Khaaaaaaa simulizi mix mmetuamulia safari hii, HATUJAIMALIZA ROHO ZA MABINTI SITA SAFARI YA KUELEKEA KWENYE MSITU WA AJABU Mmeshatutolea mali mpya kabisa,ngoja nosanuke nayo mwanzo mbaka Mwisho shukrani familia ya simulizi mix
Huu ni ukweli Mtupu kuna watu tuliolewa na Watu ambao hatukuwategemea kwa sababu wale tuliokuwa tunawapenda hatukuwa na ujasiri wa kuwaambia. Mila na desturi za TZ tumeponzeka Mr Felix!!!
Asate sana simlizi mix fellix mweda has him azziz Mbalikiwe sana
Nimekumbuka sana kanumba rest in peace kaka
Sisemi kituu ila asante mwenda
Khaaaaaaa simulizi mix mmetuamulia safari hii,
HATUJAIMALIZA
ROHO ZA MABINTI SITA
SAFARI YA KUELEKEA KWENYE MSITU WA AJABU
Mmeshatutolea mali mpya kabisa,ngoja nosanuke nayo mwanzo mbaka Mwisho shukrani familia ya simulizi mix
😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Asante sana Felix mwenda kwa simulizi na biti tamu sana Asante sana simulizi mix
Asante sana vpenz ila bado tunaisubiria nyuma ya mlango wa adui season 3
Leo mpya tuuu Asante sana simulizi mix na kaka Felix mwenda
Asante kaka felix 🙏💃💃tunainjoy san kuckia saut yako tamu nasimuliz mzur💞
Shukrani kaka felix mwenda kwa sauti nzuri na hashim azizi kwa utunzi mahiri kitu kipya
Munatufanya Siku ziende mbio jamani hata stress zinapunguwa na kujirinda watu ambao wanatupotezea muda🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇸🇦❤
Saaana yaan tunaenjoy❤❤❤
Asante sana felix mwenda na hashim azziz kwa kitu kipya mbarikiwe sana
Wow kitu kipya sio
Asante Sana Felix mwenda na hashim aziz
Nasikiliza kutoka kenya
Namba 7 sijachelewa sana, jamani humu ndani nimewamisi sana, Nickie fredy nashukuru kwa kunikumbuka sijakuona kwenye kijiji chetu
Asante sana Felix Mwenda ❤❤
Na cha ziada kujifunza vitu vingi sana kwenye maisha 🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa kweli
Shukraaan sana Kaka Felix na Hashim
Shukran sana kaka felix
Huu ni ukweli Mtupu kuna watu tuliolewa na Watu ambao hatukuwategemea kwa sababu wale tuliokuwa tunawapenda hatukuwa na ujasiri wa kuwaambia. Mila na desturi za TZ tumeponzeka Mr Felix!!!
Asante sana Kwa simulizi nzuri pia sauti nzuri sana,
Asante sana kaka felix napenda sana simulizi zako congutulation
Tunasubili
🥰🥰🥰🥰😍💯
Nzur 😍
Alakini simunaitowa mara 2
Mariamu ukuje huku ukumbize kama kwenye
DOA LA NDOA 😁😁😁😁
Niko naona kitu kipya
Mambo uko poa ww
Oh nimechelewa kufija hapa but ni kama true story vile? Nzuri kabla sijaimaliza hongereni msimuliaji na mwandishi pia
Ila felix unapenda kusifu kabila yako 😂😂😂😂
Felix Iko wap laana ya ukoo season 3 😭😭😭
Daah kwel zainab laana ya ukoo mda sasa
@@Kisiesiecomedy daah mie nikajua mie pekeangu ndio sijaiona mana jmn walituacha na ham zetu 😅😅😅
@@zayumar2955 unajua mm had kunamuda nilimpigia cm felix mwenda nikamuulizia iy smliz
@@Kisiesiecomedy duu labda mtunzi hajatoa Bado siku akitoa bas tutaiona ila nmeimis Sana ni nzur nataman ingekuja jmn kalomo chapombe 🤣🤣🤣
@@zayumar2955 😆😆😆
Hik kinanda cha humu nilijua movies za kanumba
Jmn ni simulizi gan naweza pata fraa zaid nakucheka sana kama mtoto wamaajabu?au tembele la uwani au embe dodo😂
Baraa jmm