MP Oscar Sudi: I bought my first Lexus when I was 22 years old

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @mukohuwaere4436
    @mukohuwaere4436 4 ปีที่แล้ว +22

    22 years old si ulikuwa makanga...😁😁 ama hiyo ma3 ilikuwa inaitwa "Lexus" 😆😆

    • @muziki79
      @muziki79 4 ปีที่แล้ว

      😀

  • @worldbossventures987
    @worldbossventures987 3 ปีที่แล้ว +2

    Sudi ako Sawa !!!!! 🇰🇪🌎❤️

  • @fupi78
    @fupi78 4 ปีที่แล้ว +11

    Ulisikia wapi
    Nani huuza shamba anunue gari?
    Nani mjinga?

    • @petergithanga1391
      @petergithanga1391 4 ปีที่แล้ว

      ?????

    • @rumpelstiltskn5574
      @rumpelstiltskn5574 4 ปีที่แล้ว +1

      ...ukianza kufikiria na meno (kama watu flani) utajipata ukiuza shamba ndio ununue gari! 😒😏🙆🏿‍♂️😂🤣😆😅

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 ปีที่แล้ว

      Wengi sana. Jamas fulani aliuza nyumba marekani akanunua Benz 😂😂😂

  • @rollacosta4304
    @rollacosta4304 2 หลายเดือนก่อน

    Business is the way

  • @princetrendz3493
    @princetrendz3493 4 ปีที่แล้ว +1

    Sudi mungu ako nawe kila wakati mipango yao haitafaulu kamwe

  • @fredrickonjiko391
    @fredrickonjiko391 3 หลายเดือนก่อน +1

    All politicians affiliated with Uhuru's regime and Ruto's regime must be audited. That's the only way Kenya can avoid defaulting our debt to China, which matures early 2025

  • @Ericmwangii
    @Ericmwangii 4 ปีที่แล้ว +7

    Wewe rudisha pesa ya wagonjwa

  • @bbc5043
    @bbc5043 4 ปีที่แล้ว +8

    Wewe ni tapeli just like Ruto

  • @evancejohn1294
    @evancejohn1294 4 ปีที่แล้ว +3

    Wacha kujisanitize hapa kwa social media juu hayo maneno zilukuwa siri yenu na Dci,kwenda uko ulikula mali ya Uma 🤣 brother

  • @kngoo2011
    @kngoo2011 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatuoni kama ni utapeli, eleza tu vizuri.

  • @tajiritajiri548
    @tajiritajiri548 4 ปีที่แล้ว +4

    Wakenya mumesahau mara moja hiii. Hata kama kesi ya Icc ilikosa ushahidi. Jameni nani aliroga Wakenya. Hadi some rogues are getting into power.

    • @georgek685
      @georgek685 2 หลายเดือนก่อน

      Kenyans are now crying

  • @morangaqatar8963
    @morangaqatar8963 4 ปีที่แล้ว +2

    Did you tell them this stories, we haven't asked anyway, or maybe you forgot to tell them? Go back to the office and inform them.

  • @nelpwogen4822
    @nelpwogen4822 4 ปีที่แล้ว

    Justice

  • @williamkirima8295
    @williamkirima8295 4 ปีที่แล้ว +1

    You said you used a loophole to defraud KRA car import duty to get rich. We remember fiongoz wa ponde la ufa. Hustler in deed.

  • @aliamirbakar5580
    @aliamirbakar5580 4 ปีที่แล้ว +6

    Hamuja pata serikali mumeanza kuiba pesa ya tax peyer's je?mukiingia mutasafisha wacheni wenye uzoefu na pesa waongoze nyinyi ni walafi mutaletea wakenya matatizo mengi

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 ปีที่แล้ว

      Ako ukoo na marehemu jambazi moi na biwott

    • @karis9.3
      @karis9.3 3 หลายเดือนก่อน

      Weuh

  • @victorkhaoya6364
    @victorkhaoya6364 4 ปีที่แล้ว +2

    C 22 yrs uilkuwa makanga je hizo magari uilbuy ukiwa na 26yrs kwan miaka 4 after makanga ukatajirika ukabuy magari ya kifahari c n uongo bna

