The only way to fight gossip, racism, rumours, failed marriages after doing our part is kumwachia Mungu apigane nao. Its on our knees that we win battles, its only on our knees that he wins our battles for us. Revenge, bitterness and blame solve nothing, nyie mpigane,shindane, na mwindane na Mungu. Awesome song
Eeeh wimbo huu niliysubiri kwa ham sana,wimbo wa Dunia huu. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa mshikamano mzuri kama huu. litukuzwe jina na Bwana wa Majeshi.
Sikiza bwna sijjui obi au n nani wewe si mtu wakuimba nyimbo za kidunia ww unao upako wa roho mtakatifu huduma njema unayo mwabudu mungu msifu mganyie mungu kazi duniani toka kbs unayo mbegu ya mingu ndani mwako
This song comes as an encouragement to me. Naishi uni miaka Saba bila kupeana kashimo at great deals(juu at some point I was a students leader and had contact with these politicians). Then nikaenda kutengenezewa simu time ya lockdown mtu akataka kunibaka.. You try to rape a virgin whose virginity is covenant sealed with the heavens?? Nilimpeleka adi IPOA coz I had the medical report(evidence) but still didn't get help. Nilipomuachia Mungu alikaa mwezi moja na wiki moja akashikwa.. Akaishi remand miezi sita. And I'm still leaving it to God. Let him fight with my Dad.. Man to man..
Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. [ Kutoka 14 ;14 ]
My favourite bible verse🙏🙏 Amen Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Great we have guardian angel 💯💯💯
❤❤❤
Aaaaameeen.
Kenyans lets gather here and support the song its amazing
true we should support our own
Kabisa job well done
yes
FROM DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu
❤
@@NeverTenga ❤️❤️
drc congo amuna wasani kutisinda kenya
@@washingtonewachara5886 ume jidanganya Congo ipo juu sana ndugu yangu
Jamani mi nimekua wakwanza ku comment naombeni like zangu
Iike huwa zinaqasaidiaga nini
@@mshewetvmimi hushangaa
Like yako hiyo, ningekuwa na uwezo ningekupea million likes
Napiginiwa na Mungu msishindane na mm mtaangukia pua
😂😂
I love how Kenyans come together to support Guardian angel ❤🎉🎉 because he never disappoints ☑️☑️💯☑️🥰 nipeni likes 20 tukisonga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii nyimbo iko ujumbe mzuri Kwa maisha yetu wakristo na wanadamu pia
🥰🥰🥰🥰Team gulf tume approved hii song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Tujipe moyo. Tujikaze tuki omba Mungu atupiganyie
Amen ❤❤
Amen
Hatakama jamani na mm naomba like ❤
Watu wangu wenye tumejipata hapa kutoka kwa Radio ya MBCI Kenya ❤
Let's gather all here 🎉🎉🎉
#May God bless you sir,
~ More grace.
Shalom
Kaka ubarikiwe sana,nyimbo nzuri please dumu ktk Yesu mafanikio yasikutenge na huyu Yesu
The only way to fight gossip, racism, rumours, failed marriages after doing our part is kumwachia Mungu apigane nao. Its on our knees that we win battles, its only on our knees that he wins our battles for us. Revenge, bitterness and blame solve nothing, nyie mpigane,shindane, na mwindane na Mungu. Awesome song
Kaka kazi nzuri sana
First day hearing this, Valentines Day 2024, wish I found some true love
Jesus is the true love you’re looking for
East African Gospel Stars 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Kweli kabisa, tunapokosa nguvu yeye Mungu ni nguvu zetu, Asante kwa msg nzuri
Anyone reading this comment God bless u as u listen to this song ❤
Wimbo Mzuri Sana Good Message Love From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
❤❤🎉🎉 Ni kweli kakangu wapigane Na Mungu wetu. Napenda kazi yako
Familia ya Kiswahili, tumebahatika na kubarikiwa kuusikia wimbo huu mzuri. Nimesikia kutoka 🇷🇼
GOSPEL IS NOT DEAD AS THEY SAID , GOD IS WITH US
Amazing bro,big up. More grace,tuwaachie Mungu apigane nao
Hongera kijana kazi nzuri
I don't understand a word of it, but the song hits hard to the soul. God bless from USA/Ghana.
