I feel bad for Obinna. Kuna Siku dame wa Facebook ata lima hawa ma groupies. She know how women think and Obinna can easily be trapped. I think dame wa fb knows his weakness. She will only trust a woman who truly cares for Obinna. She knows if Obinna gets destroyed she will suffer because her brand is tied to him. Si mpate a tv show reflecting on the current madness in relationships. Juu wee ni kubad! Nawapenda❤❤❤❤❤❤🎉🎉part 2 please
@@cheao2544 truth be told. His views have gone up and he has also benefited a lot from her. You scratch my back I scratch yours. He was not applealing before to a lot of people. But sasa anabamba sana. Let him drop dem wa fb please tuone. Dem wa fb appreciates and respects Obinna. Obinna is smart and gets her and they have good chemistry. Dem wa fb is also very smart she knows what she is doing. They are both brilliant and at different levels of their career. I hope they both take advantage of the mass appeal they have now wata grow sana . Obinna peke yake anabore and sorry to say he is arrogant (read luo).🤣🤣 but I wish them well and they are good sport. Dem wa fb ni ladha to all established brands (read ringtone, krg and the rest) that’s why they are all looking for her now.
Huyu dem amejiletea aibu gani hii surely 😅😅😅😅😅😅😂😂😂mnatoanga wapi nguvu ya kushindana na dem w fb😂😂😂bebii wa bebiii forever ❤❤❤❤❤❤❤❤rudi tu penye ulitoka .
wasiwahi Fanya hii mchezo tena we will unsubscribe😂bt kama ulisikia words za obina ..alisema I don't like surprises " meaning management never informed him
Sio pesa inaua mwanaume Dem wa Facebook _ ni watu wanono kama huyu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimeishaaaaaaa, karibu Obina alie kwa vile hamnyamazi😂😂😂😂😂😂😂😂 .🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂leo mambo ni deadly deadly wapi likes za Dem wa fb team strong 💪🙌
Npitie pia please
❤❤❤❤❤
@@miriamkusele sure
Nani mwingine anaona wivu akiona msichana mwingine akikaaa karibu na obina😂😂dem wa Facebook &obina best of best 👌
😂😂😂
@@terrymjeshi4437 😁😁😁😁😁
Heri ww unaoma wivu mm nasikia uua mtu😂😂
😂😂😂😂inaniuma
Nayland like kugonga mtu
Huyu arudi Mombasa hatukujui tunajua dem wa fb.. More fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣baaas dem wa fb tawala,,,🤣🤣🤣i love that lqdy hunibqmba sana,
Nipitie
aache mapepe anababaikia wanaume ....si arelaxy wanaume wamutafute
Atatumiwa kimrampe...kwanza apeleke kiherehere na uko
Dem wa fb siku zote❤
Aiiii kweli comedy iko na wenyewe yaani ule wa gown ni kelele tu hata hajui kuact......dem wa Facebook all the way.go mama
😂😂😂😂😂😂. Camera sio ya kila mtu
Ata nimemskia Tu aibu venye anaruka ruka
@@aislinechepkemboi4735Pia mimi😂😂
@@aislinechepkemboi4735aende ajoin embarambamba ndio waruke na huko 😂😂😂😂😂
Aki
The way I love dem wa Facebook only God knows and because of her I love oga obinna too
Npitie pia please
Me too❤
Huyu arudi to MSA ata hapa cjaona kitu ya maana ,Dem wa fb all the way much love ❤️ 😍 💖 ❣️ .Dem Wa FB
❤❤❤
Love you
Demu wa fb ni moto 🥰🥰🥰💪🏻💪🏻💪🏻
Na kwambia😂😂😂😂😂😂😂nimecheka yngu yote
Heri ungekula biriani😂😂😂😂 udaku time haiwezi nipita😂😂 # Forever team Obinna and Dem wa Facebook
DAME WA FACEBOOK ALL THE WAY🔥🔥🔥🔥🔥👍
😂😂😂😂biriani
Down to earth my best show ever,I sleep late watching this things ,my panadol even when am low
