NDOA 《03》

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 170

  • @dullysparkle
    @dullysparkle หลายเดือนก่อน +7

    Uhusika wa biser. Nimeupenda. Kacheza vizur sana tena sana bila kumsahau ruthaman big up my gee

  • @MrpasakaonlineNewsUpdate
    @MrpasakaonlineNewsUpdate หลายเดือนก่อน +20

    NDOA NI TAMU ALAFU NI CHUNGU INAPANDE MBILI KAMA SARAFU TU HONGERA KWA MTUNZI TUNAKUMWAGIA MAUA YAKO 🌹🌲🌹🌲🌹🌲🌹🌲🌹💕🌹

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 24 วันที่ผ่านมา

    Jamani mgangaaaaaaa nimekupenda bureee❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @BEATRICENYAA
    @BEATRICENYAA 23 วันที่ผ่านมา +2

    Kuku mwenye piliod😂😂😂uyu mganga aisee

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 5 วันที่ผ่านมา

    4:27 udugu pambe😂😂😂 huyu mganga noma 😅 🙌 # ati hamad😊

  • @nimaali4986
    @nimaali4986 10 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂mganga kiboko🙌🙌🙌🙌anabamba xna😂😂

  • @KessyRamsey
    @KessyRamsey หลายเดือนก่อน +6

    Wa tatu leo jamn mwanangu rutta haujawahi kutuangusha salute kwako

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp หลายเดือนก่อน +11

    Hakuna mtu mjinga kama ruta .ruta boya sana yaani richa ya fumanizi bado ety anaendelea na wife wake🎉

    • @ميريم-ط1س
      @ميريم-ط1س หลายเดือนก่อน +2

      Sio mjinga mjinga ni huyo mwanamke asiejua nn maana ya ndoa ajui akimuua mumewe kitamramba ju huyu mchepuko hatakubali kukaa nae 😂elewa

    • @CollisBill-mu3zp
      @CollisBill-mu3zp หลายเดือนก่อน

      @ميريم-ط1س Uko Sahih

  • @SubilaSubila-h8t
    @SubilaSubila-h8t หลายเดือนก่อน +27

    Mganga huyu ananifurahisha😂😂😂 kwa kwel

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl หลายเดือนก่อน +6

    Mganga yupo lve😂😂😂😂

  • @WildlyWondered-do5nt
    @WildlyWondered-do5nt หลายเดือนก่อน

    Waaa mganga ameweza🤣🤣😂😂

  • @maximiliankadawiibalaja2198
    @maximiliankadawiibalaja2198 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani huyo Mganga Choro Anatibu Akiwa Live TikTok 😂😂😂😂

  • @DuduBoysSilvester
    @DuduBoysSilvester หลายเดือนก่อน +3

    Sema Kipepeo Umekua Beautiful

  • @ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds
    @ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds หลายเดือนก่อน +6

    Mshauri yupo vizuri ❤❤😂😂

    • @patriciachangawa1754
      @patriciachangawa1754 หลายเดือนก่อน

      Mshauri hongera sana afadhali bonne apate amani..ila muganga nae😂😂😂

  • @SonjoKiddo
    @SonjoKiddo หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali familia yangu 🔥🔥 kazi nzuri 🎉🎉ruta man 😂bad man 😮never lie man❤❤❤ hatari mwanetu

  • @jamilamwarabu3890
    @jamilamwarabu3890 หลายเดือนก่อน

    Mgangaaaa mganga mgangaaa aaahh nakuita mara 3

  • @LydiaAyieko
    @LydiaAyieko หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kuona kobero 😂😂😂😂😂opy uliacha umbeya,mganga yuko poa sana,much love frm kenya❤❤❤❤❤

  • @JanethMzava
    @JanethMzava หลายเดือนก่อน +1

    Nawakubali sana wote hakuna mtu anae tuangusha pambaneni mungu atawasaidi🎉🎉❤

  • @AzizasaidiGwandumanonga
    @AzizasaidiGwandumanonga หลายเดือนก่อน +2

    Jamni huyo mganga ni hatari😅😅😅

    • @AlfredPetro-z6s
      @AlfredPetro-z6s หลายเดือนก่อน

      Anakwambia na udugu😅😅😅😅😅

  • @jamescharo5896
    @jamescharo5896 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe Latifa ako kazin😂😂😂😂😂

