Intro Cheki VIC Esoteric F-O-enzi kwa beat F-O-enzi Okay Verse 1 Jina ni Victor na stahili kuwa kwa who’s smarter now Naishi Eastlands una-wait nihame wee sahau VIC na-sahite Eastlands kama karao Homeground ya sheng kauskii naongea vi-different Hauja-notice mi na shimoli tuko na resemblance Ukipata accident, umegongwa tu na ambulance Mbuyu wako most likely anaendeshanga ambulance Ubeste ni unstable kama ndege iko na turbulence Wacha ngeta unyang’anywe simu via SMS Mahali manzi yako aki-get ball juu ya S-E-X Unamuuliza uko na ball, kwani ulikuwa World Cup Ukienda ukipata sistake unamtoa top up cha celtel Watu huku ni wengi Pumwani kuna nduru non-stop Kwa bus stop Mathree zinafuata Juja na Jogoo road Pot-holes juu lami siku hizi ni rough road Chorus Kanzi makarao walevi Ma-hawker makonde madere Ni Eastlands Wagongaji ma-hustler wadosi Ni Eastlands Machizi, waweider walanguzi Ni Eastlands (Eastlands anthem Hii ni anthem) x 4 Verse 2 Mi huwa na madame 60 na maboy 35 D nasikia Mau Mau wako more than 35 Saa ya jam nasikia 58 unalipa 35 Panda 19C lakini before ifike 5 After that itabidi umetafuta 1960 Esto ka Jeri ilijengwa 1960 Zingine ka savo ni za 1990 Utanipata Jam Rescue niko gauge na barabara haina jam Buru shopeh, napiga nduru na sijali Nakunywa Kenya King. Huruma ni ka si kali Niko na squad imevaa sahara na satellite Wengine ni waizi na kwao wana satellite Ma-boy usiku hawapendangi kuona street light Ma-boy huendanga tao daily na hawananga bu flight Eastlands unajua karao before aende kiganjo Alafu unam-avoid ka ngotha ya kitambo Chorus Kanzi makarao walevi Ma-hawker makonde madere Ni Eastlands Wagongaji ma-hustler wadosi Ni Eastlands Machizi, waweider walanguzi Ni Eastlands (Eastlands anthem Hii ni anthem) x 4 Verse 3 Hauna oxygen, panda 23 utaptaiwa hewa Jaribu Kupanda 33 uone mahali utapelekwa Emba watoi wanazaliwa ka wamelewa Eastalands city, nangojea tu kupewa mayor Hakuna gold-digger huku madame wanataka silver Wee ni mjinga ukipata mbuyu wako ana-shiver Ufikirie ni m-sick please Ni vile ame-miss chang’aa kwa liver Majirani kwa story yako ka shadow Ukisikia umesifiwa kwa birthday party Ukipata manzi ni virgo You’re so so lucky Nduru kwa system kuliko skeleton ya Bob Marley Bar saa ni mingi na hakuna ile inauza barley Mbuyu amekonda na watoi wana vitambi Ata miss Eastlands huku ana kitambi Ulisema boy wangu wa Calif, sis hatuhami Chorus Kanzi makarao walevi Ma-hawker makonde madere Ni Eastlands Wagongaji ma-hustler wadosi Ni Eastlands Machizi, waweider walanguzi Ni Eastlands (Eastlands anthem Hii ni anthem) x 4 Kanzi makarao walevi Ma-hawker makonde madere Ni Eastlands Wagongaji ma-hustler wadosi Ni Eastlands Machizi, waweider walanguzi Ni Eastlands (Eastlands anthem Hii ni anthem) x 4 From: www.ghafla.com/lyrics/eastlands-anthem/
If this song came out in 2019 it would be having over a million views..still a hit🙌🙌🙌🙌
Tunajua karao kabla aende kiganjo, alafu tunamuavoid kama ngotha ya kitambo
Timeless music!!!
Kenyan Talents Rock!!!