I feel bad for Obinna. Kuna Siku dame wa Facebook ata lima hawa ma groupies. She know how women think and Obinna can easily be trapped. I think dame wa fb knows his weakness. She will only trust a woman who truly cares for Obinna. She knows if Obinna gets destroyed she will suffer because her brand is tied to him. Si mpate a tv show reflecting on the current madness in relationships. Juu wee ni kubad! Nawapenda❤❤❤❤❤❤🎉🎉part 2 please
Obina is just helping Dem wa facebook grow nothing else.Hizi zenu mmeanza kujitungia tu
@@cheao2544 truth be told. His views have gone up and he has also benefited a lot from her. You scratch my back I scratch yours. He was not applealing before to a lot of people. But sasa anabamba sana. Let him drop dem wa fb please tuone. Dem wa fb appreciates and respects Obinna. Obinna is smart and gets her and they have good chemistry. Dem wa fb is also very smart she knows what she is doing. They are both brilliant and at different levels of their career. I hope they both take advantage of the mass appeal they have now wata grow sana . Obinna peke yake anabore and sorry to say he is arrogant (read luo).🤣🤣 but I wish them well and they are good sport. Dem wa fb ni ladha to all established brands (read ringtone, krg and the rest) that’s why they are all looking for her now.
@@cheao2544true
@@cheao2544 wanaoverthink 🤣🤣
Apa wako mboka
Dem wa Facebook forever na obina.... Kasichana ketu Ety wanono ndio wanaua mwanaume.. Ghai hiyo imeenda 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nipitie ❤❤❤
Nobody is talking vile obinna anamshika Dem wa Facebook 🥰
obina anapenda dem wa fb no matter wat
Dem wa FB ndo wa obbina final we love her so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kitu najua obinna for dem wa fb ❤❤❤❤ hiyo ingine ni ndoto 😂😂😂😂
Very true
ndoto na anaotaga mchana
Huyu wa nduru ni kama mwenye ajielewi ametoka na wapi😂😂😂😂😂,,,dem wa fb all the we love you baby gal ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉, Obinna is yours all😂😂😂😂❤❤❤😊
Nakupenda dem wa Facebook na obinna ❤❤❤❤
Uzuri dame Facebook anajuanga how to protect her man mdomo tu s enough ata obinah Hana words😮😮
😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu si wezi share naye bwana nita muwachia aki
Dem wa Facebook is obinna happiness ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ obinna❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
exactily....obina anavibe poa na dem wa fb
Napenda huyu dame wa Facebook, obinna ukiwacha dame wa FB uhame Nairobi, urudi kakamega
Tuna unsubscribed
kabisa akiachana na dem wa fb .....2nafanya ile kitu UNSUBSCIRIBE
Asijaribu, coz mambo kwa ground haitaenda, eti dem wa mombasa, hapana tambua huyo, tumekataa katakata😂😂😂😏😏
Kabisa ❤❤❤
Sio kakamega arudi bondo ause samaki😂😂😂😂
Huyu dem amejiletea aibu gani hii surely 😅😅😅😅😅😅😂😂😂mnatoanga wapi nguvu ya kushindana na dem w fb😂😂😂bebii wa bebiii forever ❤❤❤❤❤❤❤❤rudi tu penye ulitoka .
Love you Dem wa fb utaniuwa 🤣😂😂😂😂😂🤣
Dem wa fb all the way❤❤❤❤❤ hiki kiruka njia kingine kinaaribu
Asikuletee nguo nyeupe kwani wanaume wameisha mombasa❤❤
😂😂😂
Mluhya wetu ni more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 twakupenda Bure mama #dmwafb
Obina,Dem wa face just my days are getting better in laughter,,,,hongera sana,,,
Ata mm nimekuwa addicted Nigeria baadaye
Tunakupenda okay obina juu ya dem wa for bure hatungekujua ata
Our golden girl more blessing
Mama dont give up keep pushing with ua talent mungu mbele
Huyu dem anaboh msimrudishe hapa tena na hizo kiherehere zake, tutaandamana. Dem wafb forever.
