PATANISHO : CHRISTINE - MWANAUMME NILIKUWA NAYE ALIKUWA WOMANIZER
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Dada jifunze kuishi single mama,,life is sweet,, don't force love my dear,,,,
Volume atulie alee
Alafu magonjwa yako huyu ndio mwenye kubeba magonjwa.
Mwanaume ni strees
Exactly Am single mom with 3 kid's Naosha choo wakisoma
I feel this guy anakaa huyu dem juu alimpea ugonjwa and he doesn't want his status known to public
Wanawake olewa na akupendaye sio umpendaye,sasa ona huyu badala aangalie future ya watoto anakimbizana na mapenzi
Sijui anarowa wapi nguvu
Hii nguvu yaku force mapenzi watu hutoa wapi? Respect uaself and stay single period,
Hata Mimi nashangaa
Tushangae tu😂😂😂😂😂
This is the shortest love story in this kaswede error(gonorrhoea).kujuana Dec,kaswede na mimba na kutoka,kupelekana Kwa redio na kurukana kisasa in 2 months time🤔🤔🤔.Tayari hii ugojwa imefika Mombasa,Kisumu na kwingine....
Shida yao n they never learn😥
Very tragic indeed😢
To make the long story short huyu jamaa ndio amemuambukiza ugonjwa
I salute your sentiment. Jamaa anaonekana ndo alimpea kaswende and now ameruka. Kaswende sasa iko Kisumu na Mombasa....CIA can track the virus in 1km radius in either cities.....
This is the same thing I passing right now. I know that feeling. Imagine mtu akufishe Pete after view months unamurudishia.
Nawapata vizuri kutoka moshi tz🇹🇿
Uko hapa ongwaro ety Moshi 🙄🙄🙄
Karibu kenya
This Guy anakana juu hataki watu wajue yeye ni mgonjwa 🤦🤦🤦oh no hii Dunia inamengi,pole my sister Hawa askari is a no go zone for me
Meet In December 2022, January Have Fun,, February Is Pregnant 🤰 And Today In Radio Jambo.
God Guide Us...
Uhusiano inanza na super G. aaaiih yawa na bado unataka super G. 2.0 waah ni ile ujinga atauki gongwa na lori hucheki yaani how does she manage with 4 kids ?Sini Mungu ana manage hio catastrophe.
Waaaaaaaaa mungu nipe ujasiri nisiwe ivi
As long as you're breathing there is hope for salvation let's REPENT tomorrow is never promised .
Ikiwa petro alimkana yesu mara tatu, hadi akasilubiwa ww pia usijali mbele iko sawa siku ya ufufuo utahesabiwa, Mungu nifunze kusema ukweli 🙏
Yaani Christine huyu jamaa amekukana live, live? Wachana na yeye usiende kumtatafuta never force someone to love you.
Jipange na ulee watoto wako..tayari uko watoto wa nne hio tosha..Na economy ni mbaya!!
😂😂😂 within 2 months mmepatana na mkakulana watu c mko na nguvu wueh tricky sana
Uyo mama na venye ako na sauti mzuri hivi kumbe hana akili ata kadogo hivi....unapatana na mtu first day unapata mimba ....uliskia wapi watu wamelazwa hosi juu ya kukua single....mwanamke jinga sana
Huyu hajielewi
Watoto 4 dada fanya kazi hachana na mapenzi
No wander
Mamaa lea watoto wako achana na mapenzi
Wueeeeeh hii kitu ni tricky.🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️dem wachana na huyu boy hakutaki
Hehehe ati baba watoi alikuwa community hubby from frying pan to the fire woi.
@@mwendapoleee auguze ugonjwa yake polepole sasa asianze kusambazia wengine
Nguvu ya kupeleka afande kwa redio unaitoa wapi haki wewe kuna kitu inakuhuso lkn sitoitaja😂
Huyu jamaa ndiye aliharibu ndoa ya Christine...sioni bwana ya Christine akiwa mbaya...
This is sad
So sad jamaa anakana dem hivyo at the time she needs him
Ujinga na magonjwa dani yake ningemtukana, kwanza siwezi lala na mtu bila cd tuende tucheck kwanza take time to know somebody wenye wanakutaka kwaukweli will stay wenye wana hit and run hawana any,ni magonjwa tu wanasambasa.Jinga yy.
The guy know her well...aki ni shidwe
Hii ndio wanasemanga watu waende test kabla waingilie mambo ya kunyanduana coz kuona kwa macho huwezi jua
But hawaskiii hawataki kupima..Huyu askari ameruka nmhanyajie tuh
@@susankomu8978 ata huenda huyu karau ndio alikuwa nayo wueeeeh🤣🤣🤣naogopanga askari.
@@godsfavour5665 Yeah inaweza kua but sijaelewa niugojwa Gani..Ama n supper G?😹😹😹
Tell them! thank you!
