Kipozeo acha kugusa habari za makabila unatukera sisi wamakonde au unaweza kuomba radhi wamakonde wote kwa kosa hilo yaumulkiama ?. Acha kashfa kwanza unaongea visa ambavyo hata wewe mwenyewe huwezi thibitisha. Mche Allah shekh. Inatosha mtu kuwa muongo kwa kusema kila unalolisikia.Nakupenda lkn acha kashfa dhidi ya wamakonde. Vinginevyo tuambie kabila lilobora.
We kipozeo sisi wamakonde tunakupenda Sana japo unatuchamba, tunajua ni mtani wetu ila Allah akupe kila lenye kheri duniani na akhera inshallah
Mashallah shekhe nampenda sana huyu mungu akuweke miaka 100
Jazakallah kheir sheikh hilal kipozeo
Masha Allah
Haki nimecheka et mze mudi swali alaa muhammad swala llahu alaih wasalam 💓💓
Maashaallah
Mungu aendereye kukupa hikima
Jazaka Allah kher Shee umeeleweka m,mungu akuongezee umli
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akubariki jazaka Allahu kher
Maa shaa Allah
Maashallah
Shukrani sana sheilk kipozeo kwa mawaidha mazuri allah atujalie sisi wote njia hilo bora🤲,watching from mombasa kenya.
Shukrani kwa mawaidha mazuri yenye kutuelimisha nakutufunza Shghe Kipozeo Allah azidi kukutunza nakukukinga nakila Shari Aminn
Masha allah.allah akuhifadhi na akulinde insha allah.sheikh kipozeo
Mansha Allah ❤️❤️❤️
Masharllah alhamdulillah Allah akuongoze na akupe MRI mrefu undelee kutuelimisha
Sheikh Allah Akupe mwisho mwema.
Shekh kila la kher
Wapevidonge vyao shekh wetu mpendwa maana wamezidi na mambo yakurogana watu nakupenda kwa ajili ya Allah
Fatma upo wapi Mombasa? Jomoni upo Kilifi,Light House, au Kibokoni??? Hebu nijibu nije kukuoa weee mshumaaaa!!!
Ok
Mashaallah
Aslm alkm ww. Masha Allah. Darsa nzuri kabisa.Jazakalllah kheir 🙏
Ma'asha'allah jazaka'allahu kheiryn
Mashallah
🤍sheikh kwaajili ya Allah .MashaAllah
Mungu akupe afya njema.
Allah tupemema duniani na akhera
Kwa kweli kipozeo tulikuwa tunakupenda na kukusikiliza sanaa lakini baada ya mambo yako,, wengi wetu tupo hoi,,, MWENYEZI MUNGU Akusameh
Shehe napendasana mawaizayako mana hufichi kitu
Maashaall
Frida hujaamboo???
Subhanalllh
Swalu ala muhhamad
Inahuzunisha kwa kweli
Baraka lah fiqy
Sheikh shujaa
Nakuombea miziki piya vibaya nakusapoti wanamziki piya niharamu
🙏🙏🙏
Barakallah fek sheikh hilal kipozeo
Shee wa makaha
Just emerge why super stars intered in Islam!!??
😅😅😁😁 makafiri nihatari ati nyanyua migu miwili ugande hatari kweli
Tusomeshe tu sheikh japokua haki inachoma choma
😂😂😂😂😂😂
Mtu anasinzia sinzia saa saba mchana
Kipozeo acha kugusa habari za makabila unatukera sisi wamakonde au unaweza kuomba radhi wamakonde wote kwa kosa hilo yaumulkiama ?. Acha kashfa kwanza unaongea visa ambavyo hata wewe mwenyewe huwezi thibitisha. Mche Allah shekh. Inatosha mtu kuwa muongo kwa kusema kila unalolisikia.Nakupenda lkn acha kashfa dhidi ya wamakonde. Vinginevyo tuambie kabila lilobora.
Povu mbona, ni mifano tu
Ni mtani wao bhana 🤣🤣🤣
Mmi pia nakuunga mkono huyu shekhe kidogo atoka ktika mipaka
mnafiki mkubwa ww mbwa wa bakwata
Saleh weye sio mnafiki huongei na Wala humtetei muislamu yoyote au unafiki gani saleh
Halafu unamwita binadamu mwenzako mbwaa daah omba msamaha