Hii Nyimbo inanihudumia San kwakwel.....YESU akutunze my lovely Brother.....Imani Eric shoo #Wewe ni mbarikiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤🙏🙏🙏
Wimbo huu umenibariki sana na kuamsha hisia za kiungu ndani yangu, the song is wonderful, bravo !!! , my brother and sister this is wonderful work, God bless you
Powerful song 🎵, flory to God. Our sovereign God Almighty, true and living God. We worship Jesus as our savour. Thank you for this powerful song. God bless you Eric.
Sichoki kuusikiliza huu wimbo jamani,mungu aiinue huduma yenu juu zaidi🙏🙏🙏
this is my favorite song asante sana Mungu kwa kuifanikisha nyimbo hii.. naamini katika jina la Yesu itakuwa baraka kwa wengi
Big up
Mbarikiwe sana kwa wimbo huu
Tuna barikiwa sana kwa uduma yenu
Ubarikiwe Sana mdogo wangu Imani nyimbo nzuli Sana Mungu akubariki Sana 🙏🙏🙏
Hii Nyimbo inanihudumia San kwakwel.....YESU akutunze my lovely Brother.....Imani Eric shoo
#Wewe ni mbarikiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤🙏🙏🙏
Aisee Wewe Jamaa una kitu kikubwa sana Mungu akuinue zaidi utakuwa mkombozi wa Injili Tanzania na africa .Mungu akuwekee juu ya vyote Amen.
Huu wimbo umenibarikii aiseee Mbalikiwee Sana Sanaa 😇😇
Amina kaka Mungu warinde nawapenda sana wimbo mzuri sana nimebarikiwa sana Mungu awatunze ❤❤❤
Amina kaka
I am personally waiting in such an excitement that I can't even sleep
Hongera sana Music Director wetu ❤️❤️❤️❤️ songa mbele
Hongera sana mdogo wangu,songs mbele
I love you watu wa MBINGUNI hii inatubariki wengi asante Iman na Florentina ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
Mungu mwema huu wimbo ni Mungu tu anasema ubarikiwe 🙏🏼🙏🏼
This song should be nominated for the best song of the year already!! Imani and Florentina 👏🏾👏🏾👏🏾..... proud of you
Udumu alipo kuweka na zaidi kukupandisha LORD bless you love you so much
Uishi milele mdogo wangu Mungu azidi kukutunza na kukuheshimisha.
What a beautiful song! Mungu aendelee kukuinua mtu wa mungu!
Atukuzwe Yesu aliyewaleta duniani 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Amina Amina, nimebarikiwa Sana. Wimbo mzuri Sana, hongera Sana mwana wa MUNGU
WTS GOD BLESS YOU
IMAN SHOO
Aisee 🔥🔥🔥
Ubarikiwe sanaa Mwanangu lmani na waimbaji wote wimbo mzuri umenibariki sanaa
Our brother and MD. Congratulations
Nimebarikiwa sana. Neema zaidi, Upako zaidi kwenu watumishi wa Mungu...
Ubarikiwe mdogo wangu,nice song
Mungu wa wokovu wetu, amen. Be blesed for the blessing message
Wimbo huu umenibariki sana na kuamsha hisia za kiungu ndani yangu, the song is wonderful, bravo !!! , my brother and sister this is wonderful work, God bless you
Mungu wa mbinguni akutunze daimaaa😍😍😘😘😘😘nimebarikiwaaa jaman jaman 😭😭😭yesu ni zuri jaman
👏👏🔥🔥 Am blessed .keep it up
Naupenda uu wimbo najihs kam nip mbiguni hongera sana kak
Ubarikiwe saaaana mtumishi wa MUNGU imani Eric
, Mungu akuinue zaidi kakangu
Hongela Sana Iman napenda Sana huu wimbo uinuliwe zaidi
The song is powerful❤️❤️❤️❤️
Wimbo mzuri sana. Be blessed Imani.
Amina wajina 🔥🔥🔥
My brother Imani ..Mungu akubariki katika safari yako ya mziki 👊🏿❤️
Wimbo mzuri mnoo hakika nimebalikiwa mnooo.🙏🙏
Be blessed kaka
Who else is BLESSED here😢
May God Bless you🙏🙏
Tarehe 27/5 ni cku ya birthday yangu sipangi kukosa nitakua pa1 na wewe kukusupport, Florentiner asante kwa kuipeperusha familia Yetu.
