JUMA NATURE AKATAA TENA SHOW YA WASAFI FESTIVAL RUANGWA MBELE YA A.Y

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk ปีที่แล้ว +3

    Juma nature kiboko ,nyimbo zake hazija fifia na ziko sawa na kaki sanaa.

  • @nicholasmwangome7979
    @nicholasmwangome7979 ปีที่แล้ว +2

    Wasafi chama lao ❤❤❤❤

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk ปีที่แล้ว +1

    Madhabiki ndio wafalme so wasani fanyeni kazi kweli kweli na performance kali sana.Juma nature namkubali sana na anajuwa music na kuperform stage so Juma Nature liamshe Dude .so TNC fanyeni kitu na mukipiga collabo mudaidike pia.Hakuna kushindikizana kwenye utajiri lets share the cake to add value to life.

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 ปีที่แล้ว +1

    Umekaa poa Sana hiyo. Diamond God bless you

  • @KaduchuSanga
    @KaduchuSanga ปีที่แล้ว +1

    wote wasanii wa zamani nawakubari sana.mabraza yeree

  • @PreygodMariki-pm1ym
    @PreygodMariki-pm1ym ปีที่แล้ว +1

    Nipo Moshi kilimanjaro nawachekiiiiiiiiiiiii

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 ปีที่แล้ว +1

    Juma nature mshamba wasafi waachane nae Ugolo na Banana vinamchanganya

  • @prosperndelwa4560
    @prosperndelwa4560 ปีที่แล้ว +1

    Legendary

  • @AllyBakari-x3m
    @AllyBakari-x3m ปีที่แล้ว +3

    vip iyo kofia ya jeshi

    • @bongo24.
      @bongo24.  ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk ปีที่แล้ว

    Kwa kweli Diamond anaweza biashara so wasani wa bongo wazingatie siku za usoni na kulinda na kuzidi kuinuwa Brand ya wanamuziki ili kila mwanamuziki anaye jitahidi afike mbali na pesa mfukoni.

  • @MUSTAFAMIRAJI-rp2dz
    @MUSTAFAMIRAJI-rp2dz ปีที่แล้ว

    Bro kofia iyo?

  • @enoskilongo7685
    @enoskilongo7685 ปีที่แล้ว +1

    AY kumbe mjeshii

    • @jullythedone8615
      @jullythedone8615 ปีที่แล้ว

      Nmekuelewa hapo dadeki ndy wakamkamate sasa

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 ปีที่แล้ว

    Mmakonde anawapa sana tabu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว

    Safiiiiiiii

  • @ishengomarugemarila908
    @ishengomarugemarila908 ปีที่แล้ว

    Bongo flea yenyewe ndoiyo

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 ปีที่แล้ว

    Nyie mnazinguaga mnakuwaga wanyonyaji sn

  • @RutaRubedi
    @RutaRubedi ปีที่แล้ว

    Kwani AY hajui kama kuvaa nguo za jeshi ni makosa? Mbona kavaa kofia ya jeshi

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว

    Ambwene hebu liamsheni na Nature hapo katika biashara ya utumwa

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 ปีที่แล้ว

    hiyo kofia ya jeshi vipi

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy ปีที่แล้ว

    aende zake nae bwege tu huyo hata asipokuwepo show itafanyika na itajaza kwa nyimbo gani alizonazo nae huyo, wivu utamuua na pua yake ya motorolla bapa

  • @Donmbuye
    @Donmbuye ปีที่แล้ว

    Badara ya kutupa trend mpya mnatupa za miezi 3 iliyopita uko

  • @nyandichearts
    @nyandichearts ปีที่แล้ว

    Tumbo kubwaaa vikta wantonyiiiii

  • @utambevilla2054
    @utambevilla2054 ปีที่แล้ว +1

    Duuu kwel hii vita Imekuwa ngumu sana kwa wcb adi wameshindwa peke yao sasa wameamua kuungana na makundi mengne ili yamsaidie kumshusha konde boy lkn naiman bado hawatoweza

    • @donaldelias2267
      @donaldelias2267 ปีที่แล้ว

      We makalio kweli alike alikwambia ivyo Nan ndo wamakonde wachawi that's why mnawqza kurogwa kila mara

    • @geofreylucas7870
      @geofreylucas7870 ปีที่แล้ว

      Mawazo ya kitoto sana hayo rudi shule bro

    • @nicholasmwangome7979
      @nicholasmwangome7979 ปีที่แล้ว +1

      Stupidity of high level

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +2

    nyiee wasaafi matapeli kama marehemu ruge mtakwama punde ruge yupo wa mondi sio mungu nyiee atapita watakuja wengine nae harmonize konde boy

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 ปีที่แล้ว

      Huyo konde wako utasugua Gaga xana,Kwa vle mondy kapenya cyo lazima konde awe vlevle acha kukariri utafeli

  • @anthonykishiwa5334
    @anthonykishiwa5334 ปีที่แล้ว

    Huyo mkurugenz aseme mwenyew acheni unyonyaji wasanii was zamani kuweni na micmamo kama Ay mwana fa mkatae kulipwa Pesa ndogo bila nyie hakuna bongo fleva