Mnyonge hana haki? Masaibu ya wana-Kariobangi yaendelea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mamia ya watu waliofurushwa katika eneo la Kariobangi bado wamesalia kulala nje, huku hofu ikitanda miongoni mwa kuhusu watakako kwenda baada ya ardhi hiyo kuwekwa ua, hivyo badi kuwafurusha tena.
    Kundi la Sonko Rescue Team hii leo likiandimisha miaka 10 tangu kuzinduliwa kwake limewapa chakula na misaada mingine na kuinua matuamaini yao.

ความคิดเห็น • 97

  • @michaelasembo7950
    @michaelasembo7950 4 ปีที่แล้ว +5

    Sonko be blessed........... Hata kama inasemekana unaiba... Ni vizuri unakula na sisis.. Hivo ndio inatakikana........

  • @vincentgitiva8849
    @vincentgitiva8849 4 ปีที่แล้ว +14

    Our government is full of hyenas,Sonko be blessed

    • @apocalypsething8088
      @apocalypsething8088 4 ปีที่แล้ว +1

      it is cursed satanic cult dark state government!

    • @carolynesalamba7605
      @carolynesalamba7605 4 ปีที่แล้ว

      Ata cjui mbona watu humchukia na kumuonea na vile ni mtu mfiiti

  • @امرائد-ط9ق
    @امرائد-ط9ق 4 ปีที่แล้ว +5

    Everywhere sonko....china sonko....sonko may God bless you

  • @susanmwangi3826
    @susanmwangi3826 4 ปีที่แล้ว +1

    SONKO GOD BLESS YOU FOR HELPING OUR PEOPLE YOUR MAN OF GOD

  • @hannahnjoroge5457
    @hannahnjoroge5457 4 ปีที่แล้ว +1

    Sonko you are a God sent ,may he continue to bless you

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona prezo hawezi kujitolea kusaidia watu anawachia sonko tu mungu akuzidishia sonko unafanya kazi nzuri.

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 4 ปีที่แล้ว +3

    Sonko God bless you abundantly

  • @dareenali6086
    @dareenali6086 4 ปีที่แล้ว +1

    Inauma Sana kuona wanawake na watoto wapo kwenye Hali hiyo kwanza ni aibu kubwa vipi mnavyo watendea Hao innocent Malaika wa mungu na mama zao haki za watu hazitopotea na nyinyi pia yatawafika malipo hapa hapa duniani

  • @alicewambui3979
    @alicewambui3979 4 ปีที่แล้ว +2

    Sonko b blessed ata doo umeaza kuona watoto wa watoto wako juu uko na utu dani yako na utaeda far🤲🙏🙏🙏, wengine watangengana buru na mwisoe watakufa kaa👉🐕🐈🐕🐈🐕

  • @ambiamash2194
    @ambiamash2194 4 ปีที่แล้ว +2

    Sonko sonko may God gave u more in this world and hereAfter ur always the helper to the helpless, let those who did this to wanyonge rem that one day we shall all face our lord and answered him wat they did to them

  • @jennynjeri9917
    @jennynjeri9917 4 ปีที่แล้ว +2

    I can't control my tears 😥😥....sonko God bless you

  • @sharleenkate6648
    @sharleenkate6648 4 ปีที่แล้ว +3

    May God bless u sonko u are the only leader in Kenya I trust

    • @sam.3782
      @sam.3782 4 ปีที่แล้ว

      The best leader in Nairobi,, Thank you sonko,,God bless you

  • @rechealmugure9198
    @rechealmugure9198 4 ปีที่แล้ว +2

    Sonko God bless u,wanjiku anahitaji mtu kama wewe si watu wa kulilia matumbo zao zijae na uongozi wa majina tu

  • @queenharrison4396
    @queenharrison4396 4 ปีที่แล้ว +3

    Mkenya anaishi ni kama ako inchi ya ugeni ..i salute u sonko

  • @gracewangeci1512
    @gracewangeci1512 4 ปีที่แล้ว +4

    God bless you sonko

  • @stellahmatinez6653
    @stellahmatinez6653 4 ปีที่แล้ว +1

    May God reward you abundantly mike songo

  • @marymuthama2906
    @marymuthama2906 4 ปีที่แล้ว +6

    Now the sonko thy used to mock and say he has stolen government money is th one helping th pple who th so called government has demolished their houses.is a pity tht no humanity in th so called leaders.mlaaniwe kabisa!

  • @gachokad
    @gachokad 4 ปีที่แล้ว +4

    Although this is sad, the problem is created by politicians who issues public land to voters without telling them that the government can take it away any time. Later when the government comes to reclaim the land, everyone is crying. Nairobi is one of the poorest planned city where millions lives without sewage or any open area for recreation cos everyone want to build and occupy any free area. Those empty spaces were set aside way back to meet needs for everyone not privately.

