Ruto Na Duale Wazozana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ย. 2014
  • Kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale ametofautiana hadharani na mwenyekiti wa baraza la magavana Isaac Rutto alipomtaka awajibike kuhusiana na hela ambazo kaunti yake ya Bomet ilipewa kabla ya kudai hela zaidi katika kampeni ya pesa mashinani, mbele ya Naibu wa Rais William Ruto mjini Narok. Hii ni mara ya pili kwa naibu wa rais kupata kuhudhuria mkutano wenye viongozi wa mrengo wa jubilee wanaotofautiana naye wanaopigia debe uchaguzi wa maoni. Pia naibu wa rais amedai kuwa kampeni za pesa mashinani na 'Okoa Kenya' hazina nia ya kuwaokoa wakenya ila ni za kupigia debe kiongozi wa Cord Raila Odinga.

ความคิดเห็น • 9

  • @Oj7748
    @Oj7748 ปีที่แล้ว +3

    its 2023 and this never gets old😂....im sure william enjoyed that jab duale threw at Isaac

  • @favoritekimani7317
    @favoritekimani7317 2 ปีที่แล้ว +4

    This one never gets old.

  • @janewanjiku5673
    @janewanjiku5673 3 ปีที่แล้ว +3

    Still watching Duale 2021

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 5 ปีที่แล้ว +3

    MBONA KILA MTU TENSION IKO JUU WIZI WAKUBWA

  • @hamdihamdi9346
    @hamdihamdi9346 3 ปีที่แล้ว +2

    Duale toshaaa

  • @izoh4925
    @izoh4925 ปีที่แล้ว

    at the beginning everything seemed cool....

  • @Ibrahimkitty83
    @Ibrahimkitty83 4 ปีที่แล้ว +1

    I don't see