huu wimbo unanikumbusha nikiwa mafinga iringa nilimpenda sana kaka mmoja hiv pia alinipenda sana tulipoteana mazingira magum sana nakumiss davis wangu namin ipo siku👌
Nakumbuka hii ngoma nikiwa mtwara. Kidato Cha tatu sabodo sec. Nilisimamishwa shule kwa utovu wa nizam wa kuwazarau walimu ilibidi nirudi home kwa siku 30 ile naingia kwenye gari nyimbo hii inapigwa Daaaah mda sana
Nimekumbuka kipenzi changu Alhaji yussuph a.k.a mpemba tukiwa korogwe tanga naumia sana. Tulipendana sana lakini sijui uko wp haji wangu me khadija wako nakutafuta babaa.
2010 sultan king daaah hii inanikumbusha kipind nasoma tution mchikichini ilala kwa professor digonza ....sasa wakat niko nje nasubir pind la geog kwa fizo ndo ilikuw inapigwa hii😂
huu wimbo unanikumbusha nikiwa mafinga iringa nilimpenda sana kaka mmoja hiv pia alinipenda sana tulipoteana mazingira magum sana nakumiss davis wangu namin ipo siku👌
Oooh nipo hapa victoria❤
Ndani ya moyo wangu wee ♥️♥️♥️
Jina lako kamili nani?
Ikawaje sasa
ndy mm my Victoria wangu
Watu waliandika sana kizazi cha amapiano waje hapa 2023 wasikilize huu uandishi
Yaani kipindi cha nyuma tulienjoy mziki mzuri,sio sasa ivi mambo yashakuwa mengi 😊
2023 still rocking! Love is a beautiful thing.
Old is Gold ❤❤❤,yaan nilikuwa nikisikia huu wimbo unapigwa naacha kila kitu mpaka niusikilize uishe ndo nifurah 🤣🤣🤣
R I P baba hakika hii nyimbo uliipenda sana
Nakumbuka hii ngoma nikiwa mtwara. Kidato Cha tatu sabodo sec. Nilisimamishwa shule kwa utovu wa nizam wa kuwazarau walimu ilibidi nirudi home kwa siku 30 ile naingia kwenye gari nyimbo hii inapigwa Daaaah mda sana
Wewe uko wapi jamani uku watu wanatukana tu hakunamuziki jamani ludini viti vipo bado mashabiki wenu tupo ❤❤ sultani lud kaka
"tusijali kuchekwa amini ipo siku na si twacheka" penda sana huu wimbo from 🇧🇮
Duuuuuuu kitambo sana iyo ngoma ila bd iko dukani
Hii ngoma inanikumbusha pindi nmeanza mahusiano na mume wangu kitambo sana💋
Wangapi wamerudi baada ya kuona ngoma ya nedy music
Nimekumbuka kipenzi changu Alhaji yussuph a.k.a mpemba tukiwa korogwe tanga naumia sana. Tulipendana sana lakini sijui uko wp haji wangu me khadija wako nakutafuta babaa.
Ongezaa bidii brother unajua sana
Who is here 2024
Justin wherever you are remember this song 2010 until now bado tunapendana 2023
Back in the days memories nikiwa 254🇰🇪🇰🇪
Yan hii ngoma ina miak zaid ya 6 iko fresh Sanaa tofaut na ila zuwena ya juz haina kitu
ina miaka 12 hii
Dahh!! Kitambo sana😂😂😂 Kuna kademu kalikuwa kananizingua kinoma mpka nakaimbia😂
Nakubali sana sultani goma kali sana kimetoka mwaka 2009 namaliza darasa ka 7
Naukubali huu ever2021💝
Hii ngoma inanikumbusha vita ya majimaji so songea dah!! Sitoisahau ile siku 😢
Kiukwel huu wimbo unanikumbusha 2011 safar yangu ya kwanza kufika dar ....
2010 sultan king daaah hii inanikumbusha kipind nasoma tution mchikichini ilala kwa professor digonza ....sasa wakat niko nje nasubir pind la geog kwa fizo ndo ilikuw inapigwa hii😂
Kipindi iko nasikiliza bongo fleva ndani y radio uhuru kitambo sana 2003
Nakukubali sana Sultan uliebakia mjini#2019
Been searching for this song yaani. Beautiful song🇰🇪🇰🇪
Nisee,,,song cjui ,,,
Yuko hyu jmaaa 2021
This song is still walking in my ear 2021
Mi 2022
I will never get over this song its my fav song
Now 2021 still more 🔥
Dah RIP Rico single
Back here baada ya Nedy kutumbusha 🔥🔥
Dah dah dah dah long time ago mungu wangu we jamaaa uliendaga wapi dah
I used to love this song when I was 15 n I still do
Now ua16...plz.come tuanze maisha
Uko wapi Dogo tulipenda Sana song zako sauti Tamu🔥🙏
Bonge la hit
Huyu jamaa alitesa sana sijui yuko wapi
Unaona ee
yupo ila hali sihali waswahili wamemroga pombe2 na yy kipaji kipo ila sio zar
Good song ever
2021 mwezi wa 5 gonga like
Kwani jamaa yupo wapi au kauza simu haoni comment 😅 hapa nilikuwa magugu babati huko . Dah mziki unaishi
🎶 2021 ♩🎶
Sijui aliendaga wap huyu fund
Balaa
2011 ndo naanza Form 1 kila saa nilikuwa nakiliza kutwa nzima muda huo ndo mahusiano ya kwanza naanzisha 😅😅
2022 my bext melody
Natamani muone tena kwamara nyengne mm ni
2023 keep watching
2022 here love song
Ayeeeee fire 2021
Nice king
Sultan king2010
Kali
2022 still
2022 still on fire
2022 anyone? #memories
Bonge la song kiukweli
Nakumbuka nilikua kidato Cha 2 katavi
Bonge la ngoma yan hata balehe si ifaham
R.I.P Rico 😢
❤❤❤
R.I.p zena
✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿🔥
2022
Still 2021 . gonga like
2022 still hit
2022 😋😋😋
2021
2023
Since 2010
Vokolist
Ongezaa bidii brother unajua sana
2022
Nakumbuka uhu wimbo ulinifanya nianze kujuw nn Mana ya mapenz
2021