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElishaJastin-j8q
    @ElishaJastin-j8q 23 วันที่ผ่านมา

    Mganga wakipemba katisha😂😂

  • @jamescharo5896
    @jamescharo5896 หลายเดือนก่อน +2

    Mganga anataka kuku mwenye ako period😅😅😅😅

  • @WildlyWondered-do5nt
    @WildlyWondered-do5nt หลายเดือนก่อน

    Huyu mganga wakipatana na mwakatobe😮

  • @nasraN-c8l
    @nasraN-c8l หลายเดือนก่อน

    We mganga nimekpnda bure aki walah maaan siy Kwa Hilo vebe😂😂😂😂

  • @Asma-hn1jk
    @Asma-hn1jk หลายเดือนก่อน

    Mganga huyo 😂😂😂😂😂mutakoma udugu

  • @kamaudavid8222
    @kamaudavid8222 หลายเดือนก่อน +1

    Ruta man,ndoa iko sawa,sehemu ambayo kidogo haivutii ni hiyo ya mganga,

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 หลายเดือนก่อน +1

    nna wasiwasi na huyu mganga😂😂😂😂sijui kama kuna tiba hapa

    • @JamesNzoka-h4x
      @JamesNzoka-h4x หลายเดือนก่อน

      @@bertinaafonsorapaz8345 mm pia ninawasiwasi, hakuna Tina pa

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 หลายเดือนก่อน

    nampenda huyu mganga hatare😂😂😂😂katika movie zote za waganga huyu dogo kiboko🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @KarolinaOman
      @KarolinaOman หลายเดือนก่อน

      Kabisa anachekesha huyu mganga ,tumpe maua yake🎉🎉🎉

  • @IdrissaBalqis
    @IdrissaBalqis หลายเดือนก่อน

    Mganga choroooo😂😂😂😂

  • @RoxyNisha-f9i
    @RoxyNisha-f9i หลายเดือนก่อน

    mganga yupo live nimekecha kwa saut San mbavu zang jaman🤣🤣🤣

  • @adidjaVyumvuhore-tp3tc
    @adidjaVyumvuhore-tp3tc หลายเดือนก่อน

    Jaman mgang huyu ana maneno kuliko tiba 😂😂😂😂ila anaweza kbsa 🎉🎉

  • @mrtimoh358
    @mrtimoh358 11 วันที่ผ่านมา +1

    Latifa karembo ila kipepeo kamwachia umbeya

  • @AmaniRodah
    @AmaniRodah หลายเดือนก่อน

    Kwani mganga ako TikTok 😂😂😂😂 ss utatibu lini

  • @heriyohanatv2437
    @heriyohanatv2437 หลายเดือนก่อน

    HII EPISODE MMETULIA....imakaa vizuri sana💪

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂mganga yuko tiktok😂😂😂

  • @Jackiline-kw3zq
    @Jackiline-kw3zq หลายเดือนก่อน +2

    Kaz nzur san❤❤

  • @DamacklineKwamboka-n7m
    @DamacklineKwamboka-n7m หลายเดือนก่อน +3

    mimi napenda sana kobelo

  • @IdrissaBalqis
    @IdrissaBalqis หลายเดือนก่อน

    Mganga Sasa nae jmn uwiiiiiiiiii 😂😂😂😂tuma 🌹 tusubirie watakae leta 2million watafanyiwa kitu Gani 😂😂😂😂Aisha bwabwa😂😂😂

  • @BeckarhChivatsi
    @BeckarhChivatsi 11 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri kwa utunzi ila inatakikana ujue sauti ya comedy na tafauti ya sauti ya kua kama boss sio unachukua nafasi ya boss halafu unaongea kama mvutaji unga

  • @HusseinKhatib-i9v
    @HusseinKhatib-i9v 21 วันที่ผ่านมา

    Huyo mgaga kweli anachekecha

  • @AminaSikwala
    @AminaSikwala หลายเดือนก่อน

    Mgangaaaa😂😂😂😂😂

  • @ChimummyMummy
    @ChimummyMummy 12 วันที่ผ่านมา

    Mganga yuko live😂😂😂😂😂

  • @KhadijaTwaha-z3t
    @KhadijaTwaha-z3t หลายเดือนก่อน

    Mgangaa tap tap screen tena😂😂😂

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 หลายเดือนก่อน

    Queen Nkupenda bure kipenzi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +1