  • @user-dn2nr2gj7f
    @user-dn2nr2gj7f 4 ปีที่แล้ว

    Sonko umesaidia watu sana,wagonjwa masikini,walimafu na pia wenye shida mbali mbali.mungu akubariki na familia yako siku zote

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 4 ปีที่แล้ว +1

    Sonko mungu akubariki

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 4 ปีที่แล้ว +4

    Uhuru acha pombe ufisadi Kenya umekithiri nchi inazama lol haki this is too much

  • @johnohando2390
    @johnohando2390 4 ปีที่แล้ว +1

    This man Sonko

  • @mzeeniwewe136
    @mzeeniwewe136 4 ปีที่แล้ว +1

    Aki huyu sonko anasaidia wanyonge Sana mungu akubariki sana

  • @ruthwambugu7549
    @ruthwambugu7549 4 ปีที่แล้ว +3

    Walai sonko should be kenyan president but not uhuru

  • @annasannas6210
    @annasannas6210 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless u mike sonko

  • @monissandungu4601
    @monissandungu4601 4 ปีที่แล้ว +1

    What do we call this ??? Plus corona ,Suicide mission ama? Alafu kidogo utaskia nobody can stop regge ..Goverment!!! Goverment !! GOD IS WATCHING ..God bless you sonko

  • @annitahkenya9724
    @annitahkenya9724 4 ปีที่แล้ว +5

    These why God is not happy with Kenyan government,,they must repent as soon As possible

  • @bernardmuoki4241
    @bernardmuoki4241 4 ปีที่แล้ว +1

    Aky poleni sana

  • @godfearing6975
    @godfearing6975 4 ปีที่แล้ว +2

    Kenya hamna prezo Bure kabisa... Sonko na okothee ndio wanajua Wanjiku ni watu pia

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa Sonko Ubarikiwe Sanaaaa.

  • @cliffordmaboi2298
    @cliffordmaboi2298 4 ปีที่แล้ว +1

    Sonko thank GOD BLESS YOU 0047.

  • @salmasalim2482
    @salmasalim2482 4 ปีที่แล้ว

    Sonko hoeee mungu akubariki wewe na family yako sonko Kama vile umeokowa Hawa wenye shida sahii

  • @tabithamogire9670
    @tabithamogire9670 4 ปีที่แล้ว +1

    Just imagine its you .imagine..........

  • @wairimundichu5973
    @wairimundichu5973 4 ปีที่แล้ว +9

    Hao ndo watu wa corona incase wafe...uhuru ngojea malipo

    • @vincentgitiva8849
      @vincentgitiva8849 4 ปีที่แล้ว +1

      Uhuru is busy foaming COVID-19 coalition with Raila and other greedy people.let him get more loans from China and share with his friends.

    • @vincentgitiva8849
      @vincentgitiva8849 4 ปีที่แล้ว

      @Anonymous well with everything that is going on they can't win 2022, Kama miaka kumi ndio ameiba zaidi ya moi,I wish Raila angejua how his resume looks like now.

  • @dominicmsafiri5301
    @dominicmsafiri5301 4 ปีที่แล้ว

    Sonko God bless you

  • @user-dn2nr2gj7f
    @user-dn2nr2gj7f 4 ปีที่แล้ว

    Sonko mungu akulinde kabisa

  • @carolineundisa4028
    @carolineundisa4028 4 ปีที่แล้ว +2

    Give them shelter,not only food,

  • @evelynnekesa9341
    @evelynnekesa9341 4 ปีที่แล้ว +1

    Aki mungu bariki sonko

  • @veronicangechu2217
    @veronicangechu2217 4 ปีที่แล้ว +1

    sonko God bless you

  • @nzingomazera9214
    @nzingomazera9214 4 ปีที่แล้ว

    Kweli mnyonge ndie mwenye kunyanyaswa na hana sauti. Hii yote itakuja isha na siku moja. One day kenya will be great again abd it has to start with u and me. Let's change our country lets protect each other.

  • @joelnjoroge4408
    @joelnjoroge4408 4 ปีที่แล้ว +3

    Uhuru God is watching,na hatakumbali ulale vyema bila kulipia and if it happens believe you watoto wako watakuja kulipia.So disappointed how we miss Kibaki,and as Nyoro told you,you will never even come close to what Kibaki did to this country.Tafadhali ata kama ni siasa achana na maskini please tunakuomba

  • @sarahmunga5885
    @sarahmunga5885 4 ปีที่แล้ว +2

    Woiye aki uhuru why why?

