ความคิดเห็น •

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว +15

    Allah akulinde na maadui na akujaalie mwisho mwema yaa Rabbi

  • @buali2549
    @buali2549 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah jazzakallah kheir shekh wetu ALLAH akujalie umri mrefu tuweze kunufaika zaidi.

  • @zaatialsaadu8310
    @zaatialsaadu8310 3 ปีที่แล้ว +2

    Innishallah kheli mungu akuzidishie kheli na atupe mwisho mwema

  • @ondegesauda7028
    @ondegesauda7028 4 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka llahu kheir Allah akuzidishie umri tuzidi kufaidika kutokana na wewe

  • @leilazulpha3205
    @leilazulpha3205 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah sheikh wetu shukran kwa kutuelimisha kwa undani na nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh nurdin Allah akupe umri mrefu wenye heri na baraka

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah yaa sheikh Nurdin, shukran wa jazakallah kheyr

  • @Zuwena-jq7jf
    @Zuwena-jq7jf 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallaah shekhe wetu tunakupenda

  • @MaisalaKatele-w3r
    @MaisalaKatele-w3r 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe shekhe wetu oipenzi

  • @FatnaAlly-hp7kw
    @FatnaAlly-hp7kw ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉maashallah allah akupe nguvu

  • @kimdash6293
    @kimdash6293 5 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallah khaira sheikh

  • @jamilanassoro8408
    @jamilanassoro8408 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakkallah kheir🙏🙏Allah akujaze kheri Sheikh wetu.

  • @cutezahrazahra2062
    @cutezahrazahra2062 5 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallahu kheir shekhe.

  • @abdallahmkumbukwa4229
    @abdallahmkumbukwa4229 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sha Allah, Allah akuhifadhi Sheikh.

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 2 ปีที่แล้ว +1

    Taqbeer

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah.

  • @mamdiakite698
    @mamdiakite698 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuzidishie

  • @ibrahimabdi3183
    @ibrahimabdi3183 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ,Allah Skype afya

  • @faridashaban8853
    @faridashaban8853 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marafu

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyo ndoo yesu Alfa na Omega

  • @allymarijani6869
    @allymarijani6869 2 ปีที่แล้ว +1

    maalum

  • @sabrinasalum4387
    @sabrinasalum4387 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante shekhe

  • @zahariyamuhiyidiin9574
    @zahariyamuhiyidiin9574 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah masha Allah

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @abyazeliud9271
    @abyazeliud9271 5 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah I like that

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 ปีที่แล้ว +2

    wallah waislam tunavitendea haki vitabu vitukufu hatuna sifa yakukufuru njoo kwaupande wa ndugu zetu wanavyokufuru

  • @mohamedbulle8991
    @mohamedbulle8991 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah 💕

  • @maryambintukhadija1604
    @maryambintukhadija1604 3 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @ابوابرهيم-ر5خ
    @ابوابرهيم-ر5خ 4 ปีที่แล้ว

    SALAAM ALAYHIKUM WARAHMATULLAAH WABARAKATUH UMMAT MUHAMMAD SWALAHALLAAHU ALAYHI WA SALLAM ALHAMDULILLAAH RABBIL AALAMIYN
    Nurdiyn Kishki NINI HUKMU YA PICHA YA VIUMBE HAI?
    JE! MTUME WETU MUHAMMAD SWALAHALLAAHU ALAYHI WASALAAM ANAZUNGUMZA NINI JUU YA PICHA ZA VIUMBE?
    Tafadhali ndugu yangu katika IMANI naomba kujua!

  • @cutezahrazahra2062
    @cutezahrazahra2062 5 ปีที่แล้ว +3

    masha Allah

  • @habibizainab7300
    @habibizainab7300 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika iki kisa kinanifika mpaka naona cinéma ya wazungu inayoitwa spécial force Allah atupe mwishomwema coroani hakuaca kitu yani yesu atatowa misaraba hi inayoabudiwa mpakanaliya kwakweli Mutume Muhamadi niwamwisho maana mengi twaambiwa yapo wazi

  • @yustalipalu9929
    @yustalipalu9929 4 ปีที่แล้ว +1

    Mshaal

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera san kwa kuhubiri injili bado kidogo utakuwa mwinjilisti ongeza juhudi kumuhubiri KRISTO

  • @ramadhanmussa6318
    @ramadhanmussa6318 5 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha allah nurdin kishk🤲🤲🤲

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @saoda.11swada89
    @saoda.11swada89 5 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allah

    • @nurudinamchome6852
      @nurudinamchome6852 5 ปีที่แล้ว

      Elimu isiyomithilika, allah atujaalie nyoyo nyepes za kuelewa, inshaallah

    • @jeanmubemba1204
      @jeanmubemba1204 5 ปีที่แล้ว

      shekhe darasa zako hata sisi wakristo twazipenda sana,nakushukuru sana umetufumbua macho uongo wa hamza anatudanganya sana,

  • @OmanOman-zc5dt
    @OmanOman-zc5dt 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani mpaka kipengeleiko tu nidalilitosha ata walio klisto kukiamini Quran ndio muongozo wamwisho naomba wafunguke kimawazo naakili kupitia darsa ili

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @davidmanono7558
    @davidmanono7558 3 ปีที่แล้ว

    Ishaallah

  • @mariamjaffar3871
    @mariamjaffar3871 3 ปีที่แล้ว +1

    Kisha akakuambia ukipata mume olewa nisahihi kuolewa bila kupewa talaka ndani yamiaka nne

  • @لهيهالحكماني-ل8ن
    @لهيهالحكماني-ل8ن 4 ปีที่แล้ว +1

    Makafiri wa skilize

  • @omarmukhutar6847
    @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo uongo ukisemwa mara mingi unapata hathi yakwaminika

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 3 ปีที่แล้ว

    Kufa na kufufuka kwa Yesu au Nabii Isa huwa kuna fichwa na Wahubiri wa kiislam ila Quran inaeleza vizur,muislam yeyote asome Surah Imran @ pamoja na 5:117

  • @ramadhanmussa6318
    @ramadhanmussa6318 5 ปีที่แล้ว +2

    @kishk online tv mkamlinganie Kuna kafiri yupo kibaha misugusugu KUHUSU kufa na kufufuka kwa YESU

    • @zilashahashim248
      @zilashahashim248 5 ปีที่แล้ว +3

      yaani unaimansha wakamwambie kua yesu hakufa, badala yake aliwekwa mtu mwingine msalabani. namna hii sio kulingania mtu bali nikupotoshana tu. wote Kishki na Hamza Isa hawana maarifa juu ya hili jambo.

    • @ramadhanmussa6318
      @ramadhanmussa6318 5 ปีที่แล้ว +1

      @@zilashahashim248 ukiwa kafiri huwezi elewa kabisa we pita kushoto 😂😂😂😂😂😂

    • @zilashahashim248
      @zilashahashim248 5 ปีที่แล้ว +2

      @@ramadhanmussa6318 samahani kaka, nilifikiri unauwezo mkubwa wa kufikiria zaidi ya huu unoonyesha. pole sana. hebu chukua haya hii ya 25:63:
      Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa staha, na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama!

    • @ramadhanmussa6318
      @ramadhanmussa6318 5 ปีที่แล้ว

      @@zilashahashim248 Sasa ujaelewa nn we soma 3: 55 quran kwa waumumin hatuna Shaka na nurdin kishk yupo sahihi kwa mada hii anasoma maandishi kiufasaha kwa kafiri hawezi elewa mada hii
      Labda nikusaidie maana ya kafiri Kama utakuwa upo tayari? Kwahiy we unaungana na ASKOFU Hamza kuwa yesu alikufa msalabani ambacho sio sawa kwa mujibu wa quran

    • @zilashahashim248
      @zilashahashim248 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ramadhanmussa6318 Ndugu yangu Ramadhan, labda tukienda pole pole tutaelewana. Kabla hatuja enda kwenye mada ya 3:55 kwanza tufundishane kitu kidogo hapa. Hamza Issa sie Mkristo. Ni mwislamu mwenzetu aliyepotea. Hilo ni jambo letu yakwamba amepotea. si jambo la wa kristo yakuwa Hamza Issa amepotea. Hamza Isa Hajawai kujitambulisha kama mkiristo na hakuna zehebu la kikristo lililo mkubari. kwa hiyo kumuita ASKOFU ni kiwazalilisha wakristo bila sababu. wao hawamtabui na sisi hatumtabui. si vema kumuita ASKOFU kwa sababu tunaweza tukawaudhi wakristo halafu wakarudi wakamsema vibaya Allah (SWT), kama alivyo sema Allah (SWT) katika 6:108. Kwahiyo upotefu wa Hamza isa tumpe yeye mwenyewe na sio wakristo. nakuomba sana Ndugu yangu uachane na kumwita Hamza issa ASKOFU, kwa kumuheshimu Mwenyezi Mungu, ili wakristo wasije wakaudhika na kauli yako na wao badala yake wakatamka vibaya vitu ambayo kwetu ni vitakatifu. Itakuwa ni sisi tulioanzisha balaa. Asante
      sasa basi, tukirudi kwenye mada yetu ya 3:55. kwanza nitoe msimamo wangu yakuwa sijasimama na Hamza Isa takika muono wake kuhusiana na Isa (AS). Naona kama vile msimamo wake uko sana na taratibu za wakristo. hilo ni tatizo lake katika uelewa. kwa mfanao, anasema kwamba yesu kasurubiwa na kafa msalabani. haya maneno si kweli kabisa kwasababu yana endana kinyume kabisa na maneno ya Allah (SWT) katika Quran tukufu 4:157. hata hivyo Kishki pia pamoja na wenzake wanakosea wanaitafsiri "wala Kinshubbiha lahum" kuimanisha kwamba mwenyezi Mungu aliweka mtu mwingine katika nafasi ya Isa (AS). Haya ni makosa ya wazi kutafsiri hii sehemu ha aya kuimanisha kuwa kuna mtu mwingine aliyewekwa pale msalabani. Alicho sema Mwenyezi Mungu (SWT) in kwamba wayaudi walifananishiwa ili ionekane kamavile Isa (AS) kafa, ingawa kiukweli hawakumuua. yaani mkazo Mwenyezi Mungu ameuweka kwenye kukataa jambo la kufa Isa (AS) na sio kwenye kubadirisha mtu. nieleze tena ya kwamba anachosema Allah (SWT) ni kwamba hata kama Isa (AS) alikuwa msalabani (kama wanavyo dai wayaudi) bado hawakuweze kumuua kwa kumsulubu, ilionekana tu kwao kama vile lengo lao limetimia, ingawa haikuwa ivyo kwa sababu Mwenyezi Mungu aliwafanya waone kama vile wamemuua. Ndugu yangu Ramadhan Mussa
      (mwenyezi Mungu akuhifadhi) kumbuka kwamba mwenyezi Mungu (SWT) hakukataa yesu kufika Msalabani, alichokataa ni kufa kwa yesu kwa tendo la kusurubiwa au kufa kwa aina yoyote ile kutokana na NJAMA ZA WAYAUDI. Kwa hiyo anaweza akawa alikuwa msalabani lakini nia yao ya kumuua kwa kumsulubu au kumuoa kwa aina yoyote ile haikutimia kwa sababu mwenyezi Mungu (SWT) anatwambia kwamba analifanya mpaka ikaonekana kwao kama vile kile walichokuwa wakitaka (yaani kifo cha Isa (AS)) kimetimia. Hii ndo maana halisi ya maneno "wala Kinshubbiha lahum"
      tukumbuke pia ndugu yangu Ramadhan Mussa
      (mwenyezi Mungu akuhifadhi) yakuwa Mwenyezi Mungu alikuwa anakanusha kufa kwa Isa (AS) kutukana na njama za wayaudi. Hakukanusha kwamba Isa (AS) kafa. hivyi ni vitu viwili tofauti. kuna kufa kwa mtu kwa amri ya Allah (AS) na kuna kufa mtu kutokana na kuuliwa na mtu mwingine. Kwa mfano yule mfalme aliye bishana na ibrahim katika 2:258 aliishia kumuua mtu; pia Daud (AS) alimuua Goliath, kama ilivyo kuja katika 2:251; tunajua pia kwamba Musa (AS) alimumua mtu (28:15-16). Tunajua pie kwamba wayaudi walishauwa mitume wengi tu kabla ya Isa (AS). kwahiyo anacho kanusha Mungu ni wayaudi kusema kwamba walimuua Isa (AS). Allah (SWT) hakanushi ya kuwa Isa (AS) alikufa kifo cha kawaida - yaani baada ya kutoka msalabani. Kwa mfano, ibrahim (AS) alikuwa anataka kuuliwa. Mwenyezi Mungu akamnusuru na njama za makafiri wa kipindi chake. ilikuwa ni Ibrahim (AS) waliyeweka kwenye moto, lakini Allah (AS) akamnusuru. baada ya hapo Ibrahim (AS) akaja akafa kifo cha kawaida kwa amri ya Allah (SWT). kwa mfano yuu pia tu some kisa cha Isa (AS) katika njia hii - yakwamba wayaudi hawakumuua isa (AS). Lakini kutomuua wayaudi hakuimanishi kwamba Isa (AS) hakufa baadae.
      3: 55 ni haya inayoonyesha kuwa Isa (AS) alikufa baadae (baada ya mambo ya msalabani kuisha bila yeye kufa) alipotaka Allah (SWT) kumnyanyua. Neno "Mutawaffiika" lililo tumika hapa ni sawa kabisa na like analotumia Allah (SWT) anapomwambia mtume (PBUH) katika 10:46 (Natawafayannaka). hakuma masuala ya kuimanisha usingizi katika 3:55 na wala katika 10:46
      wa salaam

  • @stanleykyalo1115
    @stanleykyalo1115 3 ปีที่แล้ว +1

    Usilaamu muligeuza Bible kwa sababu kama usilaam ungekua wakwaza kabla ya ukristo ....nan alkua amesema yesu alikufa akasulubiwa do Koran ipinge.....na bna ao manabii wengine awajadiikwa awakufa wala kisulubiwa.....ni bora ukatumia ubongo wako japo kidogo ukaelewa ukweli

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂Kanisani Ndivyo munavyo danganyana Kwamba ukristo ulikuja kabla ya Uislam? Uislam umekuja kabla ya Adam kuja Duniani unatakiwa kufahamu iloo

  • @barumpozakogaspal1780
    @barumpozakogaspal1780 2 ปีที่แล้ว

    ir

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 4 ปีที่แล้ว +1

    YESU KRISTO NDIE MUNGU MKUU NA MWOKOZI WA ULIMWENGU WOTE

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe wana wa izalaili bado mpo

    • @masala8099
      @masala8099 3 ปีที่แล้ว +1

      David huna akili hata chembe

    • @tatotato506
      @tatotato506 3 ปีที่แล้ว

      Yesu mungu wako wewe mjinga

    • @kassimsalim6160
      @kassimsalim6160 ปีที่แล้ว

      ALLAH PEKEE NDIYE MOLA WA VIUMBE WOTE NA IPO SIKU TUTAFUFULIWA......NA YESU NI MTUME NA SIO MUNGU

    • @MaisalaKatele-w3r
      @MaisalaKatele-w3r 9 หลายเดือนก่อน

      Yesu hawez kuwa mungu abadani mungu hazaliwi. Wala Hana mwana

  • @mariamjaffar3871
    @mariamjaffar3871 3 ปีที่แล้ว

    Niko naswali naswali lenyewe nihivi jee mume kakuacha kwamiakanne nahajakupa talaka waezaolewa namume mwingine

    • @Ndagoselemani
      @Ndagoselemani 3 ปีที่แล้ว

      We unaitaka hiyo talaka au huitak

    • @suleimankhamis3053
      @suleimankhamis3053 3 ปีที่แล้ว

      Ndiyo una weza olewa lakini ufuate taratibu zake utapewa talaka na mahakama ya kazi

  • @zilashahashim248
    @zilashahashim248 5 ปีที่แล้ว +5

    kama ni hivyo basi Kishki naomba ujibu maswali haya
    unaimanisha kwamba hata mtume Muhammad (PBUH) alipelekwa mbinguni (katika safari ya miraaji) akiwa katika hali ya kulala. lakini wote tunajua hivyo sio ilivyotokea. Basi kwanini yesu apelekwe amelala?
    Pia kama unasema alipelekwa amelala, basi mpaka sasa hivyi bado amelala, kwasababu kama Quran inasema amepelekwa huku akiwa tatika hali ya kulala (KAMA MNAVYO DAI NYINYI) hakuna anayeweze kubadirisha maneno hayo isipokuwa Quran yenyewe. Hakuna kwenye Quran inaposema kwamba yesu ametoka takita usingizi huo. Hivyi kweli kuna mtu anayeamini kwamba yesu bado amelala mpaka sasa hivyi huko aliko?
    Pia Kishki (na wafuasi wako kwa ujumla) inabidi utambue ya kuwa kutouliwa na wayaudi haiimanishi kwamba yesu hakufa. Mbona Allah(SWT) alimnusuru Ibrahim (AS) kutoka takita moto ambao Mushrikuun walitaka kumuua nao. je hii inaimanisha Ibrahim (AS) hakufa baada ya hapo? Kuto kufa Msalabani kwa isa (AS) hakuimanishi kwamba hakufa baada ya hapo. Anacho kanusha Allah (SWT) katika kuran ni wayaudi kumuua Isa (AS) kama walivyo kusudia.
    Mwisho, Allah (SWT) anatujulisha kwamba alimchukua Isa (AS), yeye mwenyewe katika hali ya kifo - na sio usingizi. Hamna dalili nyie. kazi zenu kukopi tafsi za watu alafu mnasema "Mwenyezi Mungu amesema ..." mtofautishe opinion za Mashehe kama Ibn Kathir and maneno ya Allah (SWT). Allah (SWT) hakusema kwamba alibadilisha Mtu ili aonekane kama Isa (AS) halafu waRoma wamsulubu. Hizi ni kauli za watu - yaani ni opinion na sio fact. MCHENI ALLAH (SWT)

    • @ramadhanmussa6318
      @ramadhanmussa6318 5 ปีที่แล้ว +3

      Waliotafsir Quran woooteeeee inamaana NI wapotishaji kwa mujib wako kwahy TUAMBIE we Hy Quran unafata tafsiri ya Nan Kama hai wote hawana ujuzi na hAyo wanayoyasema ww usipindeshe mada we na ASKOFU Hamza ni kitu kimoja wote NI MAKAFIRI nimerudia Tena hamna ujuzi na Quran nyie mnafata tafsiri za Nan mbn huwa hamsemi TUAMBIE na ss tumfate

    • @ismailchumu6889
      @ismailchumu6889 5 ปีที่แล้ว +3

      Wewe unatoa wapi hiyo tafsiri ya Qur'an kama si hao unaosema wametafsri pasi na uhakika, huo ni ujahili wa kielimu ndugu yangu jambo Qur'an limeieleza kwa wazi kabisa na wewe sijui unapinga nini hapo!!

    • @ayshadahir6522
      @ayshadahir6522 5 ปีที่แล้ว +2

      Hii Iman ya Ahmadia kua Nabii Issa alikimbilia Kashmir wanasemaga Alifia na kaburi lake lipo huko...Jaman Hayo sijui wameyatoa wapi watu Jaman hata kama alifishwa na Allah lkn alimpaisha Quran imesema wazi jaman Allah alimnusuru hizo Iman zakusema alikufa na kuzikwa hapa dunian sasa alivosemwa kua ni Alama Ya Saa Ya qiama na kushuka kwahio kama alizikwa si ndio kama wasemavo ahmadia sindio yatakuja mambo yakufufuka kama wasemavo wakristo??? Hebu fikirien Na Tumche Allah nakumuomba atuepushe na wasi wasi wa Iblis

    • @rachelevarist70
      @rachelevarist70 4 ปีที่แล้ว +2

      we we Hashim nikafiri sema umetumia mlango mwingine wewe nikama wale akina hamza cjui kutu gani hapo hujaelewa kiujumla we we nikafiri nahizi mada hazikuhusu niwale walio amini

    • @jumamasudimbalazi8363
      @jumamasudimbalazi8363 4 ปีที่แล้ว +1

      Duuuhh mbona unaeleza kinyume?

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    .yesu alionya manabii wa uwongo makristo wa uwongo na mpinga kristo muhamadi Yuko kundi gani . Aliye kimyume na mafundisho ya yesu anae kataa yesu si mwana wa.mungu si mungu huyo. Ni mpinga kristo uisram upo kimyume na ukristo. Nani aliye juma ya in muhamadi?

  • @abdinasirabdullah9399
    @abdinasirabdullah9399 4 ปีที่แล้ว

    Just guide set gauss fullest Fuji cm egg huge hunk GGG Hahn HGH GUI huh huh HGH GUI huh GH mm the grey

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 4 ปีที่แล้ว +1

    Swali kwenu waislam je mnaiamini na kuifwata injili!!!😉🙄

    • @suleimankhamis3053
      @suleimankhamis3053 3 ปีที่แล้ว

      Kwani wakati anazungumza shekhe ukuelewa au unataka majibizano ndiyo injili alipewa nabii musa nyie mnao muita yesu aliyesurubiwa na ikiwa hakusurubiwa

    • @suleimankhamis3053
      @suleimankhamis3053 3 ปีที่แล้ว

      Sorry alipewa nabii issa

    • @kassongokittapa7762
      @kassongokittapa7762 5 หลายเดือนก่อน

      Tatizo hata hio Injili unayouliza kama tunaamini wewe HUIJUWI! wala HUJAIONA!

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 4 ปีที่แล้ว +2

    Kishk acha uongo na sina hakika ulikua ukihubili ukiwa timamu,,,plz kama umeongeza lolote mungu aseme na wewe moja ya dhambi kubwa ni kuongeza chumvi ktk neno la mungu ili uharalishe kile unachokiamini na niamini nakuambia umepoteza waislam wanaokusikia na kukuamini,,,mungu akusaidie

    • @Navigators591
      @Navigators591 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo una akili timam mzee em kua muislam utakua mzur wallah

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 ปีที่แล้ว

      @@Navigators591 haitatokea ni kheri niwe mpagani

    • @angeljustene9380
      @angeljustene9380 4 ปีที่แล้ว +1

      We acha maneno yako aliyesema waislamu ni wazuri ni nani?kila mtu ni mzuri kulingana na alivyoumbwa na Mungu na tabia yakee,pamoja na matendo mema yanayompendeza mwenyezi Mungu lakini uzuri hautokani na dinii

    • @saiidridhiwaani6637
      @saiidridhiwaani6637 4 ปีที่แล้ว +1

      @ JOseph william , tafadhaaLi tusaiDiie wapi na anDikO Gaani shekh kishki kaseMa uOnGO ?....

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 ปีที่แล้ว

      @@saiidridhiwaani6637 yesu kuoa,yesu kuzaa,yesu kusali makka,yesu kuvunja misalaba,

  • @omarmukhutar6847
    @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu mmejaribu sana kueapoteza watu

    • @Navigators591
      @Navigators591 4 ปีที่แล้ว

      Atupotez watu tuna tangaza dini ya haki ya Allah wallah Allah atafurah ukiwa mwislam maan unajina lakislam omary

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว

      @@Navigators591 Hilo lipo kwenye bibilia pia na uislamu wako ulikuja miako 650 bado ya Yesu

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Navigators591 tangazeni dini ya kweli mana haki huja bada ya kweli, na ni hii (yohana 14:6) kama unakata toa andiko uislamu ni dini ya kweli na uzima , hiyo hamna na hamtapata labda mje kwa Yesu.

    • @ismailchilonga2878
      @ismailchilonga2878 4 ปีที่แล้ว

      @@omarmukhutar6847 Toa andiko au ayaa iyonyesha yesu aliingia kanisani uislam ulikuepo kabla ya huyo yesu

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 4 ปีที่แล้ว

      @@ismailchilonga2878 tatizo hapa kanisa maanake hujui,kanisa ni mkusanyiko wa watu wanaokusanyika kwa ajili ya yesu,(18:20 Mathew),ukishaelewa maana ya kanisa utajua kwamba Yesu kanisani kila siku, na najua kile anataka kusema eti synagogue ni mskiti, hiyo aliekwambia alikudanganya

  • @issaadam6570
    @issaadam6570 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @ramadhaniissa5370
    @ramadhaniissa5370 3 ปีที่แล้ว

    Manshalah

  • @mwanaidiothumani2414
    @mwanaidiothumani2414 5 ปีที่แล้ว

    Mashalah

  • @mwanaidiothumani2414
    @mwanaidiothumani2414 5 ปีที่แล้ว

    Mashalah