa na wimbo wa uzalendo wa Tanzania Tanzania, wimbo huu naupa nafasi ya pekee sana, nilitamani sana nijue ni kina nani walioimba lakini nashukuru kwa kuwa mmeamua kuuweka hapa... nimetaabika miaka takribani kumi tokea nianze kuusikia wimbo huu TBC enzi hizo RTD kuutafuta ila hamad, leo ni historia... shukrani kwenu Varda Arts.

    • @abdallahmohd7844
      @abdallahmohd7844 7 ปีที่แล้ว +1

      Sio Leo sisi miaka hiyo

    • @ramadhankimbeiye8293
      @ramadhankimbeiye8293 6 ปีที่แล้ว +2

      Kicbjamii, nakubaliana na wewe, hawa jamaa ni wazalendo wa ukweli.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 6 ปีที่แล้ว +2

      @@ramadhankimbeiye8293 ninaandika historia yao tangu walipoanza muziki! Sio mchezo!

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 4 ปีที่แล้ว +2

      Indeed! Huu wimbo unanifanya nizidi kuipenda Nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @hassanbangu7552
      @hassanbangu7552 3 ปีที่แล้ว +1

      Huu wimbo uliimbwa mwaka gan

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana...Nawapenda Varda band

  • @magretjames9971
    @magretjames9971 3 ปีที่แล้ว +3

    Tuliopo 2021 tujuane

  • @Kiburudisho
    @Kiburudisho 7 ปีที่แล้ว +8

    Hakika nilikuwa nautafuta sana huu wimbo nimefarijika sana kuupata huu wimbo pia jina la kundi lililouimba huu wimbo

  • @tunuwaviwango7751
    @tunuwaviwango7751 11 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah Hongereni sana

  • @hassanrashid224
    @hassanrashid224 7 ปีที่แล้ว +8

    nakumbuka mbali sana enzi hizo za rais ali hassan mwinyi mzee ruksa

  • @htwwkha2179
    @htwwkha2179 4 ปีที่แล้ว +3

    aisee mliitangaza tanzania vyema.hii ndio talent.

  • @yusuphelphace4795
    @yusuphelphace4795 7 ปีที่แล้ว +2

    Huwa siichoki kuisikiliza, nawapenda Vard Arts, nyimbo enzi zetu za utoto nipo class 1 natoka shule hapo njian RTD inapigwa kanjaa kanauma hapooo

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 3 ปีที่แล้ว +2

    Wooow what a song!

  • @joylinedesdery9453
    @joylinedesdery9453 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika huu wimbo uwa nakupenda sana

  • @Manomacho
    @Manomacho 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndo ilikuwa live band sasa

  • @alloys-barakaitangaja2531
    @alloys-barakaitangaja2531 3 ปีที่แล้ว +3

    NIMEFURAHI KUKUTANA NA KIONGOZI WA VARDA INGAWA NI HOSPITAL AKIWA AMEUMIA MKONO. MUNGU AMPONYE HARAKA AENDELEE NA KAZI

  • @akinandrea3911
    @akinandrea3911 5 ปีที่แล้ว +3

    Ingependeza sana kama sauti ingekuwa clear maana napenda sana hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana kipindi hicho uzalendo ulikuwa juu

  • @mohamednyundo5909
    @mohamednyundo5909 8 ปีที่แล้ว +4

    I like the video

  • @hassannasir4561
    @hassannasir4561 7 หลายเดือนก่อน

    wakati wa mzee Rukhsa mzee Ally hassan mwinyi aliyetutoka hivi punde basi nikiiskiza nakumbuka kipindi chake

  • @jumakitadu8674
    @jumakitadu8674 2 ปีที่แล้ว

    😓😓😓😓😓 nakumbuka mbali mno

  • @nimrodsigulu2053
    @nimrodsigulu2053 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanajiimbia imbia tu sasa hivi alafu tunalzimishana tuwapigie kura eti washinde. Kwa kipi wanacho imba...?

  • @jacobjustin4155
    @jacobjustin4155 2 ปีที่แล้ว

    2021

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 3 ปีที่แล้ว

    Wahindi walio ishiwa hawa

    • @omarymwinyi3750
      @omarymwinyi3750 3 ปีที่แล้ว +5

      Acha ubaguzi wewe

    • @albushraonlinetv4371
      @albushraonlinetv4371 2 ปีที่แล้ว

      Hawa sio wahindi walio ishiwa hawa ni wahindi walio jiona wao ni wa Tanzania. Ambayo baadae wakaonekana Kama vile sio watu wa maana.

    • @obed_artz5418
      @obed_artz5418 2 ปีที่แล้ว +2

      Punguza ubaguzi kijana bila shaka hawa wamezaliwa na kukulia hapa Tanzania licha ya asili yao kua ni india hivyo ni watanzania" ukienda marekan or ulaya utakuta waafrika kule wakiwa na utaifa wa mataifa ya huko licha ya kua wao ni weusi licha ya kua wanapitia changamoto za kubaguliwa ila nao ni wamerakani ... so tuishi kwa upendo tu na tushirikiane kama jamii moja"

    • @michaelsiweya4969
      @michaelsiweya4969 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni Watanzania wenzetu wakiiimbia nchi yetu nzuri iliyobalikiwa na Mungu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hauna akili wewe mweu

  • @hassanrashid224
    @hassanrashid224 7 ปีที่แล้ว +5

    nakumbuka mbali sana enzi hizo za rais ali hassan mwinyi mzee ruksa