  • @meseckabdul4341
    @meseckabdul4341 4 ปีที่แล้ว +7

    UHURU is the one doing this and if you try to address this issue you become an enemy of the state, is there any humanity here this is a very high degree of stupidity and hypocrisy ignorance and childish character , How do you feel when this young innocent children are sleeping in cold what do you gain, , Lack of common sense

  • @sallymartim2668
    @sallymartim2668 4 ปีที่แล้ว +1

    Oo Lord see our country,

  • @rosekiongo7260
    @rosekiongo7260 4 ปีที่แล้ว +1

    This MCA is so humble

    • @shaikhazowayed2534
      @shaikhazowayed2534 4 ปีที่แล้ว

      Ata afadhali sonko minaesa sema mnasema sonko ni mwizi bt pesa zake zazaidia maskini....wewe uhuru na huyo hadshake wako...kubomolea tu watu manyuba...malipo ni hapa tu.

  • @janemutisya7375
    @janemutisya7375 4 ปีที่แล้ว +4

    Enyewe sonko tu...mungu akubariki

  • @rosekiongo7260
    @rosekiongo7260 4 ปีที่แล้ว +3

    Believe me they were never given any notice

  • @mollynemodani472
    @mollynemodani472 4 ปีที่แล้ว +1

    Wen will our government change surely?wen will kenya get the right people to rule ?this is sad lots of people are suffering especially at this moment of fighting this covid 19

  • @walkerfamily5582
    @walkerfamily5582 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama Raila na group yake hawangetiwa mfukoni,ungemuona hapo the first day na vitendawili

  • @annemungai4562
    @annemungai4562 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanataka mshikwe na corona ndio watutangazie number inaenda juu

  • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
    @sheikhibrahimabdullahikeny1509 4 ปีที่แล้ว +1

    People are suffering, na wengine wanakula Chai na mandazi ya 400 million
    Na watu Ata wanakosa breakfast

  • @zuwenahumud305
    @zuwenahumud305 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallh

  • @consom5317
    @consom5317 4 ปีที่แล้ว

    Sonko 2022

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 ปีที่แล้ว +2

    Sad😢😢

  • @wamsufitness3217
    @wamsufitness3217 4 ปีที่แล้ว +1

    Kufurushwa si shida shida Ni kufurushwa hii time ya Corona things are really really tough God please change this situation I pray🙏💞

  • @valerieshinia8526
    @valerieshinia8526 4 ปีที่แล้ว +2

    Corona itakosaje kusambaaa kama hii ndio mtindo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @marykinuthia6067
    @marykinuthia6067 4 ปีที่แล้ว +1

    Shida kweli.

  • @mainakamau5657
    @mainakamau5657 4 ปีที่แล้ว

    6 month rent!let it be and follow the house owner will give you all the names because they have list of all names

  • @nishnish1144
    @nishnish1144 4 ปีที่แล้ว +3

    Government ya mafisi na wajinga!!

  • @munirafatma6090
    @munirafatma6090 4 ปีที่แล้ว +1

    jamani serekali kuuhaina haina huruma kabisa

  • @AbdullaAbdulla-pw5nd
    @AbdullaAbdulla-pw5nd 4 ปีที่แล้ว

    Hivi kwanini Raisi wa Kenya huwapendi raiya wako, unapenda wateseke, kwanini unawavunjia, waishi wapi na taifa lako limejaa maradhi ya Corona hemu Uhuru Kenyata badilika achana na ujinga fuata nyayo za Raisi wetu wa TANZANIA Magufuli

  • @susanwanja1395
    @susanwanja1395 4 ปีที่แล้ว +2

    Swali langu ni mmoja kwani hii ni Kenya ni sonko tu alichaguliwa
    Imembaki miaka 2 tu mtatupa mkiomba kula

    • @johnohando2390
      @johnohando2390 4 ปีที่แล้ว

      Do you think Sonko is ready for presidency?

  • @oloipala8590
    @oloipala8590 4 ปีที่แล้ว

    Wapi Raila?

  • @sweetgal4738
    @sweetgal4738 4 ปีที่แล้ว

    Imagn mtoto analala kwa baridi mtu ajege khai tuko kenya gani

  • @iammarwa
    @iammarwa 4 ปีที่แล้ว +1

    Who is the "owner" ???

  • @sweetgal4738
    @sweetgal4738 4 ปีที่แล้ว

    Wanjiga akuna Corona kenya

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 4 ปีที่แล้ว

    Kweli uhuru wewe ni raisi wa aina gani ata afadhali uongozi wa dictate moi

  • @sky-rq6mv
    @sky-rq6mv 4 ปีที่แล้ว

    Suppliers wa mattress, bucket hawajalipwa

  • @maryjones3523
    @maryjones3523 4 ปีที่แล้ว

    This is not good at all... They should have a solution to all this problems.. Before this spread... ...?

  • @tabithawanjirundegwa7861
    @tabithawanjirundegwa7861 4 ปีที่แล้ว

    Sonko God bless you

  • @shiphrahblessing284
    @shiphrahblessing284 4 ปีที่แล้ว

    God bless you sonko

  • @sarahmbihi5471
    @sarahmbihi5471 4 ปีที่แล้ว

    Sonko God bless you