Ongeza volume 📽️📽️📽️📽️📽️, kwanza amecome kudo nini na nguo ya weeding ama ametoka Saudi kuforce issues
wasiwahi Fanya hii mchezo tena we will unsubscribe😂bt kama ulisikia words za obina ..alisema I don't like surprises " meaning management never informed him
@@gladwelkimuge😂😂😂😂😂
Kadem kazuri from tzd kacheshi huyu atakua mom bora kwako❤❤❤
We are almost 100k.Guys let's do this for our gal❤🎉
❤❤❤dwfb strong for her husband. Defend Obina in sll ways
Uweeh hii nayo ni 🔥 Hadi Obinna mwenyewe amekosa la kusema😂😂
All the way dame wa Facebook ❤❤❤❤❤
Muwache kuharibia DEM WA FACEBOOK. Hatutaki hao wengine...mcheeeeeeeeeeeewwwwww!!!!!!
Mcheeeeeeeewst hatukubali mtu kuharibia Dem wa fb
Huyo hajui chochote. Bebii ame amemchemsha sana
Sio pesa inaua mwanaume
Dem wa Facebook _ ni watu wanono kama huyu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimeishaaaaaaa, karibu Obina alie kwa vile hamnyamazi😂😂😂😂😂😂😂😂 .🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hiyo vel huko nyumba 😂😂😂😂 dame wafb mfunge vzur 😂😂😂😂😂
Thanks to Mr obina for helping this girl lord will reward you bro
Wa gown keleleee uuuppppp!!!! Anatupasua maskio
Dem WA FB anakaa kama boy😂 anapanua miguu.
We love you girl
Dem wa facebook 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Napenda dem wa fb hunitoa stress lkn hapa mm mnataka kueka chumvi visilike😢
Naomba kazi obinas show
Dem wa Facebook all the way ❤❤❤❤..Hawa wengine hatuwajui😂😂😂
Nipitie
Love this girl from heart she made my days 🥰
Huyo wa gown asirudi tena kwa show....anaboww🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Volume please ..
Kbsa yaani 😂😂😂😂
Thanks for saying it on my behalf 😂😂😂😂
Aki wueh ...anaeza kuwa ako pasonooo😂tukidhani ni acting
Dem wa Facebook 🔥🔥🔥
Dem wa fb Leo umetuweza na look 😂😂
😂😂😂😂😂nampenda akii huyu dem
This are the sweetest souls,,,Obinna/Dem wa Facebook
We fully support our gaidi(dem wa fb)hao wengine ni a by the way, watajua wao😂😂😂😂Obinns huna hata sei, wuuuueh! Ni drama kweli
yaan kimeumana
Leo Kuna wazimu kwenye nyumba
Hii ni moto Leo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dem wa Facebook napenda confidence yko❤❤
She's more than 🔥🔥
Huyo wa gown anaboo
Our Golden girl ❤❤❤❤❤
Napenda dem wa Facebook sana🎉🎉🎉🎉
Dem wa Mombasa akwende kabisaa 😅😂😂😂
Kbsa😂😂😂😂😂
@@SalmaRandu asiangalie nyuma,, aende akiendaaa😂😂😂😂😂😂
Aki walai ile security iko siku hizi kwa obina ni tight😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu dem wa Gown hasirudi hapa, anaboo sana nkt. She is supposed to join Disco matanga, kelele na duru zake ni za professional mourner 😢😢😢
Kabisaa
😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂 Hali am laughing so loudly Dem wa Facebook utakuja Kunis siku moja haki😂😂😂😂
Babygirl youre going far❤❤more blessings and God's protection ❤❤