Great jam... when Kenyan hip hop was up there ! Long live Walanguzi
Intro
Cheki
VIC
Esoteric
F-O-enzi kwa beat
F-O-enzi
Okay
Verse 1
Jina ni Victor na stahili kuwa kwa who’s smarter now
Naishi Eastlands una-wait nihame wee sahau
VIC na-sahite Eastlands kama karao
Homeground ya sheng kauskii naongea vi-different
Hauja-notice mi na shimoli tuko na resemblance
Ukipata accident, umegongwa tu na ambulance
Mbuyu wako most likely anaendeshanga ambulance
Ubeste ni unstable kama ndege iko na turbulence
Wacha ngeta unyang’anywe simu via SMS
Mahali manzi yako aki-get ball juu ya S-E-X
Unamuuliza uko na ball, kwani ulikuwa World Cup
Ukienda ukipata sistake unamtoa top up cha celtel
Watu huku ni wengi Pumwani kuna nduru non-stop
Kwa bus stop
Mathree zinafuata Juja na Jogoo road
Pot-holes juu lami siku hizi ni rough road
Chorus
Kanzi makarao walevi
Ma-hawker makonde madere
Ni Eastlands
Wagongaji ma-hustler wadosi
Ni Eastlands
Machizi, waweider walanguzi
Ni Eastlands
(Eastlands anthem
Hii ni anthem) x 4
Verse 2
Mi huwa na madame 60 na maboy 35
D nasikia Mau Mau wako more than 35
Saa ya jam nasikia 58 unalipa 35
Panda 19C lakini before ifike 5
After that itabidi umetafuta 1960
Esto ka Jeri ilijengwa 1960
Zingine ka savo ni za 1990
Utanipata Jam Rescue niko gauge na barabara haina jam
Buru shopeh, napiga nduru na sijali
Nakunywa Kenya King. Huruma ni ka si kali
Niko na squad imevaa sahara na satellite
Wengine ni waizi na kwao wana satellite
Ma-boy usiku hawapendangi kuona street light
Ma-boy huendanga tao daily na hawananga bu flight
Eastlands unajua karao before aende kiganjo
Alafu unam-avoid ka ngotha ya kitambo
Chorus
Kanzi makarao walevi
Ma-hawker makonde madere
Ni Eastlands
Wagongaji ma-hustler wadosi
Ni Eastlands
Machizi, waweider walanguzi
Ni Eastlands
(Eastlands anthem
Hii ni anthem) x 4
Verse 3
Hauna oxygen, panda 23 utaptaiwa hewa
Jaribu Kupanda 33 uone mahali utapelekwa
Emba watoi wanazaliwa ka wamelewa
Eastalands city, nangojea tu kupewa mayor
Hakuna gold-digger huku madame wanataka silver
Wee ni mjinga ukipata mbuyu wako ana-shiver
Ufikirie ni m-sick please
Ni vile ame-miss chang’aa kwa liver
Majirani kwa story yako ka shadow
Ukisikia umesifiwa kwa birthday party
Ukipata manzi ni virgo
You’re so so lucky
Nduru kwa system kuliko skeleton ya Bob Marley
Bar saa ni mingi na hakuna ile inauza barley
Mbuyu amekonda na watoi wana vitambi
Ata miss Eastlands huku ana kitambi
Ulisema boy wangu wa Calif, sis hatuhami
Chorus
Kanzi makarao walevi
Ma-hawker makonde madere
Ni Eastlands
Wagongaji ma-hustler wadosi
Ni Eastlands
Machizi, waweider walanguzi
Ni Eastlands
(Eastlands anthem
Hii ni anthem) x 4
Kanzi makarao walevi
Ma-hawker makonde madere
Ni Eastlands
Wagongaji ma-hustler wadosi
Ni Eastlands
Machizi, waweider walanguzi
Ni Eastlands
(Eastlands anthem
Hii ni anthem) x 4
From: www.ghafla.com/lyrics/eastlands-anthem/
10 years and still counting. hit like kama unatambua walanguzi.