  • @alexngala2246
    @alexngala2246 4 ปีที่แล้ว +2

    And this guy calls himself Hustler...at 22 yrs akona Lexus...ile hypocrisy iko Kenya wacha tu

    • @elvisiwot5215
      @elvisiwot5215 4 ปีที่แล้ว

      Hypocrisy is you not knowing the difference between a political slogan and the personal life of Kapseret MP smh. The tag is for the people it represents

  • @alfanm.8221
    @alfanm.8221 4 ปีที่แล้ว +6

    Mtoto wa maskini ni yule ako mtaa hajui ikifika jioni watakula nini so huwezi fananisha naibu wa rais na mwanainchi wa kawaida ambaye anahangaika hajui ikifika jioni ata pata msosi.

    • @aliandrew3537
      @aliandrew3537 4 ปีที่แล้ว

      Na ukipata uwe Tajiri utajiitaje kama wewe???

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 ปีที่แล้ว

      @@aliandrew3537 huwezi ukajiita maskini tena wewe tayari ushaingia anga za utajiri na hakuna ata siku moja utafananishwa na maskini

  • @johnringera440
    @johnringera440 4 ปีที่แล้ว +2

    This narrative that your enemies should be my enemies is stupid..

    • @raymondkanga
      @raymondkanga 3 ปีที่แล้ว

      Unfortunately, the Kenyan electorate is stupid enough to buy it

  • @abrahamtirorastogiceo8042
    @abrahamtirorastogiceo8042 4 ปีที่แล้ว +1

    If you bought your lexus at 22 and you call yourself a hustler then we are doomed

  • @millymaj762
    @millymaj762 4 ปีที่แล้ว +7

    Mtoto wa maskini akipata thru kuiba? Rudisha our tax money!!!!!!

  • @sultan037
    @sultan037 4 ปีที่แล้ว +3

    Kubali tu Oscar wewe ni tapeli

  • @malcomxochieng9257
    @malcomxochieng9257 3 หลายเดือนก่อน

    USIAI TRUST MANAMBA. NIMERUN MATATU NTAKUSHO.

  • @antonywaithera
    @antonywaithera 3 ปีที่แล้ว

    Not demolishing your opinions but I see that you started high school in 2003 , meaning 2002 ulikuwa oshago or something

  • @SuperZackspeed
    @SuperZackspeed 4 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha well show how you got it, show the paper trail and you’re good. Otherwise don’t run around playing the victim card. GTFO.

  • @rumpelstiltskn5574
    @rumpelstiltskn5574 4 ปีที่แล้ว +1

    ...ni kwa sababu maskini wote tunajua (kuanzia kenyatta, moi, ruto) walitajirika kighafla na kimiujiza! 😒😏😂🤣😆😅

  • @kwahmah230
    @kwahmah230 4 ปีที่แล้ว +4

    mp danda rudi shule ukasome

    • @rumpelstiltskn5574
      @rumpelstiltskn5574 4 ปีที่แล้ว

      ...shule kufanya nini!? 🤷🏿‍♂️ jamaa alinunua lexus yake ya kwanza akiwa na miaka 23 wewe umeona mwalimu yupi akiendesha lexus hata na miaka 70!? 🤔😒😏😂🤣😆😅🤷🏿‍♂️ Afungue shule yake atufunze sisi pia

    • @johnmbugua4923
      @johnmbugua4923 4 ปีที่แล้ว

      hiyo ni kali

  • @thomasmarende2445
    @thomasmarende2445 4 ปีที่แล้ว

    Kesi za kushangaza za kunyemelea watu na kuwekelea ,haziendi pahali,labda court ya justices Ngisheru alieapisha kibaki usiku,but hii ya maranga utapinga mpaka supreme court incase wakushtaki nayo.

  • @ummysgeneral6719
    @ummysgeneral6719 4 ปีที่แล้ว +2

    At 25 you bought your first lexus alafu unasema wewe ni maskini mmezoesa kuchexea psychology ya common mwananchi it is not proper you have been ipower 2013 to-date mbona hatukuona mtoto was maskini akichampion for our welfare

    • @naibeigeofrey3359
      @naibeigeofrey3359 4 ปีที่แล้ว

      If u wasted ur time at that age know some used their time to build themselves don't catch feelings work hard

    • @ummysgeneral6719
      @ummysgeneral6719 4 ปีที่แล้ว

      It is not that it is wrong to buy lexus at that age but the problem is the narrative changes the whole perspective.