    Ndiye waja mnashikana ivo hamsikii nyege mkamalizana kabisa
    Nnawasiwasi baada kazi shebele shebele linafanyika 😂😂😂😂

  • @DeboraMwabeza
    @DeboraMwabeza หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur ruta❤❤🎉🎉

  • @JadanHaruna
    @JadanHaruna หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂et jamaa anamwamnia kun, goa kisik kimoja kidogo kidogo 250 kikiwa champinho kikubwa kumbwa 500

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 tapu tupu screen

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben หลายเดือนก่อน +1

    Wa nao kubali uyu mwamba ana taka mali za boncene gonga apa

  • @ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds
    @ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds หลายเดือนก่อน +3

    Mimi wa kwanza kuona jamani 3 😂😂nipeni

  • @sebenmover
    @sebenmover หลายเดือนก่อน

    Uyu mganga😂

  • @shukranikasereka716
    @shukranikasereka716 หลายเดือนก่อน +2

    Kkkkk Naona muganga . yupo LIVE🤳🤳😄😄

    • @jamescharo5896
      @jamescharo5896 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Veronica-l7z
    @Veronica-l7z หลายเดือนก่อน

    Yaani manga mbavuu zangu nadai🤣🤣🤣

  • @LydiaAyieko
    @LydiaAyieko หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona hamadi anatusi mganga😂😂 yuko live aki😂😂😂😂nimetaptap screen🎉🎉🎉

  • @PatrickNdayikengurukiye-u9p
    @PatrickNdayikengurukiye-u9p หลายเดือนก่อน

    Ongera ruta kazi nzuri

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl หลายเดือนก่อน +1

    Kazi zur🎉🎉

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 หลายเดือนก่อน

    Wewe mganga kweri😂😂😂😂😂

  • @SarahWanyonyi-nu5zc
    @SarahWanyonyi-nu5zc หลายเดือนก่อน

    Konde boy amepewa dawa ya kumrudisha kajala na asisikie mahali😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @WinifridaKisinga
    @WinifridaKisinga หลายเดือนก่อน

    Baisa ameigiza vema sana.

  • @ElizabethKatana-lo2dk
    @ElizabethKatana-lo2dk หลายเดือนก่อน +1

    Waaaaaah 😢😢

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س หลายเดือนก่อน

    Mganga mpaka anachosha ingekua mm angekula Kofi mpaka akumbuke Kaz yake ju ameisahau 😂

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 mganga kapatikan sahv

  • @ZeynahKassitah
    @ZeynahKassitah หลายเดือนก่อน +2

    Mzee wa kilinge natak mbavu zangu

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

    Mganga choro😂😂😂😂😂utaniuwa

  • @NeemaPatrick-d7c
    @NeemaPatrick-d7c หลายเดือนก่อน

    Mganga handsome

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nili jua tu uyu mwamba mapenzi ana ila anacho ki itaji mali za boncene

  • @MonicaNicodem
    @MonicaNicodem หลายเดือนก่อน +1

    Uyo mganga duuh so poa😅😅😅

  • @FadhilaFadhila-b8z
    @FadhilaFadhila-b8z หลายเดือนก่อน

    Jmn me uyo mnyamwez amenifraisha et hiii cjawai ishik iyo pesa 😅😅😅

  • @TeresinhaManuelNakulekaNakulek
    @TeresinhaManuelNakulekaNakulek หลายเดือนก่อน

    Pqw❤❤❤

  • @sophiashamimah5895
    @sophiashamimah5895 หลายเดือนก่อน

    Mganga digitally😂😂😂inabamba mbaya

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂mganga cholo nakuona uko live apa..apewe maua yke mganga cholo 🎉🎉🎉nxt episode ukiingia live uckose kunitaja😅😅like you❤❤

