"NAPENDA MWANAUME MWENYE HELA, KAMA HUNA HELA BASI" - POSH QUEEN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 ปีที่แล้ว +1

    Unapenda mwanaume mwenye hela na akiishiwa hizo hela hutampenda !!! Hivyo basi upendi mwanaume Bali unapenda hela!!

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln ปีที่แล้ว +9

    Hawa mbwa wanawaza hela tu hawataki kutulia katka ndoa acheni umalaya madem wa kibongo umalaya sio dili heshima na utu wa mwanamke ni kutulia katka ndio sio kuwaza hela2

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 ปีที่แล้ว

      😂anataka mwenye hela yy anazo??hawa si wanawake wa kuowa ..hatar sana

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 ปีที่แล้ว +1

    Ktk hali ya kiustaarabu iliyojaa hekima na busara wanawake wa kitanzania kwasasa wanatia aibu mno wanaamini pesa ndio mapenzi kila mwanamke mtandaoni na ktk platform za social media wanaomba pesa wengi wao nimatapeli huo na vocha Mara mtoto anaumwa mara nitumie laki 2 wengine hudhulumu majumba magari nk kiufupi mitandao kwao imewahatibia maisha pia wanawaza starehe kuliko uhalisia wakimaisha hakuna maisha ya raha duniani Mungu Ali tuu na ili tumwabudu na kimtii napia akatupa nafasi ya kukutanisha kutengeneza familia Kati ya mke na mume tuweni makini Milo’s km dar Arusha dodoma na tabora mademu wa huko hutapeli watu napia huhisi watu salio ulaya na america ni wajinga wengine huo na hata kusomeshewa watoto zao kiufupi tunakizazi cha laana na Mungu atawahukumu kwakile mbachokifanya wengi wenu mnadanga dubai uturuki oman china hongkong thailand oman nk kiufupi pesa haijawahi kuwa mkombozi wa mwanamke ndoa ndio suluhisho pekee kwenu wakina dada napia jitahidini mswali na mfuate sheria za dini sio kuuza nyuchi zenu Mungu atawahukumu

  • @cleartzboy
    @cleartzboy ปีที่แล้ว +1

    Mbwa wewe sema mim malaya najiuza sio nampenda mwanaume mwenye helaaa hela ni rafik wakil mtu

  • @mugishamadjidi
    @mugishamadjidi ปีที่แล้ว +1

    pessa ni pambo la penzi tu ila uruma ndo upendo bora zaid dada

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +3

    WASICHANGANYE MWENYE HELA NA TAJIRI,,,NDOMANA WATU WANAWAVISHA PETE WANAFUNUA NA WANASEPA VILEVILE,,BOGUS

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln ปีที่แล้ว +4

    Mi nilizani unapenda mwanamme wa kutulia nae katika ndoa. Kumanina. mnawaza hela tu madem wa kibongo na tamaa zenu zitakupelekeni pabaya

  • @josephndunguru6290
    @josephndunguru6290 ปีที่แล้ว +1

    Muuzaaa uchiii hiyooo ngoja nitafutee pesaa nipitee nae,

  • @FaudhiaMasoud-c6b
    @FaudhiaMasoud-c6b 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🔥🔥😁😁

  • @detlantamarooned1809
    @detlantamarooned1809 ปีที่แล้ว +2

    Taka taka

  • @Zenny89
    @Zenny89 ปีที่แล้ว +1

    Hawa Ndo Wakina Anty Ezekiel wa baadae Hawa..

  • @thobiasbukali9008
    @thobiasbukali9008 ปีที่แล้ว +1

    Hapa ni two way radio communication

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 ปีที่แล้ว +1

    Haya majinga ni mengi

  • @bushbabytz
    @bushbabytz ปีที่แล้ว +2

    Mbona hamchukii babake na hana hela!? Visichana kama hivi ni vikyuma tu

  • @nouraynaasheikhunkabir3749
    @nouraynaasheikhunkabir3749 ปีที่แล้ว +8

    Siku zote wanawake wanaoshabikia Yanga Huwa Hawana akili, mfano ndio huyu

    • @mackysuphian
      @mackysuphian ปีที่แล้ว +1

      Embu utukome sio wote🤣🤣🤣 #thankyou🤗

  • @ayoub1906
    @ayoub1906 ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzury

  • @farajasallah2338
    @farajasallah2338 ปีที่แล้ว +2

    Unatuaibisha wanawake yaani umpende mtu kwa ajili ya pesa, je ziliisha?

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂make kwanza ncheke,

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 ปีที่แล้ว +2

    Unamtaka mwanaume mwenye hela ww unazo???.

  • @mohammedbanyenzaki33400
    @mohammedbanyenzaki33400 ปีที่แล้ว +1

    ᴹᵘⁿᵍᵘ ᴬᴷᵘ sameeh

  • @naufalmustafa565
    @naufalmustafa565 ปีที่แล้ว +1

    wasafiiiiii 4rever

  • @richardsamson7325
    @richardsamson7325 ปีที่แล้ว +2

    Shida ya kina dada bwana unamuuliza kwa kiswahili yy anajibu kingereza sasa nini hii kujishaua tu

  • @singanoabbas669
    @singanoabbas669 ปีที่แล้ว +1

    Ila kiukweli Posh shepu tu za mafangasi ndo imekubeba,,. ila sura hata mbuzi humfikii...halafu hauko lomantic wala nn. nishakua nae karibu ndo maana japo yeye kajisahaurisha hilo...

  • @liberatedpeople6054
    @liberatedpeople6054 ปีที่แล้ว +2

    Acha na mm nitafute pesa nije nipite hapo walipopita wenzangu

  • @fabiansemba-eh2qf
    @fabiansemba-eh2qf ปีที่แล้ว +2

    Mtu akishasema ni mshabiki wa uto,huwa naendelea na uzalishaji mali....lazima fyuzi haipo

  • @hajimlaponi1900
    @hajimlaponi1900 ปีที่แล้ว +1

    Tutafute hela vjna 2030 hyoo😅😂

  • @liberatedpeople6054
    @liberatedpeople6054 ปีที่แล้ว +2

    Hamna mke hapa

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania tuna wanawake wazuri yaani anavyoongea tu nzuri

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      Hana uzuri wowote mbona mbaya inaonekana hujawaona wanawake wazuri

    • @fredrickmatiku7783
      @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว

      @@kabwelasutiviraka4765 Nipeleke nionyeshe wanawake wazuriii wapo Wapi?

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว

      Hamna kitu hapo

  • @Davio123
    @Davio123 ปีที่แล้ว +2

    Dem mwenyw sas komwe Kama kokwa

  • @godlema6104
    @godlema6104 ปีที่แล้ว +2

    Amna mke wakuoa apa

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 ปีที่แล้ว +1

    Heee aliemuoa uyu alikiriaga nini??? Au hilo kalio tu

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 ปีที่แล้ว +1

    Unajua huyudada akizeeka Atakua Libibi
    Nasio Bibi

  • @MurugambaMuruwasha-oe4md
    @MurugambaMuruwasha-oe4md ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanamke,ni 0 brein