Kilimo cha papai, kilimo chenye tija

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @reticiagodfey2244
    @reticiagodfey2244 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana kulima na hivi nalima matango nanimeanza kuandaa shamba la papai lazima nipambane mpa huu mwaka ujao nione maendeleo zaidi.

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duh, et kosa la jinai kuvuna papai lililoiva!!😢😢😢

  • @brianbaraka4563
    @brianbaraka4563 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante mtaalam kwa ufafanuzi mzuri

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 ปีที่แล้ว

    Great job. Keep it up!!!

  • @sarananyaro9089
    @sarananyaro9089 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwaipaja ukila mengi hayo ni noma sana,uta pupuu kwenye suruali bila kupenda

  • @schosay_
    @schosay_ 2 ปีที่แล้ว

    Hapana Ndugu mtaalamu Papai la chotara ni tamu sana na linaharufu nzuri na pia rangi ya kuvutia kuliko papai la asili.

  • @JustineRubenge
    @JustineRubenge 2 หลายเดือนก่อน

    Papai hutumia muda gani

  • @evakanyeka6994
    @evakanyeka6994 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mwasiliano

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 4 ปีที่แล้ว

    Nimefurahia Sana mtaalamu

  • @lazaroseka1331
    @lazaroseka1331 4 ปีที่แล้ว +1

    naomba namba za mtaalamu

  • @jabezjedidiah1429
    @jabezjedidiah1429 ปีที่แล้ว

    Hii ni aina gani ya papai?.

  • @mrmahmoud1278
    @mrmahmoud1278 4 ปีที่แล้ว +4

    Utamu wa papai la hybrid na lile la asili ni tofauti sanaaaa.... mtaalamu fanya utafiti tena.

    • @sarananyaro9089
      @sarananyaro9089 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa,chotara siyo matamu kabisa,kienyeji tamu sana

  • @adamtzmbogo1694
    @adamtzmbogo1694 4 ปีที่แล้ว

    Mtaaram

  • @ramadhanially1513
    @ramadhanially1513 5 ปีที่แล้ว +3

    Ekari moja inaweza kugalimu kiasi gani hadi mavuno

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Ally

  • @enockburchard6701
    @enockburchard6701 4 ปีที่แล้ว

    Naomba no ya Mr bwire

  • @fatmaaliameer8773
    @fatmaaliameer8773 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nafarijika kuona Tanzania tunawajibika kwenye kilimo

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 3 ปีที่แล้ว

    Haki yko boss mwaipaya mama amekukumbuka

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 3 ปีที่แล้ว

    Wajina naomba mbegu

  • @stellamugure4321
    @stellamugure4321 4 ปีที่แล้ว

    I need to know more

  • @swagimasolwa5749
    @swagimasolwa5749 5 ปีที่แล้ว +3

    Kilimo hiki nimekielewa sana

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 3 ปีที่แล้ว +1

    Tayari nimeshalima mipapai mia 200 nipo ktk kuiengeji

  • @eliakimsando2919
    @eliakimsando2919 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mawasiliano yanmtaalamu

  • @raphaelbruno2743
    @raphaelbruno2743 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnahamasisha sana juu ya kujikwamua kwa kipato mungu awabariki!!naweza pata namba ya huyo bwana shamba mr.bwire

    • @abdibilali950
      @abdibilali950 4 ปีที่แล้ว

      Mm nawaelewa sana na nimesha anza kilimo cha papai

    • @jimmymagesa697
      @jimmymagesa697 2 ปีที่แล้ว

      @@abdibilali950 ulianza kwa mtaji gan kwa hekar

  • @mayengamabulambuzah1795
    @mayengamabulambuzah1795 3 ปีที่แล้ว

    Maabara ya kupima 'ph' hupatikana Ofisi ipi wilayani?

  • @stellamugure4321
    @stellamugure4321 4 ปีที่แล้ว

    Naomba number us compony

  • @eliakimsando2919
    @eliakimsando2919 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mawasiliano jamani

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 3 ปีที่แล้ว

    mm nimeingia kikamilifu ktk ulimaji wa mapapai licha kwamba cna eneo kubwa lkn nataka walau nipate mipapai mia 2

  • @swithinshayo8586
    @swithinshayo8586 4 ปีที่แล้ว

    Naomba contact za Jackson Bwire na kampuni yake

  • @kikorekikororo8975
    @kikorekikororo8975 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kufahamishwa dawa ya kuzuia papai kuoza. Inakuwa na vidoa vyeusi na likikaribia kuiva linaoza.

  • @bahatinyoni9586
    @bahatinyoni9586 5 ปีที่แล้ว

    Naweza kupata namba ya Mr Bwile?

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 3 ปีที่แล้ว

    Mm nataka nilime lkn tatizo ni soko Sasa mtanisaidiaje waheshimiwa

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo mnakataa kutuuzia mbegu tujipandie wenyewe kununuwa Miche Bei ikojuu kabsa

    • @abedinegoraphael4774
      @abedinegoraphael4774 6 หลายเดือนก่อน

      mbegu mbona zipo maduka ya pembejeo ni 10000 package moja

  • @Muba_Magogo
    @Muba_Magogo 4 ปีที่แล้ว

    hybrid inahusu mambo ya cross pollination ambapo kwa mapapai mimea ya aina mbili tofauti inachavushwa kupata mmea wa aina nyengine

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Ally