😂😂😂😂 bi mdogo shukran kwa kushika usukani wa bimkubwa ,yani wewe ndio ungekua bimkubwa wallahi wapili na watatu asingeingia...kudos 👍 for the good job crew ...msitueke sana basi maana sikwa utamu huu
Na nlijua tu mke wapil anauwezo mkubwa wakufanya anachotaka ila ni mwema sana anashindwa kuvunja heshima mbele yawakubwa zake nimefrah alipompa kichapo mke mwenzake ili awe na akil lakin kwavile anatabia ya kinafik hawezi kujua kua yale nimapenzi kwa dada ake.😂😂🎉🎉🎉
Hizo ndizo tabia za wake wa nyuma na huyo mwanamke asinge nyooshwa angewasumbuwa wenzake mjinga aliwakuta wenzake wameka vizuri kwanza amezima taa alafu akaanza kazi nzuri
Mke wa pili chukua mauwa yako 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 mume hujui uliowa mke ambae hakufai Bora hao wawili kuliko hyo mwanahizaya😂😂😂😂😂kavyoga kusudi Kisha kasema umbu utakoma mwanahizaya huna hata sura Kisha warinda😂😂😂😂😂😂
Mchezo mzuri.maoni yangu hayo mavazi na mambo ya ndani ya mke wa tatu nadhani hayaendani ya maigizo kama haya yenye kunasibishwa na dini. Ni mtazamo tu.
Huyo mke watatu sio tu mbaya adabu hana ata kidogo 😢nahao marafik zako ndio watakaokuvunjia ndoa yako basi hata usishirikiane na wake wenzako lakin usiwe mjinga pia ktk ndoa yako,na huyo mama mkwe wetu yuko wapi?mbona kakimbia nyumba 😂😂haji akakutana na kimbembe cha tatu.
😂😂😂😂 bi mdogo shukran kwa kushika usukani wa bimkubwa ,yani wewe ndio ungekua bimkubwa wallahi wapili na watatu asingeingia...kudos 👍 for the good job crew ...msitueke sana basi maana sikwa utamu huu
Mke mdogo kibokoo 😂😂😂😂 Nipeni like Kwa niaba ya mke mdgoo
Jamani nilikuwa nilisha wa miss Sana. Kwanini munashelewa jamani Eeeeee 😢plz don't make that long. US love u guys 🎉🎉
Ila mke wa pili apewe maua yake kanifurahishaa sana kwa alivyomnyooshaa mwanaizayaa 😅😅😅 gonga like
🎉😂😂😂
Mke wa pili nmekupenda bure sio kwa Mikanda hiyooo ❤❤
Mke wapili umenifurahisha sana umetunyooshea huyo kizabizabina😂😂😂😂🎉🎉
😂😂😂😂
😅😅😅😅😅 nimecheka
😂😂😂
Nakupenda sana mke wa katikati yani wapir nakupenda sana
❤❤❤❤
Kazi nzuri sana hakika mnajua ,mke wa pili unampa somo mke wa tatu atashika adabu
Na nlijua tu mke wapil anauwezo mkubwa wakufanya anachotaka ila ni mwema sana anashindwa kuvunja heshima mbele yawakubwa zake nimefrah alipompa kichapo mke mwenzake ili awe na akil lakin kwavile anatabia ya kinafik hawezi kujua kua yale nimapenzi kwa dada ake.😂😂🎉🎉🎉
maasha'Allah hiyi movie inanivutia kuoa mkee wapili kanifurahisha mkee wapili huyu Laila kinomanoma sana. Allah awahifadh wanawake wote wanaopenda ukee wenzaa Allahumma aammiin
Allahumma Aamiin
Mke w pili hongera sana ww ni mkali sana mjooshe mke mwenzako
Jamani mke wa katikati yupo kama mimi hapendi ujinga 😂😂 nawapenda mtuwahishie sehem ya tano ishaallah❤🎉
Safi sana mkwe.wa pili ww ni mwanamke na nusu🎉🎉🎉🎉
Hizo ndizo tabia za wake wa nyuma na huyo mwanamke asinge nyooshwa angewasumbuwa wenzake mjinga aliwakuta wenzake wameka vizuri kwanza amezima taa alafu akaanza kazi nzuri
