Kauli ya kwanza ya Qayllah baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Taifa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 49

  • @DaudJackson-m9y
    @DaudJackson-m9y 26 วันที่ผ่านมา

    Nikupongeze mwenyekiti wa chipukiz taifa unajiamini simamia kazi Yako vizuri mwanangu mungu akulinde usiku na mchana

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana binti.Hiki chombo wana CCM tukitunze.Hongera Bilali.🎉🎉🎉🎉

  • @muna1165
    @muna1165 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada kaira

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 ปีที่แล้ว +3

    Mwenzenu namuona Joket mdogo wow

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 ปีที่แล้ว

    MashaAllah hongera sana Qaira ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 ปีที่แล้ว +6

    Sasa wewe husojielewa sema siasa mchezo mchafu siwez muingiza mwanangu wakat hapo unataman hata uteuliwe ubunge viti maalumu huwez sababu baba yako alikua bize kucheza dansi hakukufundisha chochote😂😂😂

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi ปีที่แล้ว

    Nimependa❤

  • @AliChwaya
    @AliChwaya 9 หลายเดือนก่อน

    Vijana ndio taifa la kesho waswahili wanasema binadaam sio samaria kwa maana ya kwamba samaki kadri anavyokuwa mkubwa anazidi kuwa na nguvu lakini binaadam kadri anavyozidi kuwa mkubwa anazidi kuwa dhaifu hivyo tunapaswa kuwapa nafas vijana na kuwawezesha

  • @ShaniSudi-g3r
    @ShaniSudi-g3r ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @Umkuluthum
    @Umkuluthum ปีที่แล้ว +1

    Congratulations

  • @TanziruJambia
    @TanziruJambia ปีที่แล้ว +1

    Very good 🎉

  • @VenySichimata-ll5mx
    @VenySichimata-ll5mx ปีที่แล้ว

    Nimempenda buree huyu mtt

  • @AgnethaKapinga
    @AgnethaKapinga ปีที่แล้ว

    Ongera sana sana sasa piga kitabu utimize ndoto zako

  • @WitnessChristian-t7i
    @WitnessChristian-t7i ปีที่แล้ว

    Dogo yupo vizuri

  • @elizabethraymond6388
    @elizabethraymond6388 ปีที่แล้ว

    She is so smart

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂hii ndo Tz

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 ปีที่แล้ว +1

    Huu ujinga upo Tz tu trust me😂😂😂😂😂😂😂

    • @AhamdSaid-ej6gg
      @AhamdSaid-ej6gg 2 หลายเดือนก่อน

      Na hata wajinga kama nyinyi mup Tanzania tu

  • @aud548
    @aud548 ปีที่แล้ว +3

    Mwaka 2050 Dogo wa Mwigulu akiwa mbunge wenu Iramba msishangae😂😂😂😂 its all in cycles...

  • @lajo.
    @lajo. ปีที่แล้ว +4

    Kwa mbali Qaillah kama Joketi

    • @kaizajr8991
      @kaizajr8991 ปีที่แล้ว +2

      Kwa maono yangu Jokate anabahati, ila huyu mtoto ana maandalizi ya siasa toka udogoni hivyo ni vigumu sana kuja kumuona kwenye mambo kama ya u miss, muziki, baadh ya scandals maana amejua njia yake mapema sana. Unadhani da Jokate angejua atakuja kuwa hivyo angecheza kama video vixen kwenye nyimbo ya Diamond !!????

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nimeona hivyohivyo aisee

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 ปีที่แล้ว

    Vyama vyengine vikifanya hivi kwa watoto huambiwa wanalea watoto kisiasa

  • @salehhassan87
    @salehhassan87 ปีที่แล้ว +2

    Dogo yupo vzr ahongere

  • @issakitundu617
    @issakitundu617 ปีที่แล้ว +2

    CCM ni chama flani hivi kina mikakati yenye akili sana katika nchi hii, inaandaa viongozi wa baadae kila kukicha.
    Kuna vyama bado vinapoteza nguvu kupinga kila kitu badala ya kujiandaa na uimarishaji wa chama

