Hivi unajua unavyo muumiza mwenye wimbo Upendo Nkone ?? Unajua ametumia kiasi Gani Cha fedha ku compose wimbo huu?? Unajua ameshirikisha watu wangapi na amewalipa kiasi gani Ili kukidhi mahitaji yao wakati wanashiriki kuimba ?? Unajua Upendo Nkone aliacha kazi ngapi ?? Unajua aliingia hasara Kwa kiwango Gani ?? Unajua kuwa kuimba, kusambaza na kujipatia manufaa kazi ya mtu mwingine ni uhujumu Uchumi na matumizi bila hatimiliki ??
Unateseka ukiwa wapi mjukuu wa upendo nkone 😂😂😂, siku ukiacha upumbavu utajua anae tukuzwa ni Mungu Wala sio upendo nkone na utaelewa kuwa roho mtakatifu ndio mwenye kuleta mafunuo ndani ya mtu so relax enjoy music na ujazwe roho wa Mungu

Relax lol, your life must be miserable lol. Relax and enjoy the good music
@@linanoella4641 🤣🤣🤣😆
Unateseka ukiwa wapi mjukuu wa upendo nkone 😂😂😂, siku ukiacha upumbavu utajua anae tukuzwa ni Mungu Wala sio upendo nkone na utaelewa kuwa roho mtakatifu ndio mwenye kuleta mafunuo ndani ya mtu so relax enjoy music na ujazwe roho wa Mungu
Kuiba kazi za watu na kuzifanya zako ni utapeli kama utapeli mwingine na huwezi kujisifu kwa lolote maana kisheria unakesi ya kujibu
@@gdbfxlimited ajui upendo nkone mwenyewe huwafurahi wimbo wake ukipigwa cover
Nowadays if I want to get close to my God I just switch in to your songs.may the lord bless max africa
Amen Luchie
Hallelujah 🙌🙌
Niongoze nakuita Leo Mungu wangu🙏🙏
Ubarikiwe Mama🙌🙏🙏❤️
Usiniache pekeangu 🙏
SINA MWINGINE🙌🙏
Uniongeee Yesu🙌🙌🙌🙌
Halleluhya. Always a blessing listening to u
Ubarikiwe Sana ❣️🙏
❤❤❤❤❤❤
😢😢
the brokenness and emptness in my heart💔💔💔..dear God🙏
Blessed❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤
Amen.We have a God we can trust in fear, anxiety,grief,pain that he understands and cares for us
luchie....may GOD put you in the higher level,u real bless me aseeeh
this a blessing, medly on repeat mara ka zote, blessings LUCHIE😇😇
Go deeper my sister.
th-cam.com/video/au1fUXMQCx4/w-d-xo.htmlsi=bC1DAr7IPAqg-F_a