Mke wa pili chukua mauwa yako 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 mume hujui uliowa mke ambae hakufai Bora hao wawili kuliko hyo mwanahizaya😂😂😂😂😂kavyoga kusudi Kisha kasema umbu utakoma mwanahizaya huna hata sura Kisha warinda😂😂😂😂😂😂
Mke wa kati kanywe thodaaaa❤❤❤❤❤
Mashaa Allah jamani mke wapili hongera sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ehee kumekuja pamekuja cemsha bongo wacaweee wakrwenza shikamo😂😂😂😂
Jamn mnatucheleweshea Sana jamn nawaomba jitahidin maana mtu tunasubili adi wiki mbili zote Ila muvi nzur sana❤❤❤
Yan mke wapili jaman wanikosha kwl sijaona ❤❤😂😂😂
Bi mdgo wa pili uko vzr nimeipenda sn ulivyomunyosha huyu kidudu mtu umefanya pouw akweheshimu
Leo nimecheka Sana ,staili ya mbuuuu😅😅😅
Safi Sana mke wa pili kazi nzuri sana kumfunza mwanamtama adabu
Anasula mbaya hatari angekuwa kama wezake sijui angekuwaje
😂😂😂 nimependa hiyo discipline atanyooka tu cha ujeuri mwanamtama😂😂😂😂
Nawapenda Sana mke wakwanza na wapili🎉🎉 ila huyu watatu
Mwanamtama😂😂😂 nimeipenda
Mimi nikimuona tu nacheka😂
😂😂😂 jamaa bwege kweli hili hhhh ila wanawake hatari anawz kushikwa hata ustadh au shekh na akatulia tuli 😂😂😂
Mke wa kati😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimekupenda bule😂😂😂😂😂❤❤❤🎉
😂😂 jamani mke wapili maruhani wako wakali hawataki mchezo nataka umnyooshe hadi angie kwenye laini sawa huyo bi kidera bila nywele 😂😂😂
Huyu Bibi mdogo nikinganganizi lkn Bibi wa pili Kazi kwako mpee adhabuhongera bibi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mchezo mzuri.maoni yangu hayo mavazi na mambo ya ndani ya mke wa tatu nadhani hayaendani ya maigizo kama haya yenye kunasibishwa na dini.
Ni mtazamo tu.
😂😂😂😂atajua hajui uji wa mtama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Umeshindwa tena 😂biwatatu
Ukomuongo
Wakewenza Wana tabiyambaya niweye jonbaya
Tabiyazako mbaya
Zafizuri
Sasa yanakushinda tena😂
Kabisaa
Huyo mama anataka kuharibu anapenda ushirikina sana
Jamani uyu dada jamani sasa uyu mama mkwe katuleteya kizingiti mumeee fanya ukiyoe hakifai ndonakwambia ohoooo
Hee jamani huyu mke wa tatu hatar wala hana sura 😂😂😂😂😂je angekuwa kama hawa wawili wenye sura zao sijui ingekuaje
Kwel tena ana kiherehere ngoja 2 ataoshwa sas hiv😂😂😂😂
Hatari kidogo n vynye yuaringa xx 🤣🤣🤣🤣🤣
@@AsiaFujo-mb8jz 🤣🤣
@user-sk4yh5kw9j kumekucha
😂😂😂cjui niseme ila ngoja niseme2 huyo mke wa 3 ananywele kama mchicha bange😂😂😂
Big up mke wa pili nimekupenda bule
Mnaichelewesha buana
Season nzuri lkn mnazichelewesha
Jamani muvi tamu Jamani msicheleweshe jamani
Kazi nzuri jaman ila unachelewa sana kaka nawapenda sana wake wawili hao wakwanza nawapili ❤️ so much
Samahan ntawahisha jamn nakupenda pia
Kwel wanachelewa
Kwel wanachelewa
Nikecheka 😂😂 bi mdogo anavyo chezea visago hahaha fatuma yupo vzr yangu sijawahi kumuona akaregea bi mdogo ukipendwa pendeka
😂😂😂😂
@@BinMahsen hasa mbona hukujitokeza ukamtee Hahaha na huyo mama mkwe nazan dawa yake ipo jikon na yy Hahaha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Asante shosty kwa kukiwasha 😂😂😂😂😂😂
😂😂 bi mdogo wa pili kajua kumnyoosha mtu aendeleze uzi huo huo.maana aliingia kwq bwebwe saana
😂😂😂😂
Tena sana❤
