You're looking smart and handsome. Jerome may continue protecting you making you more healthy handsome and strong enough to fight for your life. Stay blessed
Dave may God protect you always, please Jeremy nakuomba usiwai msahau mungu urudie njia ya maovu kama ndollo fuata njia ya wokovu hadi milee na Mungu atakuinua na kukubariki milele
Dollo amemwaga damu za watu wengi na familia nyingi zinalia juu yake kupata amani itakuwa sio raisi lazima alipie.Amerudi tena kwa uganga amesahau mambo ya uganga yalipomfikisha wacha kitamlamba soon na usirudi tena hapa kuoma kusaidiwa
Watu wa Mungu Mchukulieni Ndoro taratibu. Kiroho ni mtoto bado akifanya makosa mvumilieni tu mpaka atakapofikia kukua kiroho. Tafadhali mhusisheni Pasta Eliya. Akikosea mrejesheni kwa upendo
Ujue kuokoka ni uamuzi wa mtu mwenyewe, huyu alilazimishwa kuokoka wakati wake Bado,,, mi naona aachwe akutane na Mungu mwenyewe,katika uovo wake lazima apatane na Mungu tu, katika njia zake
huyo hana lolote mpaka wanapanga kumfanya dav awe kichaa mara tomm auliwe sasa hapa mnatetea nini huyu mtu ni shetani tu na anaipenda ushetani wake@@Mamas-06k
Ndolo still holding grudge with everyone.....Hasn't changed yet..we dave ugejiuliza bona yeye hakueda msa ...aliachwa arushe mapepo kwa studio wàkati mlikua mnaokoa akina Fred....right hand man wa nguku wa nguli
Ss ni nini huyu anadanganya pastor joshua aty saa alinunuliwa na fan na alipewa kwa uganga apatie tom nto wawe wanamtrack nayo ,hizo texts zote ziko kwa simu yake akisema tom amalizwe ,ndolo your so evil and you will suffer , your days are numbered na utalia
Nafurahi kuona Jeremiah wauu I bless the lord for this
Ndolo you will face the God's music, Our God is great
May God protect you senior dave 🙏
You're looking smart and handsome. Jerome may continue protecting you making you more healthy handsome and strong enough to fight for your life. Stay blessed
Dave may God protect you always, please Jeremy nakuomba usiwai msahau mungu urudie njia ya maovu kama ndollo fuata njia ya wokovu hadi milee na Mungu atakuinua na kukubariki milele
Ndollo ni mchawi
Dollo ni evil man ,,,dave achana naye siku moja kitamramba
We utakufa genz watakuuwa ukirundia kazi ya kuuza kidney hautakaa hiyo kiburi utapereka hell
Tom alikuwa anajinyonga ju wewe ndiye umemroga kupitia ngùkù wa ngùli
Dollo amemwaga damu za watu wengi na familia nyingi zinalia juu yake kupata amani itakuwa sio raisi lazima alipie.Amerudi tena kwa uganga amesahau mambo ya uganga yalipomfikisha wacha kitamlamba soon na usirudi tena hapa kuoma kusaidiwa
Ndolo one day one time utajua Mungu ndio alikuumba na uchawi husaidii utatesekea uko ady kifo
Ndollo this round kitakuramba vibaya sana na cjui mwenye atakwokoa next n nani😢😢
Watu wa Mungu Mchukulieni Ndoro taratibu. Kiroho ni mtoto bado akifanya makosa mvumilieni tu mpaka atakapofikia kukua kiroho. Tafadhali mhusisheni Pasta Eliya. Akikosea mrejesheni kwa upendo
Ujue kuokoka ni uamuzi wa mtu mwenyewe, huyu alilazimishwa kuokoka wakati wake Bado,,, mi naona aachwe akutane na Mungu mwenyewe,katika uovo wake lazima apatane na Mungu tu, katika njia zake
huyo hana lolote mpaka wanapanga kumfanya dav awe kichaa mara tomm auliwe sasa hapa mnatetea nini huyu mtu ni shetani tu na anaipenda ushetani wake@@Mamas-06k
Mbona anahusika kuuza watoto w Tom
Ndolo is talking facts and facts alone! Ubaya watu wengi hawapendi kuambiwa. Wanataka hao wawe wenye kukuambia
Walahi adi naona ni mm pekeyangu naona hii
Mbona anapangia watu mabaya akaozee njera
Achana na ndollo kabisa.