Eeeh wimbo huu niliysubiri kwa ham sana,wimbo wa Dunia huu. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa mshikamano mzuri kama huu. litukuzwe jina na Bwana wa Majeshi.
Vita vyetu si mwili bali vya kiroho,na vya roho ni Mungu anapigana.
❤❤❤❤ beautiful song #GuardianAngel #ObbyAlpha
I like that idea,
So nice 👍
Wimbo mtamu maneno ya nguvu na ujasiri,wapi like za hawa watumishi jmn❤❤
MUNGU azidi kukupigania barikiwa sana mtumish obby...
Mwenyezi MUNGU Wa Rehema Na Utukufu Azidi Kukusimamia OBBY ALPHA...
one of the best songs,siwezi pigana n ww nanyosha mikono 🙌 juu ww pigana n mungu ju vita sio vyangu🙏🙏
Good job alpha and gudian angel ..huu ujumbe uwafikie wote wanaompiga gudiani vita haswa vijana wadogo they still have a long long way to go..
I have viewed this song more than 5 times ❤ I love it
Mungu azidi sana kukupandisha juu kwa viwango vya tofauti❤
Ameen mkuu Hongera sana kwakweli
Alpha and Our own Gurdian to the World ❤❤❤❤🇰🇪
Nimeusikia huu Wimbo Radio Wapo umenifanya niutafute nimebarikiwa mno hongera sana kwa huduma
Sikiza bwna sijjui obi au n nani wewe si mtu wakuimba nyimbo za kidunia ww unao upako wa roho mtakatifu huduma njema unayo mwabudu mungu msifu mganyie mungu kazi duniani toka kbs unayo mbegu ya mingu ndani mwako
Ni nini Mungu haezi tenda . 🙏
Congratss brother. Nyccc songg quality vdeo
Obby alpha my favorite ❤❤❤❤❤❤❤❤ keep going bro
Behind u our guardian and obby from kakamega💗💞💞💞💥
Siwezi pigana nawe nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu
wee. Wee
Siwezi shindana nawe nanyosha mikono juu basi shindana na mungu wee. Wee ❤❤❤.
This song comes as an encouragement to me.
Naishi uni miaka Saba bila kupeana kashimo at great deals(juu at some point I was a students leader and had contact with these politicians). Then nikaenda kutengenezewa simu time ya lockdown mtu akataka kunibaka..
You try to rape a virgin whose virginity is covenant sealed with the heavens??
Nilimpeleka adi IPOA coz I had the medical report(evidence) but still didn't get help. Nilipomuachia Mungu alikaa mwezi moja na wiki moja akashikwa..
Akaishi remand miezi sita. And I'm still leaving it to God. Let him fight with my Dad.. Man to man..
Que Deus seja louvado eternamente!! Amina Amina ❤❤❤👏👏🕺🕺🕺good aman Que yes methali 3- 5- 7
Wimbo uhu umenifungulia jia abazo zili kuwazime fugwa mubarikiweeeee watumishi🙏🙏❤️🫵
Mungu akubaliki sn mpendw naendele kukutumi kwajinsi apendavyo
Tanzanian Ojooo😂🎉🎉🎉@ObbyAlpha🦅🦅🦅🦅 we love ua music
Kweli sisi washind tunapoganiwa namungu adui pigana na mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hallelujah,,,,,,PiganaNaMungu mechi ngumu hii😇 nobody can stand agaist GOD
Mimi nimemwachia Mungu anishindanie dhidi ya hiki kifua ambacho kimeniuma kwa muda zaidi ya mwaka moja!