Yan mke wa 3 namchukia mpaka namchukia tena na msura wako huwo nyaw wew waheshim wenzako mbuz wew
😂😂😂😂😂
Jaman mbav Zang huy dad Kaz anayo lazm majuba ayavae t. Maan sio kwakukanyagwa huko😂😂😂😂😂😂😂
Jamani nawa❤penda ila munacelewesh
Jamn polee nasi pia
Mke WA tatu mkorofu mno sipende❤❤❤❤EP 5 1:29
MashaaAllah
Kazi nzuri jaman lakin muna chelewa wengine twafarijika mana tupo wapweke sana yani dahh kazi nzuri ❤❤yani nikirudi tz ntawatfuta jamn
Jamni karibu ssna udiache kutuletea zawad
Aki uyu mke wa watatu anavyojibebisha aibu najionea Mimi 😢😢😢
Yani wake wenza wote angekuwa hivi tungenyooka😂😂😂
Mwana mtama tena uwele😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂mbuuu wamezidi
Jamani hi movi ninzuri
Bimdogo ungechukuwa gongo 😂😂😂
Mnachelewesha sana
Kesho inshallah itakuwa hewani
😂😂😂😂😂😂 Mke wakat uko 🔥🔥🔥🔥🔥 kwa kumnyoosh bimdog saf san hongern kaz mzur
😂😂😂🙏
😂😂😂😂😂bimdogo 😂😂😂 pole xn
Mke mdg nime mpenda bureee❤❤
Mwanamke huolewa kwa mambo manne alaf ikasisitizwa din ila huyu mmmh
😅😅😅😅😅😅😅😅mke wa pili safi
😂😂 apewe maua yake leila uwiii
😂😂😂😂😂😂kumekucha huku
Shukran kazi nzr lkn usicheleweshe sanaa
Sawa samahan.Kwa kuchelewa na asante kwa suport
Huyo mke watatu sio tu mbaya adabu hana ata kidogo 😢nahao marafik zako ndio watakaokuvunjia ndoa yako basi hata usishirikiane na wake wenzako lakin usiwe mjinga pia ktk ndoa yako,na huyo mama mkwe wetu yuko wapi?mbona kakimbia nyumba 😂😂haji akakutana na kimbembe cha tatu.
Nimbuu 😂😂😂nimewapenda walah
Mwanamtama ametiwa shule 😂😂😂msicheleweshe mzigo
😂😂😂😂
Mke wa tatu wala sio mzuri sura kaa mm 😂😂😂😂😂 kisha ana maringo
😂😂😂
Atanyooka tuu.😂😂😂😂
mapez ya mke wa tatu fayaaa😂
Nakukubali mke wa pili ❤
😂😂😂ila mke wa pil pongez san kwa kumnyosha huyu baikoko 😂😂
Hahaha baikoko
Kabisa angempa talak akaenda pia😂
❤❤❤❤mke wapili the best
Shukrani
@@BinMahsen Afuen
𝙼𝚔𝚎 𝚠𝚊 𝚙𝚒𝚕𝚒 𝚗𝚊𝚔𝚞𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚋𝚞𝚛𝚎𝚎❤
Umechoka tena 😂😂😂
nimecheka sanna😂😂😂
Jaman had rah ila huy xhost nixhd tup yan
Nawapenda mno ❤❤❤❤❤❤
😹❤️❤️❤️
Daah mke mdogo kibokoo
❤❤jamani usituchelw
eweshee❤❤
Mke mdg Jaman ananikosha ❤❤❤❤
si Wampige tu
Jamni jamn watafungwa
Mke watatu sasa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Ila mke wa kati daaah umenifurahisha aisai kongole.
🙏🙏🙏🙏
Wakwanzaaaa jamani uwiiiii😅
❤❤❤❤❤❤❤
Bibi mdogo mdomo hila atakipata surabaya hovyo
Ameyatimba
Mbn mke wa3 ako moto jaman nyumba itamshinda hyu 😂😂😂😂 jaman ashuke nywele bc
Mke wapil Asante san chukua Maya yak mnyoosh huy boya
😂😂😂😂 I like mke wa pili
Riyone mke 3. Ananikela
Nyo utapigwa mpaka unyooke
Mwasitahili nyie wawili watu wamelala mwenda wagongea akua mwataka nn kama sio kichambo😂😂mkome mzidi
Umbea umewaponza
Honger san mke wa pili😂😂😂😂
Asante
Huyu mke wa 3 ni kiboko 😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂huyo mke wa tatu nilijua ni mwanaume
Mke wa pili nimekupenda
Wew mwanaume nawe zoazoa sabuni mtu,mwenyewe mbaya alafu ananyodo kwawezio
mke wa tatu yuko rafu rafu sura ngumuuu😂😂😂
Mke wa Tatu sura tu navumilia lkn mahaba ni kwao mume kwisha khabari yako ww
Huyo mke wa tatu jamani Ana sura ngumu hatari 🤣🤣🤣🤣🤣
😉😉😉