KONGAMANO LA WAIMBAJI: UMUHIMU WA ROHO MT. KATIKA UIMBAJI | MCH.SIX

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Agosti 16 2021 idara ya Huduma ya Sifa na Muziki 'HSM' jimbo la Shinyanga Magharibi wameanza rasmi kongamano la waimbaji binafsi na kwaya zote toka makanisa yetu tisa yanayopatikana jimbo la Shinyanga Magharibi.
    Katika kongamano hilo wahudumu wa Neno ni Mchungaji Sixberth Kuzenza na katibu wa Jimbo la Shinyanga Magharibi Leonard Maduka, kongamano limefanyika katika kanisa la mahali Kahama mjini hapa Fpct Shalom Temple na litadumu kwa siku sita hadi Jumamosi Agosti 21 2021

ความคิดเห็น • 3