AMINA. Wakristo siri ni kuinua Madhabahu Ya Mwenyezi Mungu na kuvunja madhabahu ya miungu mingine yote na bila shaka tutakombolewa na kutolewa kwenye laana za ukoo na baraka zitazalika maishani mwetu.
AMINA. Wakristo tuwe watu wa kutafuta mashauri kwa Mwenyezi Mungu Pekee Yake na tutii Amri Zake kwa dhati na hakika Atatupigania daima na maadui hawataweza kutuangamiza kamwe.

Roho zote za ukoo zikaondoka katika jina la Yesu Kristo.
AMINA. Wakristo tuwe watu wa kutafuta mashauri kwa Mwenyezi Mungu Pekee Yake na tutii Amri Zake kwa dhati na hakika Atatupigania daima na maadui hawataweza kutuangamiza kamwe.
Kilicho na mwanzo kina mwisho juu Mungu ni mwenye haki!
Amen
My Spiritual Parents may God's Unmerited Favour be your portion forever for your great zeal to serve God and spread His Gospel 🙏🙏
God Will Protect us from anything and everything that is not according to our destiny.
Nikumbuke kwa maombi...Malaika wakunipigania....🙏
Amen
Amen