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    HIVI MNAOSIFIA HILI SWALA LA HUYU MTOTO KUSHINDA HAMUONI KUWA SHERIA INAKATAZA WATOTO KUHUSISHWA NA SIASA CHINI YA UMRI WA MIAKA 12 HADI KUMI NA NNE?NA VYAMA VINGINE VIKIANZA MTINDO HUU TUSIJE ONA MSAJILI WA VYAMA ANAWAZUIA

  • @MastoMasto-iy4nl
    @MastoMasto-iy4nl ปีที่แล้ว +2

    Uyu mtoto mjanja kama babayake vile

  • @HelenTsere
    @HelenTsere ปีที่แล้ว +4

    Eti ana miaka mingapi huyo binti?

    • @SidatiSaidi
      @SidatiSaidi ปีที่แล้ว

      11

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 ปีที่แล้ว +3

      Hongera binti yetu miaka 11 namuona Samia wa badae maashallah mungu akupe umri mrefu na afya njema inshaallah

  • @MkisiStylish
    @MkisiStylish ปีที่แล้ว

    Hii ngoma imeimbwa na wangoni tukiaachana na CCM😂

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 ปีที่แล้ว +2

    Chipukizi? Are we serious, hii nchi imeoza kiasi gani jamani. By the time they are 18, yatakuwa majangili kuzidi akina Kinana and co! How much stupidity can we torelate in this country!

    • @doreenchuwa3630
      @doreenchuwa3630 ปีที่แล้ว +2

      Kiongozi bora anatengenezwa na wewe , wacha mawazo mgando. Na wewe tengeneza watoto wako wafike hapo. Uache kuita watoto majangili

    • @DICKSONTimoth-xk7rj
      @DICKSONTimoth-xk7rj ปีที่แล้ว

      ​@@doreenchuwa3630kabisa yaani kuna watu wengine wanaongea upumbavu tu

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 ปีที่แล้ว +1

      ​@@doreenchuwa3630machizi tu ukiyaambia andaa damu yako ije ikomboe taifa wanashinda nao kwenye vigodoro alafu wanatukana watoto wa wenzao.

    • @chiefchacha2992
      @chiefchacha2992 ปีที่แล้ว

      Sasa hizo ni itikadi za kichama mkuu,
      Why're u so furioud Tata....!
      Ndo maana CCM watakuwa wakishinda kila siku, kwani wana msingi imara sana,
      Wamejijenga mashinani kuliko chama chochote....!
      Wana MTAJI mkubwa wa WATU kuliko wengine, na hizo sio FEDHA za serikali ndugu ni za CCM wenyewe...
      Najua point ya mwisho ndo utashika...

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g ปีที่แล้ว +1

    Uchaguzi wa matawi na kata ccm bila mbumge na diwani kuamua ni bure,hupiti,ccm ni walewale.wanasafisha njia,sasa ni aibu kwa chama.

  • @Amiri6Baba
    @Amiri6Baba ปีที่แล้ว +2

    Hii inchi ina vituko sana 😂

    • @PeterKondo
      @PeterKondo ปีที่แล้ว

      uwez elewa sasa hv ila mungu akikupa uhai miaka 25 mbele utaelewa😂

    • @frankmlalila1705
      @frankmlalila1705 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 ปีที่แล้ว

    Hiii nchi ni yaajabu sana watu wapo bize kupromoti vitu vya kijinga inchi inapotea kimaadili wanaume wanapakuana uku leo mijitu inasema mpeni laaaa haya mwisho tutaona hizi propaganda mnazofanya mwisho wake nn

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว

      Yn ni ujinga mtu wnaalibu pesa kuandaa ujinga km u ndo mana magu alifuta u ujinga kbs

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 ปีที่แล้ว

      Kwani si wameamua kupakuana unataka kuwafanya nini

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 ปีที่แล้ว +2

    New thieves on training

  • @teddysanga1840
    @teddysanga1840 ปีที่แล้ว +2

    utawala wa kifalme

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว

    Ujinga mtu ccm yn