😂😂😂😂😂😂ate akule biriani😂😂😂😂
Demu wa Facebook We Love You From Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😍😍😍 kutoka nchi ya amani
Obina very peaceful with Dem wa Facebook ❤❤❤❤❤
Wow Leo imewakaa dwf marking territory 😜😜😜😜
Obina vyenye umeshika kipenzi chako weeee hapo Iko lov continue maturing her
Usikubali kuachilia obina huyo ni dryspell za gulf zamsumbua 😂😂😂
Nipitie ❤❤❤
Huyo wa gown anabore
Ghaiiii mapenzi wewe my ribs breaker akh 🤣🤣🤣 much love 💕♥️🥰
I love 💕 this gal, she is real
Nakupenda dem wa Facebook ❤
😂😂😂❤❤dem wa facebook ndo tunajua
Huyu dem anaboo,Dem wa fb all the way❤
Exactly 💯 💯 💯
Obina we need part 2 of this drama OMG I can’t stop laughing 😂😂😂😂😂😂
Haki dem wa Facebook unavituko jameni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Ashindwangi😂😂😂😂😂 huyo WA Mombasa amekauka
@@bettyambogo85surely 🤣🤣🤣🤣. Ati kukauka
Dada yangu utaniuwa dame wa fb hiyo ni arudi Mombasa ❤❤❤❤
Obinna wee 😂😂😂 Leo mnanimaliza,commedy
Dem wa Facebook more 🔥🔥🔥
😂😂😂 #obina mnabamba na dem wa fb sana😂😂😂
Waaaa huku kumewaka mwoto🔥🔥🔥🔥
Ww mwenye gown peleka aibu zako Mombasa uwache kupenda kuonekana kaa mbuzi wa shughulini kaa kwakutulia
By the way anabehave aje 😢
Hii n acting acha ubwakin....
aende akatafute type yake buana anarukaruka
@@Njerii301aende atafute embarambamba waruke hukooo 😂😂😂😂
@@Esty1248 🤣🤣🤣🤣analetea tabia ya embarambamba ashindwe ata alegee.....arudi alikotoka kakosea njia hyooo
❤❤❤❤❤❤Dem wa fb you are forever 🎉🎉🎉🎉
Hii kelele ilizidi aki..not healthy for obinna 😊
True
Very true. And he has phobia for NOISE. Not healthy at all.
@@SoothAndRelaxMoodhow do you know about phobia 😅😅😅😅
@@negmaosman2395 He (Obinna) has said it before.
Ameridhi kutoka kwa waiguru jameni sio kupenda kwake😅😅😅
Dem wa fecabook and obina forever ❤❤❤❤❤
Obinna huyu mama atolewe nje 🥱
afukuzwd kabisa
Much love dem wa Facebook ❤️ 💙 💯
Ati si pesa ni watu wanono 😂😂😂😂😂😂🤣 woi iiiiii
Dem wa fb ...🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu wanono
Arudi Saudi Arabia kuosha Choo za warabu ako na kilele kama wainguru
Unajua adi maneno zake hasitokangi poa ni girigiri kithiri hakuna kitu ya maana yakueleweka😮
Weh fire 🔥 kelele ama ni acting l wonder ju tumezoea sauti ya Dem wa fb 😅
DEM FB 🔥🔥👏👏👏👏👏
Wow this was nice for bebii
Obinna is going through Alot aki
The way Dem wa fb ameekelea mguu wake kwa obina weeeuh...Napendaaa
You guys can make the best comedy. Muunde series inaitwa 'Mke mwenza', au 'Co-wife'
very true 😅
I just love dem wa fb❤❤❤
Obinna ameona moto
....amekosa Cha kusema😂😂😂
You make me smile every day you guys ,nawapenda tu saaana🥰🥰🥰🥰
Huyu mama wa gown ,Anabooo saaaana,Sasa eti yeye ni comedian ama wa kupiga nduru kwa matanga.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kupiga nduru wapi??😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