JUMA LOKOLE AFUNGUKA PENZI LA DIAMOND NA PAULA, ZUCHU AVUMILIE TU, RAYVANNY HAFAI, GIGY NA BABA LEVO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 72

  • @florahhemedy4053
    @florahhemedy4053 ปีที่แล้ว +1

    Jumaa❤❤❤😂😂nakupendaa bureee kwl

  • @user-ne4fl7kc8h
    @user-ne4fl7kc8h ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂ila juma lokole2 khaa

  • @user-pn8jy9pb5e
    @user-pn8jy9pb5e ปีที่แล้ว

    Ok

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 ปีที่แล้ว +2

    Eti Rayvany mkubwa,,,, mkubwa ana umri wa mjomba ako yule? Chuki sio nzuri Juma.

  • @yuzarsifutv7716
    @yuzarsifutv7716 ปีที่แล้ว +5

    😆😆😆😆😆Ila juma unanichekesha sana

  • @aminabashir1167
    @aminabashir1167 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂juma juma jumaaaa

  • @mbwaralali5049
    @mbwaralali5049 ปีที่แล้ว +1

    Joe boy 😂😂 juma boy twakuona

  • @salimbahmad
    @salimbahmad ปีที่แล้ว

    huyu juma sio mzima hahaha fala sana haha

  • @frenchygigi
    @frenchygigi ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂joe boy

  • @laurad32
    @laurad32 ปีที่แล้ว

    Anajikoroga mwenyewe mara aweke hili mara atoe lile😅😅😅

  • @naymar8823
    @naymar8823 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kiumbe hapana kwakweli 🤣🤣🤣🙌

  • @marshialmarshah9032
    @marshialmarshah9032 ปีที่แล้ว +14

    Ili jamaa limbea na confidence sana

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ila juma mbona hapo kwa simba kusema yuko singeli unatafuna maneno😂😂😂

  • @rahmarashid420
    @rahmarashid420 ปีที่แล้ว +2

    Muongo juma na mnafik sana sana

  • @Veelicious999
    @Veelicious999 ปีที่แล้ว

    Juma jamani😂😂😂

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 8 หลายเดือนก่อน

    Ulificha mwishowe ikatokea she broke stuff.. That was low...

  • @dinahkimario3361
    @dinahkimario3361 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂juma

  • @Veelicious999
    @Veelicious999 ปีที่แล้ว

    Jump jamani😂😂

  • @lucyjames2307
    @lucyjames2307 ปีที่แล้ว

    Juma unanipa raha jamani 🤣🤣

  • @LeticiaMayala-xx1kv
    @LeticiaMayala-xx1kv ปีที่แล้ว

    Dunia simama nishuke mie😮😮

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh ปีที่แล้ว +2

    Ati joeboy 😂😂😂 ww ni juma boy bana😂😂😂

  • @kimah9855
    @kimah9855 ปีที่แล้ว

    Juma😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jojoshama2494
    @jojoshama2494 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂juma weuh bhana

  • @christobellndovie7060
    @christobellndovie7060 ปีที่แล้ว +1

    Juma hapo pa heshima upo sahihi

  • @NewPhone-oh7ge
    @NewPhone-oh7ge ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂Ila juzi ulisema unamiaka 25 kumbe mkubwa tu 😂😂😂

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 ปีที่แล้ว

    Udogo gani sasa wakati mm hapo noko standard 2😅😅😅

  • @zenabibiye
    @zenabibiye ปีที่แล้ว +2

    Mbavu zangu 😂😂😂 haya mdomo koma

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +12

    Kiufupi daimond anawachezea watoto wakike,,sio vizur

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 ปีที่แล้ว +1

      Lakini huyu Paula kwanini amekua jamvi la wageni na ni mtoto Mdogo jina lake limechafuka kwni hana wazazi jamani kila siku Paula yupo na huyu kesho huyu vipe

    • @joycekaguo8476
      @joycekaguo8476 ปีที่แล้ว

      Kachezewe na wewe

    • @SpoonlyPastries
      @SpoonlyPastries ปีที่แล้ว

      Na wao wanakubali pia

    • @Thebaddest255
      @Thebaddest255 ปีที่แล้ว

      @@halimamasai2234Kwani we inakuuma nini 😂

    • @ashamaneno9819
      @ashamaneno9819 ปีที่แล้ว

      Alaf Paula wanavyosema n mdogo m siwaelew kwan utoto mwish s miaka18 nae kashavuka ila Kila leo utasikia et mtoto du wamuache azihesabu n atapita nazo had z ma anko sasa

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂jumaaa.kumbe zuchu kaduchu.sasa mond amuache zuchu amuoe zari .wanaume wapenda wanawake wadogo,chuchu saa 6

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yani juma unajuwa kutupa umbeya kabisa wewe wallah unanichekesha kabisa😂i😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂

  • @jaykeith3548
    @jaykeith3548 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 ปีที่แล้ว +2