Hii ni setani haiwezi badilika
Walai
@@EstherWanjiku-bs3kzvery true hawezi
Ndola wee weee Joshua 24:15 and Dave Matthew 5:7 Dave be blessed 🙏🙏 my brother na Mungu anakwenda ❤❤❤❤💚💚❤️💛
Dollo umetowa mbuzi wapi zakupatiya muganga na unasema huna kitu
Dollo anasema kweli wakati mambo ikawaka moto ndio watu wanafwatilia kwa wingi lakini kukiwa kumepoa ooi huwezi pata mafans wengi 😂😂😂
Ndollo kwasabu aligundiwa ujawe wake na Mganga sasa anataka kujifunika na fulugu fulugu ndio watu wasaawe hiyo ugaidi yake period.
Doo hataki nyinyi muongee
Ndolo anaitaji deliverance first n enough time to recover
Dave achana na Ndolo ni hypocrite
Kwa nini unamkasirikia Dave wewe ndollo!! Ilihali wewe ni msaliti mkubwa
Ndolo still holding grudge with everyone.....Hasn't changed yet..we dave ugejiuliza bona yeye hakueda msa ...aliachwa arushe mapepo kwa studio wàkati mlikua mnaokoa akina Fred....right hand man wa nguku wa nguli
Hiyo duthi usiweke kwa studio dave ,ikaombewe dhen uuze usaidie Tom
Uyu afai kuishi na watu tena ata aezi saidika bure kabisa
Achana nayo bt Dave chunga maybe ameiroga kama vile alimpa Tom pete yenye imejaa mashetani tupu
Dollo wants to dominate this whole show Dave akose nafasi ya kusema mambo yake.
Ako na pesa ameuza nayo watoto ndio anarudisha pikipiki.
Ndollo punguza roho mbaya
Na ni muuaji
Huyo ndollo hawezi badilisha tabia hata maybe anauzanga kidneys
Huyu ndolo ni mganga
Kwani dollo walipona macho😮😅
Sasa ulikuwa unasema anarundi na nguvu mapya za kishetani sasa hizo ni kitu na kufunga nayo ww u have mocked GOD wait at see The power of GOD
Ndolo acha kuangalia mambo ya watu safari ya mbinguni kila mtu ataenda peke yake
Ndoro get saved but ur not a good person if u can condemn senior Dave surely
A
Ndolo ni kurogwa amerogwa
Ndollo ibilisi
Kma hataki ipewe Jeremy niatige mwithunuro onake
Asante ya punda Ni mateke,🙄🙄, Sasa Ndollo umeona ufanye hivyo, kwatarifa zako unajifukuziya Baraka zako mwenyewe,
Ndollo u wll regret
This ndolo is a good man!
Ndolo sio mtu mzuri kama uliwatch Ile episode alikuwa amemwambia mganga amfanye dave kipofu au amuue ndio utajua sio mzuri.
@@raphaeltuju-zi2qh was it before or after he had bn prayed for?
@@mwoso Juzi tu ndio akaanza sarakasi
Ndolo be yourself and move on! Let them not fool you or even not try to School you. Trust your own intelligence
Xx unajaribu kuambia arudi kwa kuuza kidneys ama
@@Majumba3366 hujanielewa kabisa! Nasungumzia hoja za wakati huu, sio Yale alikua akifanya wakati ule.
Ndolo anasema ukweli.ukisaidia watu ufai kutangaza.hapo Dave ujafanya poa.
Pst Joshua uko na kazi kwelikweli
C Dave ndo anatangaza amesema n mafans
Anyolewe nyoere.
Ss ni nini huyu anadanganya pastor joshua aty saa alinunuliwa na fan na alipewa kwa uganga apatie tom nto wawe wanamtrack nayo ,hizo texts zote ziko kwa simu yake akisema tom amalizwe ,ndolo your so evil and you will suffer , your days are numbered na utalia
Too much talking with no meaning, you want to justify yourself but God is watching you
Afadhali hiyo macho ingepotea shetani ya mtu, what we know you was planning to witch tom and senior dave