🔴LIVE: KIFO NI KILE KILE FUNGA KAZI YA KIBABE HII OFA MPYA SIMBA KWA AZIZ KI MO HATAKI UTANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • #LIVE: MAYELA AIFUNGULIA MILANGO SIMBA, KINZUMBI ATUA DAR, PESA YA SIMBA DUBE AITEMA

ความคิดเห็น • 45

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ingekuwa cmba happy yanga ingekuwa midomo juu

  • @salimmohamed3177
    @salimmohamed3177 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aziz k welcome simba sc

  • @Stephano722
    @Stephano722 2 หลายเดือนก่อน

    Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba hii saplaiz ❤❤azzi k timu hizi hazijaanza leo umafia huu🎉❤❤❤ inakuja kuwa balaa iga ufe

  • @FrankLuhala
    @FrankLuhala 2 หลายเดือนก่อน

    MO fanya kazi bosi ❤ Wanguvu

  • @Stephano722
    @Stephano722 2 หลายเดือนก่อน

    🎉❤❤🎉imeiishaaaaaa hiyooooooo azzi k nimali ya mnyama aaaaaaaaaa

  • @AbdallahAbubakary-s5g
    @AbdallahAbubakary-s5g 2 หลายเดือนก่อน

    Siyo kwer azizi k kuja simba

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mchezaji mwenye mapenzi na timu mpira kazi yeye anaangalia maokoto

  • @HussenAbdu-wy5vi
    @HussenAbdu-wy5vi 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka dawa yedeni kuripa mkuki kwanguruwe kwabidamu uchungu❤

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waislam tunasema Kama tadiinu tudaanu

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf 2 หลายเดือนก่อน

    Miaka 100 makolo hawawezi kumnyakua MSTER K

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga roho mkononi kama alivyotuambia kwa chama mtajua hamjui

  • @AmidoMawazo
    @AmidoMawazo 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo unaniambia tiali wamemaliza na aziziki nasimba

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 2 หลายเดือนก่อน

    Imeisha hiyooooo ki mnyamaaaaaa

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 2 หลายเดือนก่อน

    Unaamini kua masta ki bado hajasaini mkataba na Yanga hadi sasa? Na kama kweli hajasaini Yanga hadi sasa basi Aziz Ki hawezi kua Yanga

  • @AbdallahSimba-x5f
    @AbdallahSimba-x5f 2 หลายเดือนก่อน

    Natoka kumuangalia mwanangu uwamjani kama anajua mpira niuze hapo tv nimnunulie viatu kumbe mpira unalipa hivi.

  • @Stephano722
    @Stephano722 2 หลายเดือนก่อน

    Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba nomeamini spot arena ukweli mnyama mwaka ujao timu zitakimboa

  • @JackMaganga
    @JackMaganga 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka nikweri aziziki anakuja simba mbona tafanya sharehe jaman

  • @HassaniMzee
    @HassaniMzee 2 หลายเดือนก่อน

    Na kuche ukweli udhihiri

  • @BakariHussein-hy9lz
    @BakariHussein-hy9lz 2 หลายเดือนก่อน

    Kisasi ni haki

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 หลายเดือนก่อน

    Muosha huoshwa

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini asiwe azz k

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 หลายเดือนก่อน

    Ahmed Ally alisema ubaya ubwela

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani Simba kuwana tamaa inakuuma nini?

  • @NestoryRamadhan
    @NestoryRamadhan 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @MnakuBuremo-tz2uv
    @MnakuBuremo-tz2uv 2 หลายเดือนก่อน

    Mange auwae Kwa upanga kifo chake na yeye ni Cha upanga

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 2 หลายเดือนก่อน

    Waandishi punguzeni uongo,mnawajengea wachezaji wa kigeni soko na gharama kwa vilabu vyetu.

  • @IbrahimLwitakubi
    @IbrahimLwitakubi 2 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa amebkza sk 9

  • @jumapiliboniface636
    @jumapiliboniface636 2 หลายเดือนก่อน

    Tunapiga kwenyemoyo mnyama ki

  • @jumapiliboniface636
    @jumapiliboniface636 2 หลายเดือนก่อน

    Mo piga kwenyemoyo

  • @WamburaJohn-z9c
    @WamburaJohn-z9c 2 หลายเดือนก่อน

    Mo alipe kisasi

  • @Nasibuhelemani
    @Nasibuhelemani 2 หลายเดือนก่อน

    Awongee kiwahili

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 2 หลายเดือนก่อน

    Nd.MO. washikize adabu hawo upande wa pili.

  • @BakariHussein-hy9lz
    @BakariHussein-hy9lz 2 หลายเดือนก่อน

    Kilajema linamaunivu..dadeki

  • @mwafrikakahisha8166
    @mwafrikakahisha8166 2 หลายเดือนก่อน

    Saut hatuku sikii

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 2 หลายเดือนก่อน

    Aubin kramo mbona hujamtaja na kaongezewa mkataba au yy sio wa kigeni

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naamini Simba wanaweza kulipa kisasi kwa Chama ila sio kwa kumchukua Azizi Ki, Aziz Ki akitaka 50M mshahara na akalipwa tutakua tunatengeneza ufalme wa masta Ki ndani ya Simba kama tulivyotengeneza ufalme wa Chama Uliotukosti misimu miwili, Imagine unamnunua mchezaji kwa pesa ndefu aje Msimbazi wakati ana mahaba na Yanga tunatengeneza tatizo lilele bora tubaki na Mpanzu au Mayele

    • @HassaniMzee
      @HassaniMzee 2 หลายเดือนก่อน

      Mpira ni kazi sio Mapenzi kwa timu,km uwezekano wa kumpata freshi tu na aje

    • @StanleyMwaluko
      @StanleyMwaluko 2 หลายเดือนก่อน

      Vp kaka et mo ametuma dau kwa azizi?

    • @StanleyMwaluko
      @StanleyMwaluko 2 หลายเดือนก่อน

      Anatua leo saa ngap bro

  • @IbrahimLwitakubi
    @IbrahimLwitakubi 2 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 2 หลายเดือนก่อน

    .

  • @MickyAluis-y3m
    @MickyAluis-y3m 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅

  • @MgondeOmary
    @MgondeOmary 2 หลายเดือนก่อน

    Mgondevp,mpazu,vp

  • @alimohdkhatib2443
    @alimohdkhatib2443 2 หลายเดือนก่อน

    Propaganda tu izo hamna icho kitu

    • @amoschilongola
      @amoschilongola 2 หลายเดือนก่อน

      Simba tunaweza Niko kitu 💯💯😂😂😂