Aminaaa wimbo mzur mbarikiwe sana 🤗👍
Nyimbo inanibariki sana hi 😭😘
Mungu azidi kukutumie zaidi katika uimbaji wako 🔥🔥🙏
@@imaniericshoo ucjal nimeshare tangu jana 🔥🔥🔥🔥💪
Nabarikiwa sana na huu wimbo kila niusikilizapo
Haikuwa akili zako kutunga wimbo huu ni Mungu ndan yako Bwana akubariki Sana
Nabarikiwa sana na huu wimbo...! Mungu awainue zaidi
Ongera sana Mwanangu mwimbo wako umeniponya, mm mama Mongi
Utukufu kwa Mungu hongera sana Kaka first time nilisikia kanisani ( Ufufuo na Uzima) nikaitafuta TH-cam sikuipata Asante now ipo. Mungu akutunze.
Ameni nitafanya hivo
Minister Imani Eric Shoo, we love you❣️❣️❣️
May God bless you dear brother
Mungu akupe hekima na uweza zaidi katika kazi yake
Amen
Tukopamoja na wewe pia Mungu azid kukutumia kijana Wake
Huu mwimbo nimekuwa naurudia mara nyingiii mno umenibariki mno
Sichouchokag huu wimbo . unaniiuniu saana kiiman
👏🏽👏🏽👏🏽 what a song man of God!! .......Keep it up
Go my young go...nice work. Keep it up ❤️❤️❤️
Bwana akutumie mpaka miisho ya nchi
Ubarakiwee🙌🏿🙌🏿
The very best👏🏽👏🏽👏🏽👍🏼
Safi sana songea mbele mtumishi wa mungu
Wew ulieweka misingi ya nchi best part
Wimbo Mzuri Sana Mungu Akubariki
Mungu akutunze na akulinde, huu wimbo unagusa sana
Makataraboshilakamana....oooohhhhh 🙏🙏🙏🙏
MUNGU WA WOKOVU WANGU HAKIKA KAZI NJEMA SANA
My brother iman, like this song ❤,more appreciation
Waiting....
I'm waiting for it ❣️❣️❣️
Yes yes.,. Dah powelful song
Amen Nyimbo nzuri Sanaa
Very proud of you!! 💯🙏🏾🙏🏾
Ubarikiwe sana mdogo wangu🎶
kazi nzuri sn bro
U r super kaka nice 🎵
Keep singing America is watching 🇺🇸
Nimebarikiwa sana sana. Hakika Mungu anaweza yote
@@imaniericshoo nitafanya hivyo. Asante sana
Ubarikiwe sanaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Mwimbaji wa kimataifa , Yesu awe pamoja na wew Kwa kila hatua
Safi kaka pamoja sana
Well done for conquer the worldwide for Christ Kingdom
Keep it it, it is brings Glory of Ufufuo na Uzima Dunia for Christ
Mungu awabariki wimbo ni mzuriii
Very Powerful!!!!!🔥🔥🔥💥💥💥
@@imaniericshoo We are waiting for more; Just allow God to use you.
Hongera sana kazi nzuri
I'm so excited 😍
barikiwa san kaka
Wimbo mzuri sana mwana wa Mungu... Ubarikiwe zaidi na zaidi🙏
Am your new fan from today ..from 🇰🇪 kenya am blessed
I came across this young gentleman and I love his powerful songs. May God guide your paths in Jesus name
Good song with a good message..
Be much blessed🙏🎤
Nyimbo nzuri Sana imenibariki. Ubarikiwe na Mungu akusaidie Katika Kazi zako za muziki wa injili.
Big up Imani Shoo. This is so marvellous 🙌
Ameen bro mungu akubariki sana
Kazi nzuriii sana mkuu🙏🙏
Powerful💪💪❤️
Mdogo wangu...tunasubiri kwa hamu
What a way to start my morning and week. The Lord of my salvation. Am blessed..
@@imaniericshoo Trust me. Kenya is coming along with me to be blessed here.
I'm waiting...
Powerful song 🎵, flory to God. Our sovereign God Almighty, true and living God. We worship Jesus as our savour. Thank you for this powerful song. God bless you Eric.
Unayetunza ghala za mvua hakika❤❤nimebarikiwa sana
Namtukuza sana MUNGU wa wokovu wangu aliyekufikisha hapa..ubarikiwe sana na uzidi kuinuliwa kwa kazi njema ya MUNGU..❤❤❤
Mungu akuinue sana Imani.
Tunasubiri kwa hamuuu
Keep going on your future my young,,,GOD BLESS ALL