    Yani djuma umenifurahisha Sana eti Diamond anacekaceka😊😊😊

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว

    😂😂 Joe poy

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว

    Joe boy tena 😂😂😂

  • @aishashabani4835
    @aishashabani4835 ปีที่แล้ว

    Juma weye unanifurahishag kweli kabisa

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 ปีที่แล้ว

    Joeboy❤️❤️❤️

  • @hellleinpaul1262
    @hellleinpaul1262 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

    • @hellleinpaul1262
      @hellleinpaul1262 ปีที่แล้ว

      Pole sana zuchu wanaume awadhaminiki😭😭😭😭😭

  • @allymangogasya8068
    @allymangogasya8068 ปีที่แล้ว +1

    Ila juma umechaguwa vibaya kwawale wanawake ,Wale siwatu wazuri utakuja kujuta,Mimi nilijuwa ubaya wa kajala pâle aliporudiyana n'a harmo nika ona yulo si mwanamuke mwenye akili mutu alilala namtoto wako lakini unarudi kwake ,n'a walipotoka kwa harmo Siku iZi harmo kaishiwa ,Hana tena lolote Wale ndo walimusapot harmo n'a wao ndo walimaliza harmo ngoja Mario atajuta

  • @maryannactress
    @maryannactress ปีที่แล้ว

    Zuchu kazaliwa 1993

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว +4

    Diamond kaongea mwenyewe yuko single 😂😂

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 ปีที่แล้ว

      Ulimsikia diamond kwa mdomo wake yeye mwenyewe ametamka live yupo single?! zaidi ya kwenye film ya young african femace, unaamini mambo ya mtandaoni na kwenye move wasanii wakiwa wanatafuta trending na kiki hahaha pole sana

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 ปีที่แล้ว

    Juma muongo kwa mgoti huwachi

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 ปีที่แล้ว

    Toa usenge wake we ufane na Asake. Nyoo

  • @PRIMEREZBYTZ-bg3yr
    @PRIMEREZBYTZ-bg3yr ปีที่แล้ว +1

    Kwakuwa diamond bodo ana nguvu zote mpaka za kiuno muache afanye kazi zote

  • @JanethJoshua-rs1ze
    @JanethJoshua-rs1ze ปีที่แล้ว

    Uyuu mwandsh ana muhojii mtuu ukuu unachat 🤕🤕🤕

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 ปีที่แล้ว

    branding ndiyo nn😩😩😩

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว

    Zuchu pia anakujua wewe ndo kuwadi

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni joygirl

  • @user-ct7vm7bq9w
    @user-ct7vm7bq9w ปีที่แล้ว

    Kasema Hana mahusiano kwani hawaoni picha zote za zuzu si mazuzu tuu. Huyo Fantana ni wakujitembeze. Busu Fantana ndiyo kampa diamond

  • @Mamiseti7
    @Mamiseti7 ปีที่แล้ว

    😂

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 ปีที่แล้ว +2

    Uyujaaamq nimuobea sanna

  • @Official83640
    @Official83640 ปีที่แล้ว +1

    Juma mengine katupiga we Zuchu akawe darasa la 4 ww form2 halafu muwe mnakaa pamoja shule kwenye dua mmhh Msingi na Secondary mnaakaje pamoja

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 ปีที่แล้ว +1

    MDANGANYENI TUU MTOTO WA WATU

  • @dhahabucharo-os2rr
    @dhahabucharo-os2rr ปีที่แล้ว

    Juma lkin unaongea umbea wa hilali😂😂

  • @starzone0458
    @starzone0458 ปีที่แล้ว

    Na vanny walikua wanaendana ,, kwani vanny ana ukubwa gani

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 ปีที่แล้ว

      Hapo kwa reyvan juma ni muongo, paula alikuwa anapendezana mno na reyvan kuliko marioo huo ndio ukweli ulio uchi

  • @BJOHNMAUSA
    @BJOHNMAUSA ปีที่แล้ว

    Juma yupo sahihi.
    UMBEA ni jambo lisilokuwa la mmbeya, pia ni jambo lisilomuhusu mmbeya mwenyewe, lakini Mmbeya akalibeba Jambo hilo na kulivaa, kulipeperusha kwa jamii na kwa waMbeya wenzake, na kulihaminisha Jambo hilo kwa kiwango kikubwa sana, na hahijalishi kuwa ni kweli ahu ni uwongo.(MMBEYA / UMBEYA).
    Maana

  • @nihadshighadi4095
    @nihadshighadi4095 ปีที่แล้ว

    Lakn juma hua anaongea tu

  • @zainabhussein5542
    @zainabhussein5542 ปีที่แล้ว

    Mbona wewe pia alikufanya na husemi mpumbavu wewe Juma lokole ongea ukweli kama wewe pia diamond alikufanya mjinga

  • @aishashabani4835
    @aishashabani4835 ปีที่แล้ว

    Juma weye unanifurahishag kweli kabisa

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @christermbelwa1562
    @christermbelwa1562 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @zenabibiye
    @zenabibiye ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