JINSI YA KUKATA SOLO YA KUTOBOA KIURAHIS ZAIDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @AnifaMoto
    @AnifaMoto หลายเดือนก่อน

    Unaelekeza vizuri sana

  • @Ingilidi
    @Ingilidi หลายเดือนก่อน

    Asante kwa maelekezo yako mazur

  • @QuintineQuintine
    @QuintineQuintine หลายเดือนก่อน

    Asante kwa maeez Yako mazuri

  • @aminamswima2479
    @aminamswima2479 ปีที่แล้ว +1

    Asante nimeelew somo

  • @PrimitivaPastory
    @PrimitivaPastory 3 หลายเดือนก่อน

    Nimepewa sana dear

  • @JanethMalema-p2v
    @JanethMalema-p2v 2 หลายเดือนก่อน

    Da asante

  • @hassaniiyulu4242
    @hassaniiyulu4242 ปีที่แล้ว

    Unaelekeza vizuri sema hapaonekani unapoelekeza

  • @christinarashid3204
    @christinarashid3204 10 หลายเดือนก่อน

    Asant kipenz umeelekeza vizr nimekuelew binafsi🙏

  • @AdveraDeus
    @AdveraDeus ปีที่แล้ว +2

    Nimependa kaz yako dada ila unatumia kitambaa kikubwa je brauz unashona kitambaa gani hapo asa

  • @BertilaMagwina
    @BertilaMagwina 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa Ila hujatuonesha Cha juu nataman kujua Cha kukata Cha juu

  • @RamadhaniIssa-q2d
    @RamadhaniIssa-q2d 3 หลายเดือนก่อน

    Santee nimekuelew

  • @mercianacharles7345
    @mercianacharles7345 4 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri Sana dada ang

  • @NasmaMusa-j3p
    @NasmaMusa-j3p ปีที่แล้ว

    Santeee my

  • @HamadiSaid-x1b
    @HamadiSaid-x1b 9 หลายเดือนก่อน

    Unafundisha vizr

  • @EunicyMass
    @EunicyMass 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa ila cha juu je

  • @faridamandee6942
    @faridamandee6942 4 ปีที่แล้ว +2

    Sawa

    • @matridakibiki437
      @matridakibiki437 3 ปีที่แล้ว

      Mteja akiwa mrefu inch 58 kitenge mapande matatu inatosha na unakunjaje?

  • @rehemamood5004
    @rehemamood5004 2 ปีที่แล้ว

    Nice... laki video haionyeshi vitendo unaonekana wewee tuu

  • @EflaziaMwahalende
    @EflaziaMwahalende ปีที่แล้ว

    Nimekuerew lakin sijakuerew Jin's ya kuunganish berit ya kiunon urivy kata nimekuerewa

  • @AshuraOmary-k1w
    @AshuraOmary-k1w 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona wengine wanasema kanuni za solo toboa nachanganyikia kbsa

  • @FrenkJuma-rk2nw
    @FrenkJuma-rk2nw 2 หลายเดือนก่อน

    soro tobos ndefe bira kuunga

  • @daudsamwel6496
    @daudsamwel6496 4 ปีที่แล้ว +2

    Umeonyesha vizur nmekuelewa sema tu kichwa cha habar umesema gaun la soro ya kutoboa Ila umeonyesha sket kwa gauni inkuwaje kukata vpimo vya juu?

    • @tecrafashion3316
      @tecrafashion3316  4 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kunielewa ila nakuomba tu usome vizur kichwa cha habari pia kama unahitaji kujua vipimo vya juu. Nitafundisha usijal

    • @sarahfundimkuu935
      @sarahfundimkuu935 ปีที่แล้ว

      ​@@tecrafashion3316 dada unafundishia shingapi?

  • @julianayessaya1041
    @julianayessaya1041 2 ปีที่แล้ว

    Mbona wote mnatuonyesha za watoto,,wateja wengi ni watu wazima

  • @charitydicksoni6649
    @charitydicksoni6649 3 ปีที่แล้ว

    Dad naomba nisaidie jinsi ya kukata shati LA soro

  • @charlotteuwase5506
    @charlotteuwase5506 4 ปีที่แล้ว

    Video yako haionekani vizuli, rabdha ni tatizo la camera ya simu tu Hii kazi ya kufundisha kukata na kushona MILCASTYLISH NDO ANEONGOZA KWA KWELI APA YOU TUBE CHANNEL PAMOJA NA EMGO TAILORING VIDEO ZAO ZINAONEKANA VIZULI MUNGU AWABALIKI NYIE WOTE MUNAETUSAIDIA KUJIFUNZA ENDELEA NA WEWE UKIWEKA VIDEO NZULI TUTAKUA TUNAKUFUATIRIA KAMA TURIVYOMUFUATIRIA MILCASTYLISH DADA MDOGO MWENYE ROHO YA URUM 😘😘😘

  • @christinemalley662
    @christinemalley662 ปีที่แล้ว

    Unakunja kwa urefu ama

  • @mushihasani8435
    @mushihasani8435 4 ปีที่แล้ว +2

    Unaptkn wap natmn uje unifundishe nyumbn me ni Mrs mushy ucshangae jina hapo lmetok mushy hassan ni mume wang huyo

    • @tecrafashion3316
      @tecrafashion3316  4 ปีที่แล้ว

      Mi nipo mkoa wa geita je wew

    • @mushihasani8435
      @mushihasani8435 4 ปีที่แล้ว

      @@tecrafashion3316 Me Niko dar es salaam

    • @charlotteuwase5506
      @charlotteuwase5506 4 ปีที่แล้ว

      Dear nenda you tube uandike Milcastylish utapata video nyingi za kujifunza kukata na kushona na kuna group ya what's App yake ni bure kujifunza ndo alietufundisha wengi na tupo inchi tofauti.

  • @AlexGeorge-m8z
    @AlexGeorge-m8z ปีที่แล้ว

    Uko wapi dad maan unafundisha kwa umakini kama uko mwanza natak Nije unifunze

  • @genovevamagogwa8204
    @genovevamagogwa8204 4 ปีที่แล้ว +1

    Natamani kushona

    • @charlotteuwase5506
      @charlotteuwase5506 4 ปีที่แล้ว

      Nenda you tube uandike Milcastylish utapata video nyingi za kukata na kushona alafu ujiunge kwenye group ya what's App yake sisi wote ndo anaetufundisha, karibu kwa Milcastylish

  • @shadrackkihombo605
    @shadrackkihombo605 ปีที่แล้ว

    Mbona hyo namba haiko watsap my dia
    Ninashida ya kujua kitu kupitia watsap

  • @tumainimwaigomole7338
    @tumainimwaigomole7338 3 ปีที่แล้ว

    Kama unataka iwe ndefu inakuweje hapo ikiwa urefu 46 inakuweje hapo

  • @RestutaMsita
    @RestutaMsita หลายเดือนก่อน

    Sasa blauzi unatoa wap

  • @giliadgasper242
    @giliadgasper242 4 ปีที่แล้ว

    kama unagroup naomba link