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Nimenyosha mikono Sasa namuachia MUNGU Wapigane nae
Nimeisubiria sana ngoja nikaidablod❤❤❤❤❤
Nice this song mungu akuzidishie kaka yangu pia Mimi napiganiwa na mungu pekeake❤
Acha ninyoshe mikono juu nipigane na hawa machokora wenzangu😢
Napenda ubunifu jamani jaaa yup poaa sana more creative ❤❤
Mungu akuinue ktk kiwango cha juu kabsa huu wimbo wa mwaka jamani umetulia na una upako .
Sawa brother Kaz nzuri..
Kenya is watching ❤❤❤❤🎉
Hallelujah mungu ni mwema
Dah we jamaa unaimba sana bwana.....Allah ni mwema sana
Vita vyetu sio vya mwili na nyama bali ni vya kiroho eee Bwana Mungu tupiganie🙏🙏🙏
Maadui zetu wacha wapigane na Mungu🙏🙏🙏
Alpha and Guardian,God bless you the way your songs bless us🙏
Mnipee like ya Kenya ❤️
if you want to fight
Boss wangu hongera sana🎉
Siwezi pigana Weeeeeeeh Nanyosha Mikono Juu Wow Love The Song,Music Doctor More Blessings 🙏🙏🎷.
God bless you Alpha..go to the world in Jesus Name 🙏 make
Nyimbo nzul sana mdogo etu ubarikiwe sana💥💥💥
🔥🔥🔥 ubarikiwe sanaa mtumishi wa Mungu keep going uko vzr sana
Approved, let the 🔥 🔥 🔥 keep bugging,tuko nyuma yenu . till Jesus come..........
Huu wimbo umenikuza sana obby mungu akubariki sana obby🙏🙏
Zidi kubarikiwa zaidi Obby🙏
Oh my I need the lyrics,good job guys keep it up...from today nitawaachia wapigane na Mungu...
Super fun wa Guardian Angel ❤❤❤ this side
Kitu kali kweli, asanteni sana Obby na Guardian kwa kibao hiki chenye wingi wa baraka 🙏🏾. Much love from 254 🇰🇪❤️🙌🏾🔥💯
Hallelujah 🙌🙌🙏
Pigana na Mungu
Japhet zablon ndo amenileta huku...... Anaimba mpka anaimba tena(kwa wengine ni kawaida kufika hapa nilipo ila kwangu ni muujiza🙌🙌
Siwezi pigana nawe, nanyosha Mikono juu, pigana na Mungu🎉🎉🎉
Kazi ni njema brother
Wacha injili iendelee doctor,,🙏🙏
Guardian angel akiingia lazima ikuwe hit
Barikiwa sanaaa mtumishi
Daaaaah obby nakukubal sanaa mwambaa
Mungu akubari mungu atatupigania 💯💯💓💓💓🇿🇲 mungu akuinuwe mara dufu 💃💃💃💃💃
Mbarikiwa sana bro, congratulations 👏
Huu wimbo wanibariki sana
Wimbo bora kabisa wakufungulia mwaka
Wimbo mzuri sana tunashukuru 🙏
Bonge la wimbo wenye ujumbe uloshiba safi sanaa ❤❤👏👏👏
Nimekumbali sana hiii nyimbo insuli sana💯💯💯👍❤️🇹🇿, sou novo seguidor de obby Alpha kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿
What's the song 🙌🏼🙌🏼🙌🏼 be blessed my brother
Eee!! Mungu pinganao wanaopinganami... Vita sio yangu niza Bwana Yesu.🙏🙏
I like the song - is in my everyday PLAYLIST. Barikiwa 🙏🙏
Barikiwa sana Mkuu kazi kubwa sana hii🙌
Hatari sana mzee watashindana na MUNGU TU🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💯💯
Bwana awabariki ❤❤❤
Nyimbo nzuri 😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🫶
Kweli anawez jamn mungu yupo pamoja nae ❤❤❤
Tunakupenda obby
Mungu azidi kukupaka mafuta
Acha tubarikiwe Kwa hili goma noma sana 🎉🎉🎉😂😂noma sana 🔥🔥
Music doctor NYC collabo🎉