Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
Naona quality ya sauti ni ndogo sana kwa hii ilouploadiwa...au naskia vibaya...MAY THE SOUL OF CHARLES SAA SITA THROUGH THE MERCY OF GOD REST IN PEACE..AMINA
Saaafi saaana 👌👌 hongereni sana kwa kumuenzi Marehemu CHASA RIP
Wimbo mzuri sana mungu abariki kazi yenu ya uinjilishaji kwa njia ya uimbaji
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Hongeren wanakwaya kwa saut zenu nzur👍
Wawooo, sweet voices and nice melody. Hongereni sana.
Charles saasita???????
Wimbo mzurii sanaa🔥🔥 proud to roman catholic karibu tanzania
Wimbo Bora, waimbaji Bora na director boraaa
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
Kazi nzuri ujumbe picha go on mkuuuu
Kaz nzuri San hongeren San waimbaji na director
Wimbo mzuri ulitungwa mda kdogo wamebalisha maneno
Wimbo mzuri unaoonekana kutoka mbinguni.Mungu anaendelea kuilinda Tanzania.
Beautiful voices 😍
Waoooooh 😘
Kazi nzuri,hongereni sana
Kazi nzuri sana
Amazing 😘😘
Uploader weka descriptions Za kutosha kuhusu Amecea ,
WImbo ni mzuri sana.
Wooow amazing 😍
Kama sikosei AMECEA Tanzania ilikua au 2001 au 2002 miaka hii ndo atakua aliutunga huu wimbo. RIP Mwalimi Saa SITA
Kazi safi hongereni
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
N'a kushuru mungu kwa âme eau
Naona quality ya sauti ni ndogo sana kwa hii ilouploadiwa...au naskia vibaya...MAY THE SOUL OF CHARLES SAA SITA THROUGH THE MERCY OF GOD REST IN PEACE..AMINA
Itakuwa ni simu yako ina speaker low quality
Genius
Safi sana
Wimbo mzuri sana. Nashangaa tu kwamba huyu C. Saasita aliutunga lini wkt ni marehemu, au ni mwingine?
Ni wake aliutunga kitambo sana, Hawa wamebadilisha tu maneno kadhaa ili kuendana na lengo la AMECEA kwa mwaka huu. Nimejibu kwa mawazo yangu🙏
Alitunga mwaka 2001 na copy iko swahilumusicnotes
Mtunzi ni Saasita gani huyo au ulitungwa lini huu
Twaja hivi karibuni
Sikujua Pascal Mwanache ni mwanakwaya
😇🙏
HONGERA ka Mtunzi wa wimbo huu na Sauti tamu zimtoazo nyoka pangoni.
Mtunzi apumzike kwa amani🙏
Mkuu mkuu
Very nice voices. Keep it up
Kazi nzuri sana