  • @johnmbugua4923
    @johnmbugua4923 4 ปีที่แล้ว

    makosa yako kubwa mhesh ni kuingia siasa , sasa umejianika lazima ujibu hiyo maswali sabini , mbeleni hawakukuuliza maana hawakukujua. it goes with the territory kubali.

  • @aliamirbakar5580
    @aliamirbakar5580 4 ปีที่แล้ว +3

    Wewe sudi na group yako ni waizi ulikua makanga ubunge umekaa kwa mda gani?mpaka uweze kununua magari ya kifahari this time utenda ozea jela

    • @aliandrew3537
      @aliandrew3537 4 ปีที่แล้ว

      Wajua a nalipwa ngapi na Ana biashara gani mbona tunachubguzana hivi

    • @aliamirbakar5580
      @aliamirbakar5580 4 ปีที่แล้ว

      Sisi pia tuko na mbunge bt simwizi kama wakalenjin kuanzia babaenu moi alikua mwizi mwalimu tu wa shule moi inaeza eleweka 24yrs kwa uwongozi mshahara wa mbunge ni laki Saba na Yale magari ni ya bei ghali hata mshahara wake aweke bank miaka kumi bila kuchukua iwe ina ingia tu tena hawezi kununua gari kuchunguza yeye sudi na murkomen hachunguzi ya watu wale tunaomba kwa mungu alete zake baraka Dp na team yake mungu awaangamize na safara wao wakienda popote kutusi watu na kujigamba

  • @brianireri943
    @brianireri943 4 ปีที่แล้ว

    Sasa maskini akipata ni wizi!! Mbona akina Murathe wakiiba pesa za KEMSA hawaitwi wezi!!!

  • @peterachuti8237
    @peterachuti8237 4 ปีที่แล้ว +1

    At the age of 22 ukanunua Lexus? And now mnapatiana wheelbarrows kwa vijana wenye umri wa 35😏 idiot

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe jina lako ni sudi ni muhimu sana utaambuwe jina lako sudi east Africa ndio nani ni muhimu sana jina sio ati jina ni mabababu zako wametoka wapi hiyo ndio kitu muhimu kweli kabisa amani amani kwetu sote tu ache ukabila ama sisi hatutaendelea mbele

  • @aliamirbakar5580
    @aliamirbakar5580 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto wamasikini rudisha pesa munajidai husler kumbe ni macorapition nyinyi ndio mumeangusha uchumi sasa munanyoshea kidole Uhuru DP amefagia kila mali mushidwe kwa jina la baba majambazi

  • @tambokavz
    @tambokavz 4 ปีที่แล้ว +1

    Nonsense

  • @samsamsam8425
    @samsamsam8425 4 ปีที่แล้ว +1

    hizo ni siri zako why make it public!

  • @princetrendz3493
    @princetrendz3493 4 ปีที่แล้ว

    DCI wanatumiwa kisiasa na Siku zao ni chache sana

    • @Ericmwangii
      @Ericmwangii 4 ปีที่แล้ว

      Huyu aki iiba pesa ya wagonjwa ni thulma kwake, serikali inamutafuta
      Aki nyinyi

  • @maxwellnzai9542
    @maxwellnzai9542 4 ปีที่แล้ว

    And then unajiita hasela....hasela gani mwenye ulimilik gari ukiwa 22....stupid

  • @abelmakori
    @abelmakori 4 ปีที่แล้ว

    Ufanyangi kazi na serikali na uko dani ya serekali? Wacha izo bana,ukishikwa shika mana.

  • @dt1wach206
    @dt1wach206 4 ปีที่แล้ว

    Whats he trying to justify???you cant go from from rags to riches overnight??.....he needs to cut the bullshit and tell us the truth????if he won the lottery 👍....if not come on dude......When a man comes to me and tries to convince me that he is not a thief, then I take care of my coppers

  • @AItechnologieswithallan
    @AItechnologieswithallan 4 ปีที่แล้ว

    The guy is a fool we don't need your explanations deal With it the way it comes you think your smart then deal with the smartest