Ondieki Nyuka Kwota: Moi Alitupea Shamba Kitisuru Lakini Hatujaiona Ng'o!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Akiongea kwenye Jambo Kenya muigizaji matata Ondieki Nyuka Kwota alidokeza kwamba walipata minongono kwamba huenda Aliyekuwa Rais Wa pili wa nchi yake Daliel Arap Moi aliwapa waigizaji wa VITIMBI shamba maeneo ya Kitisuru ,Shamba ambayo hadi wa sasa hawajawahi kuipata #OndiekiNyukaKwota #RIPMOI #JamboKenya

ความคิดเห็น • 32

  • @samuelwambugu.8997
    @samuelwambugu.8997 4 ปีที่แล้ว +2

    Ondiek is such a great guy. I know him personally and he such an awesome guy and BTW a God fearing man too.

  • @denniskarxa1717
    @denniskarxa1717 4 ปีที่แล้ว

    These guys are great actors, plz vitimbi irudi kwa citizen TV dont'u see how talented these guys are???

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 5 ปีที่แล้ว +3

    Ondieki is a legend

  • @dennismutemi7991
    @dennismutemi7991 5 ปีที่แล้ว +2

    melody the cute girl💚💔💖........uyu nyuka kwota ni mfunny akh.

  • @sophieelisha4009
    @sophieelisha4009 5 ปีที่แล้ว +1

    Ak ondieki.you are. Really actor

  • @maskartedu2422
    @maskartedu2422 4 ปีที่แล้ว

    Ondiek anakuaga mfunny kweli

  • @profmasumbuko2288
    @profmasumbuko2288 3 ปีที่แล้ว

    I love this guys 🤣🤣🤣

  • @jessendegwahmusic488
    @jessendegwahmusic488 5 ปีที่แล้ว

    I used to like this man so much as a kid

  • @nicholasmaingi2751
    @nicholasmaingi2751 4 ปีที่แล้ว

    Vincent Toa hiyo Jezi sasa. Nimeiona leo😂😂😂

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 5 ปีที่แล้ว +1

    Uhuru pls give these people(vitimbi)their due share

  • @christabelathiambo3038
    @christabelathiambo3038 5 ปีที่แล้ว +1

    Kenya kila mtu nanajiteteya but waiting ndio wengi

  • @ladyannmusic5763
    @ladyannmusic5763 4 ปีที่แล้ว

    Taifa letu halitambui wasanii safaricom inatupatia 100% serikali yetu inatunyanganya 60% msanii anakufa maskini nabkuchangiwa wakati wa mazishi ili Hali usanii haufi they don't care # atatusaidia nani# God help msanii

  • @moraaontiri4082
    @moraaontiri4082 5 ปีที่แล้ว

    Vitimbi you were nice honesty

  • @thomasgisore141
    @thomasgisore141 5 ปีที่แล้ว +4

    nawafollow live kutoka moi university kesses

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 ปีที่แล้ว

    this guy is real

  • @bensonabisai9197
    @bensonabisai9197 5 ปีที่แล้ว

    I witnessed these stories in state house. Long live guys.

    • @findinglela
      @findinglela 5 ปีที่แล้ว

      Thanks for confirmation

  • @MohamedAli0223
    @MohamedAli0223 4 ปีที่แล้ว

    RIH moi

  • @grasgrass464
    @grasgrass464 5 ปีที่แล้ว

    odieki tumekumiss sana

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 5 ปีที่แล้ว

    Wapewe nafasi yao kwani wamefanya mengi

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 5 ปีที่แล้ว

    Baba mwenyewe alikua anasema itia mimi vitimbi na mary atieno

    • @jumajustus9321
      @jumajustus9321 5 ปีที่แล้ว

      Ondikiek uko fiti sana kunako fani

  • @collinskhaoya3446
    @collinskhaoya3446 5 ปีที่แล้ว +2

    Shamba shape up ama shamba

  • @wamtoswamtos6262
    @wamtoswamtos6262 5 ปีที่แล้ว

    wapewe haki yao aki....sasa ni nani alichukua hiyo shamba yao wuiee.

  • @sarahngugi7122
    @sarahngugi7122 5 ปีที่แล้ว

    Ondieki mula quota hazeekangi

  • @pmpsam4376
    @pmpsam4376 5 ปีที่แล้ว

    Miss vitimbi aki

  • @calisterbosibori151
    @calisterbosibori151 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha uuuuuuuuuuuu ii

  • @betinansi201
    @betinansi201 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ddyer7428
    @ddyer7428 5 ปีที่แล้ว

    Ondiek nyikakwota mankidi Oloba

  • @josephmwangi9556
    @josephmwangi9556 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha