Dakika 50 za Dk Biteko Bungeni, afunguka kukamilika kwa bwawa la Julius Nyerere

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @matalo0551
    @matalo0551 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dotto uko vizuuuuuriiii kwenye presentation, quick and accurate

  • @JuliusWilliam-g1d
    @JuliusWilliam-g1d 5 หลายเดือนก่อน

    Sjasikia suala la fidia za wananchi

  • @JuliusWilliam-g1d
    @JuliusWilliam-g1d 5 หลายเดือนก่อน

    Mradi wa kufua umeme rusumo nikama umesimama watu tulitasminiwa kulikwa lakin hakuna kinacho endelea mama samia tunakuomba usimamie huo mradi uweze kukamilika wananchi walipwe fidia zao

  • @JuliusWilliam-g1d
    @JuliusWilliam-g1d 5 หลายเดือนก่อน

    Dotto tunakuomba wanachi wa kagera usimamie huo mradi uweze kukamilika haraka tuweze kupata fidia zetu tuweze kufanya mambo mengine

  • @JuliusWilliam-g1d
    @JuliusWilliam-g1d 5 หลายเดือนก่อน

    Mmhh nimeskia unaongelea rusumo kukamilika wakati njia za umeme kutoka rusumo kwenda kyaka kwenda nyakanazi hakuna kinacho endelea na hiyo ndio inasababisha watu hatupewi fidia zetu bajet za fedha zilisha tolewa tunaambiwa tusifanye kitu chochote majumba yamechakaa sehem za kulima zimekanda sasa hivi tunaona mrad wa nyerere ndio uko mbele kwa kasi kuliko mirad mingine