Sisi wengine ni waathirika wa upungufu wa unminifu wa mwamba huyu. Nipo kenya. Ni mpigaji na mimi binafsi kanipiga. Laki 5 ya hapa kenya 🇰🇪 kanipiga na simu hapokei. Dawa zake zinaweza kuwa kweli labda lakini utapeli upo ndani yake. Sikusimuliwa yamenikuta na hali ya kua anajua kua tuna mgonjwa sana na tunahitaji matibabu ambayo anasema anayo
Mashallah
Assallam alleikum warahmathulahi wabarakatu
Naitaji madawa na kisomo ,,ila Niko mbali mjini Nairobi Kenya
Maashallah allah awabariki sana
Allah akulipeni
ALHAMDULILLAH.
Assalm alaykum warahmatullahi wabaeakatu alhamdulilah sijmbo shek Mimi nitasaidikaje Kam Niko mbl naitaji. Kisomo
Daah Sheikh ALLAH ameujaalia uongeaji tuu but otherwise mmmhhh.
Sheykhu kuna maya tima wlio sahaulika yaani maustadh wa madrass
dokta sule mimi naitaji uduma zako niko mkoani lindi na uwezo wa kuja dalesaram sina unanisaidiaje apo
Sisi wengine ni waathirika wa upungufu wa unminifu wa mwamba huyu. Nipo kenya. Ni mpigaji na mimi binafsi kanipiga. Laki 5 ya hapa kenya 🇰🇪 kanipiga na simu hapokei. Dawa zake zinaweza kuwa kweli labda lakini utapeli upo ndani yake. Sikusimuliwa yamenikuta na hali ya kua anajua kua tuna mgonjwa sana na tunahitaji matibabu ambayo anasema anayo
piga hii simu ndg +255786747022 tuliangalie tatizo lako
Ndugu pole sana ila wapigie hizo namba walizokutumia na nakushauri usisikilize maneno ya watu wengine
Naomba mwenye namba ya Dr sulle wenzangu haraka iwezekanavyo
Soma juu utaziona
Huyu jamaa ni mpigaji tu ana haki za watu nyingi sana
SULLE DR. NJOO MARAMBA TANGA UJEUTOE TIBA
Mashallah