Siku hizi kuna ujanja
Watoto wanne na bado unapembeleza mwanaume, dunia yaelekea wapi jameni
Christine lea watoto wachana na mambo ya mapenzi.huyu bwana ameshakuruka.hataki mambo yako.kwa hi maisha magumu nani atakuoa na watoto wanne.fungua akili
Watoto wanne , still looking for another man please mama take care of your children as a single mother
Aki ndio nashangaa🤦🏽♀️🥲 how desperate can someone be.Na jamaa amemkukana na bado amengangana!
Imagine 4 kids unakimbiza mapezi unasahau you have kids to take care of..no wonder watoi wanaangaika Kwa ma plot na kwa streets..awouro
Christine!, forget and move on.
Poor girl.
Mama wa nguvu; watoto wanne na bado unabembelezana? Kibe akusikie 😅
Nguvu ama ujinga, mtu mwenye magonjwa ni risky wanakuanga na cocktail ya magonjwa na lifestyle mbovu saana.
🤣🤣🤣🤣 kibe atapea yeye dozz ya kufungua ubongo
So the producer usually calls both parties early in advance, huh! And the way you package it as purely a surprise🙄🙄
He said to elert him that they will call,maybe to just make sure they pick their calls rem there are some who refuse to pick
Christine unakufia cliophas juu ni askari, wachana na huyo mwanaume mwenyewe ndio alikupea ugonjwa na wewe mwenyewe unaomba msamaha eti ulimpea infection
Huyu Dem amerukwa kipetero ki yesu 🤣🤣 usijali Dada hivo ndio kunaendanga
Huyu mwanamke 🙆♀️hajipendi.
I think the guy is with another woman there😢😢 weeeeeh kurukwa kipetero ki yesu😢😢
Ati kipetero😂
Si hata woman ni women.nani hajui askari na tabia zao..nkt😤
Huyu police si ni mjinga sana! Anakubali makosa yote, anakataa jina. 😂
😂😂😂😂😂😂
Hata kujiuza ati ni karao na Ako coast
Wueeeeee🤐
wewe christine wacha kuhanyahanya eti unasema baba watoto wako wakwanza anapenda wake sasa wewe afadhali shetani unamjua back to your first husband
Nahizi magonjwa wakuyua kwa mayi?
Sasa watoto wanne mimba kutoka huwezi bepe unaolewa ufanye nini surely,tosheka mama
Huyu mwanaume ni wanawake ndio maana anaruka dem ....but mama move on lea watoi wacha na huyu mwanaume atakuletea ukimwi ukufe uwache watoi
Mama do'nt be so desparete kwa mwanaume lea watoto wako
Huyu mwanamme ndio amepea huyu mwanadada ugonjwa poooooh men's kwanza askari
Wewe Christine wacha utoto ebu focus on ua children surely watoto wanne na bado unabembeleza boyfriend????hio mapenzi direct kwa watoto kwani wewe ni teenager??
Watu mkiabiwa mpimwe b4 hamsikiii nikusex tuh then mnagojenga ...Watu wapimwe Kabisaa b4 sex wajameni
Ama wanunue cd yawa aol
@@mwendapoleee Sidio until wajue sure wako safe
@@susankomu8978 aki that is just reckless nakunamangonjwa hakuna dawa nani mama ya mtu.
Huyu jamaa ni muongo tu, angeitikia lakini amwambie hamutaki , anyway amemuruka kweli kweli
First 😜
4 kids mtu wangu achana na ku force vitu lea watoto wako
True
🤫🤫🤫🤫
Cleophas alipatia Christine ugonjwa. Mami, wachana na huyu. Lea watoto for now...
Kwani ni ugonjwa gani?sijaelewa
Yaan 4 kid's n bado unabeba mimba kwa mtu mnadate bado hajakuoa...u are not criaz dada,,,stop being desperate tafta kazi ufanye achana n mapenzi lea watoto
Hivi tu ndo askari hua mnaonekana malaya
Ino ni ya mundurume nkt
Watoto wanne kwani unakulanga watoto
Huyu ako na mwana dada hapo kando ndo maana anaruka Christine
Kweli kabisa
This man was after spring diseases to the lady pole sister
second 😜
Am not convinced how I can marry a Lady with with 4kids + STI pap.
It's not applicable.
Ladies mkae na mvumilie waume zenu.
Shida zingine ni zito ukigikiria in deep
Desperate
Police ww
Hawa
,wewe dada panua akili wacha kupanua miguu watoto wanne bado unakimbizana na mapenzi fyuuu tafuta jinzi ya kulea watoto wacha ufala
MWANAMME NI MKORA. HAIWEZEKANI MAJINA YAWE SAWA YOTE HALAFU UNAJIFANYA HUMJUI ATI ASIKARI KUWA MKWELI MWANADADA ANAKUMISS! MSAMEHE MAISHA YAENDELEE MBELE.
Huyu mtu yawa,siunasikia sauti nkt!
Kwani lazima uwe na bwana wewe
Watoto wa nne bado unataka ugonjwa wa zinaa. Wewe mama ni mjinga
Uyu ni ma liar wueeee
Watu wanakanwa kama bangi 😂😂
Stop being cheap Lea watoi askari n eat and run hawatengemiwi hata na wake zao