  • @EDITHASABINIAN
    @EDITHASABINIAN หลายเดือนก่อน +6

    Wanaoamini mganga atakula na hatafanya kaz yoyote gonga like🎉🎉🎉❤❤

  • @kennedykomba3382
    @kennedykomba3382 หลายเดือนก่อน +4

    Mvi za kibongo zina zingua kuna mwanaume ana mfumania mke wake bado anampenda

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 5 วันที่ผ่านมา

      Si wengi ila wapo ata kwenye uhalisia

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d หลายเดือนก่อน

    Baisa mungu awe nawe cjui umepangiwa nini 😢😢😢

  • @mariyamhappy
    @mariyamhappy หลายเดือนก่อน +4

    Taptap screen is typing and delate 😂😂

    • @CollinsRenie
      @CollinsRenie หลายเดือนก่อน

      Wanganga wa sku hzi mpka liver😅😅

    • @AnnaMwanry-p4l
      @AnnaMwanry-p4l หลายเดือนก่อน

      Unataptap had vidole vinauma😅😅😅😅

    • @elizabethmukonambi1242
      @elizabethmukonambi1242 12 วันที่ผ่านมา

      @@mariyamhappy 🤣🤣🤣🤣

    • @nimaali4986
      @nimaali4986 10 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Kidumerashid-b9j
    @Kidumerashid-b9j หลายเดือนก่อน

    Baissa mara hii umepatikana kumbe unakuwa mnyonge hivyo duh pole sana

  • @ndikumanadiane7458
    @ndikumanadiane7458 หลายเดือนก่อน

    Yani mganga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bertinnaftari7026
    @bertinnaftari7026 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo siyo mganga ni mgaa gaa na Upwaa

  • @JadanHaruna
    @JadanHaruna หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂muganga cholo msenge kweli anachekesh😆😆😆😆😆🥰🥰🥰🥰

  • @carolinewanjiku5246
    @carolinewanjiku5246 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 tap tap screen

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน

    Sasa kobelo unam.busu baiza😂😂😂

  • @JuliusMadiza-d5l
    @JuliusMadiza-d5l 21 วันที่ผ่านมา

    Tatizo nguvu za kiume

  • @umirishasmgeni6360
    @umirishasmgeni6360 หลายเดือนก่อน

    Sio ololufem tena jna mmebadlisha

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +2

    Kwelikweli kipepeo sasa amekuwa karembo alafu kanyama kaingiya kidogo hongera kipepeo ongeza juhudi

    • @kipepeokim
      @kipepeokim 5 วันที่ผ่านมา

      "dah kwaiyo sikua na nyama jaman😂😂😮

  • @Leilampenda_og
    @Leilampenda_og หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana

  • @JanathMsedemu
    @JanathMsedemu 21 วันที่ผ่านมา

    Yan kipengele mganga sikipendi ata kidgo maana ata Sion Kaz yake

  • @SergeKyondo
    @SergeKyondo หลายเดือนก่อน +1

    🎉Iyi films ninzuri

  • @Gifttebe-e6w
    @Gifttebe-e6w หลายเดือนก่อน

    Mmmh uyo mganga mpunguzieni mùda

  • @AstrideBike
    @AstrideBike 17 วันที่ผ่านมา

    Mgaga unanifuraisha sana

  • @AnnaNaasi-v8z
    @AnnaNaasi-v8z หลายเดือนก่อน

    Mbona mmebadilisha jina

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki หลายเดือนก่อน

    Samiri acakua kinganganizi wevipi wanawake siwapo wengi tu

  • @Mwathethe-qx3de
    @Mwathethe-qx3de หลายเดือนก่อน +7

    Comments kwangu

  • @EbitokeOfficial
    @EbitokeOfficial หลายเดือนก่อน

    Ndoa😢

  • @edinashaibumpagama8186
    @edinashaibumpagama8186 หลายเดือนก่อน

    Mganga yupo live

  • @mwaupinailejeyetu
    @mwaupinailejeyetu หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja sana kutoka mbeya chunya

  • @umentco9600
    @umentco9600 หลายเดือนก่อน

    Tegelesa majukumu ya ndoa namanisha tendo la ndoa mke sio pesa tu

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za mganga jamn nimempenda buree😂😂

  • @DeboraMwabeza
    @DeboraMwabeza หลายเดือนก่อน

    From Namibia tunakupata ruta ikiwezekan ujeee

  • @ruthnamalwa
    @ruthnamalwa หลายเดือนก่อน

    Ila huyu mganga nyie😂😂😂😂😂