Watu watatu wauawa kwenye shambulio la kijambazi eneo la Tot, Elgeyo Marakwet
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Watu watatu waliuawa ijumaa katika mashambulizi ya kikatili yanayodaiwa kutekelezwa na majambazi katika barabara ya tot kuelekea Kalowa mpakani mwa baringo na Elgeyo Marakwet, hali ambayo imeibua tena wasiwasi wa usalama eneo hilo. Viongozi wa eneo hilo wamemtaka waziri wa usalama wa ndani, kipchumba murkomen, kuchukua hatua za haraka kukomesha wimbi jipya la uhalifu katika eneo hilo.
Gasia yeye
Police wako haiti
Venye anatuma abductors to rift valley to deal with there. People