GEOFF LEA AMKATAA PACOME ZOUZOUA/ KIWANGO KINATIA MASHAKA/ BALEKE MZIGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Pacome Kawa pakomwe😂😂😂😂😂😂
Nyie mnazingua, game gani ya kumchambua🎉 pacome,, Gamond anawavuruga soon 19 mtamuelewa
Hao wachambuzi wanaosema pacome ameisha ni wapumbavu ambao hawajui mpira wakachambue nage tu. Jana kwa dakika 20 alizoingia Pacome alitoa clear goal passes zaidi ya 8 wakina kibabage wakizipididdy. Hiyo hawakuiona mbwa hawa
Wengi ni mashabiki wa simba mmiliki wa redio ni simba Ali Kiba Kikeke wote ni simba una fikiria nini
Wkizipidydy😂😂😂😂😂😂
Naomba frequency za crown fm Tanga
Wachambuzi wa Bongo bwana,kila uchao wanakuja na lao.
Eti pakome Ameisha kisa mechi tatu na hajakosea chochote zaidi ya macho ya makengeza ya wachambuzi.😊😊
Umewaelewa lakini au umeamua tu kusema hivyo Jeff alichosema huwezi toa kasoro kwa mechi chache kumponda pacome sa ubaya uwapi hapo
Nyie mnashindwa kuchambua ckuiz dah
😢Leo umeongea vzur
Mashabiki wa bongo wajinga wanataka pakome afunge ndo wajue anakiwango kizuri hawaoni jinsi anavyoitengenezea nafasi timu
Hahaha huu mwak mhh wachambuz jmn