Madereva wa malori hasa FAW acheni tabia ya kuweka magari free pindi mnaposhuka mtelemko maana matokeo yake mnawasababishia matatizo hata ambao hawauski,hayo magari mnaendesha ni dhamana mmepewa kwahyo acheni mazoea kwenye gari yaani hazina utani maana tabia ya gari ni kwamba usipolichagulia namna ya kwenda barabarani lenyewe litakuchagulia pa kukupeleka kama mnavyoona
BAJAJ MBEYA NI NYINGI SANA HALAFU BARABARA NI NDOGO MNO SERIKARI ILIANGALIE HILI
NA AJALI HAZIJI ISHA KWA MBEYA BILA KUONGEZA BARABARA
Polen sana mungu awasimamie
Daa poleni ndugu zangu
Ni kipi kinaipa mbeya kuwa jiji😢😢
Mbeya kwanini hakuna barabara mzuri hivi viongozi hawaoni hilo 😇
Madereva wa malori hasa FAW acheni tabia ya kuweka magari free pindi mnaposhuka mtelemko maana matokeo yake mnawasababishia matatizo hata ambao hawauski,hayo magari mnaendesha ni dhamana mmepewa kwahyo acheni mazoea kwenye gari yaani hazina utani maana tabia ya gari ni kwamba usipolichagulia namna ya kwenda barabarani lenyewe litakuchagulia pa kukupeleka kama mnavyoona
Inaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
Pole wafiwa
Polen 😂😂😂😂😂😂
Tz Bona ama ni kafara