Leo nimekuwa WA kwanza kucoment, na WA pili kuview nipen liks na maua yangu
Wazee kama hawa wote wagongwe na treni ya mwendo kasi wafilie mbali na mwili wake usione Kane..
Yaan hii tamthilia inatusisitiza tusimuasi Mungu kwa kimridhisha mtu ambae anakupa kitu alichopewa na uyo uyo Mungu kwa kweli Fety kazini na Mjomba hatimae mumewe kafariki
Hakika upo sahihi tusimkalifishe mwenyez mungu kwa ajili ya kuridhisha nafsi...Chukua maua yako tena ya warid
Mbona huyu mjomba mkorof kamla mweziwe ikisha kambadilikia kweli inaumiza sana
Ataekae elewa hiyo karatasi ina ujumbe gani basi kuna zawadi yake
Mjomba mkorofi kumbee kitawaramba nyote usikute hiyo karatas kuna wasia wa marehemu
Mbona mimi mwenyewe natamn hiyo karatas iwe wosia wa marehem ntafurah sana
Pole sana dada mjomba mnafiki kweli
Mjomba hafai