Umsee alikuwa writer noma sana😂
Nice. 👍👍👏👏👏 Great music from my generation.
much love from umoja 1..h-town...sick tune...
My favourite raper of all time vicccccccccc......igweeeeee
Manze, ngoma ndio izi sasa. Big up!
mbuyu amekonda na watoi wana vitambi, ata miss eastlands pia ana kitambi
Sickest line ever
This is real drill still on it 2018 ,.......058 lyrics from dead 100%
man I miss these times
Eastlands representing Na hii anthem🔥...ivotubadobasi,kalitusanaa💯
Manze where did they go.They shaped the Kenyan Music industry especially hip-hop.Big up @walanguzi
Am here 11 Sep 2021.
Walanguzi ni 🔥
Eastlands damu !!!! weweeee.... tuko
nani ako hapa 2020?
Immortal technique- dance with the devil sample!!!!! Noma.
hahaha......"emba watoi wananzaliwa kama wako maji" :-D :-D :-D
2022 still representing
Ukipata accident umegongwa tu na ambulance..
Bars man💯
Still fresh and dope in 2020
Great lyrics, long live VIC
watu wakam lessons ♨️💥🔥🌟⚡
Uko na ball kweli ulikuwa world cup 😂😂😂😂😂
wah....hii ni kali sana bana..........HIP HOP
22/12/2017 bado n dope
ubeste ni unstable ka ndege iko na turbulance
nimetiiiiiiiiiiiiii,nimecheza marakama yote
Eastlands 4ever ! Big up VIC
VEE EYE CEE didnt play no games.... bars buda
hahahaahaahah! kuna squad imevaa sahara na satellite..unajua karao b4 aende kiganjo akirudi una mav=oid kaa ngotha ya kitaaaaambo! hahaha!
D naskia maumau ni more than 35.....wengine ni wezi na kwao Kuna satellite
eastlando madem si gold digger wanadai tu silver......tru dat
Kuna ngoma ya walanguzi uitwa put your hands up someone needs to post it
EASTLANDS THE HOME TALENTS NA AKUNA KUBISHANA........
Eastlands Damuuuuuuuuuuu
Mhenga wa TH-cam
@@KevinEricNgugi94 pia wewe utageuka mhenga soon..ha! ha!
Noma 🔥🔥🙌🙌
kuna punchlines hapa mehn
Ngoma yetu ya mtaani
walanguziiiii.... BIG TUNE
hakuna goldigger huku madem wanadai silver
So them performing wapi concert british council❤
Noma bro
This is HARD.....na si tafadhali!
Fire
This song so wagwan so noma. Here 2022 /2023
This is still 🔥 🔥 🔥
Hii ilikuwa hit bila streaming!!!
2024 nikikumbuka vile tulikatiana via SMS!
for the graffiti
2019 Na bado niko eastlands anthem...
Mamanzi wa eastlando wana vitambii 2018 bado eastlando sihamiii
Amen to this times
Noma sana
Nomaree 🔥🔥..2022
Hakuna Gold Digger huku ma dame wanataka Silver..!!
Ah Aaaaargh!
2021 real talent
Hakuna Gold diggers , hapa madame wantaka silver
Who's here May 2024🔥🔥
2018
Hurush ni home
Emba!! makasi
eastlandosss......
MAAAAAAAAAAAAADAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Real og #shimoli#rip
D-town mtaani
Going through old skool kenya music..I remember them all
HAHAHA....Stil DOPE
Punchlines kibao
🎯🎯🎯
2024 representing
Hehehe
Ati easlands? ..Southlands mwisho!!
Brain Child 58.
2023👑
Walanguzi ni wa crazy
mwoto
💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣
2019
2023 .
Hii ilkua inafanya nkue proud kukua m Eastlando
th-cam.com/video/acVg9Icby9E/w-d-xo.html
Barrsssssss meeeehn
hahahaha
2024!!!
kabisaa
th-cam.com/video/2ZJ166nFzdY/w-d-xo.html