Uyo ndie Yesu alisema ombeni kwa jina langu nae baba angu atawabariki...alitugaia mamlaka ya kukanyaga nyonga na nge...ona uyu kaka amjui ata Yesu ila kapata ufahamu akakemea kwa jina la Yesu na vitu vimepotea.....apana jina kama la Yesu ni jina kupita majina yotee...ukitamka jina la Yesu shetani asogei lzm akimbie uyo ndie Yesu king of kings
Uyu jamaa ni muhuni😂😂😂😂😂...yan sanitaiza ndo ilikua inakusaidia eti gongo 😂😂😂😂kwaiyo gongo inaitwa sanitaiza?🙌🙌🙌...nikakemea eti kwa jina la Yesu usindwe😂😂😂😂ndo mana watu walimmis uyu jamaa
Paundi siunawaona kina diamond na?rickloss wanavyopendeza japo hayo hayatawasaidia chochote mbele ya Allah kitakachowasaidia baada ya kufa ni matendo yao muzuri
Uyo ndie Yesu alisema ombeni kwa jina langu nae baba angu atawabariki...alitugaia mamlaka ya kukanyaga nyonga na nge...ona uyu kaka amjui ata Yesu ila kapata ufahamu akakemea kwa jina la Yesu na vitu vimepotea.....apana jina kama la Yesu ni jina kupita majina yotee...ukitamka jina la Yesu shetani asogei lzm akimbie uyo ndie Yesu king of kings
Amen
Yec
Kumbe huyu boe ni #Handsome hiv kwel tulimmis #kilima_Nyege😂😂😂😂😂
sanitizer hahahah
😁😁😁
Msela kumbe anajua kukemea kimtindo kwa jina la yesu😂😂😂
Gongo inazeesha...!! Kumbe Kijana smart boy tu....!! Acha Gongo na Bangi bana....!!
Davistar umechelesha sana muendelezo wa hii story dah!!
Duhh !! Nipo leo kumbe li handsome hivi .😊
🤣🤣tamaa hiy
Leo ni mcute Hatari 💃💃💃
Sanaaq
@@pilimusa7770 Umeonaee 😄
somoe nimekumiss eti
@@igurusitv6553 Nipo mm
@@somoeawadh7774 sawa bana
Safi sana nakubali sana jamaaa huyu Master smoker
Jamani yule mvuta bangi kaja njooniiiii
😂😂😂😂😂
Tumekuja aya tuendelee kusikiliza story
Hahahaaa tushafika mbona
Jamanii usimuite hivyoo...🙄
Kwelii tumekosea binaadamu mwenzetu pengine kishaacha mungu atamjaalia ataacha insha allah
Oooooh safiii niyeyeee safisana 👍🇹🇿👏👏
😂😂😂😂sanitizer chingili gongo mi kuniachia hoii 😂😂
Uyu jamaa ni muhuni😂😂😂😂😂...yan sanitaiza ndo ilikua inakusaidia eti gongo 😂😂😂😂kwaiyo gongo inaitwa sanitaiza?🙌🙌🙌...nikakemea eti kwa jina la Yesu usindwe😂😂😂😂ndo mana watu walimmis uyu jamaa
Jaman alisema chingili ndio hongo😂😂😂😂
@@roseuwambe8089 😀😀😀😀😀😀anaita chingili na sanitaiza 😂😂😂jamaa noma
Yeah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hugo mwanamke nomaaa mpingo irizi😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbeeee mwangaaaaaaaaaaaaaa aiseeeee tena unamuogopaa🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Duh jamaa kumbe handsome nywele zile alikua kama mtu mzima kumbe kijana tu
Tuned 🇰🇪
Dhuuuu, hiyo noma anarudi kinyuma nyuma huyo vampire 😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂Fureshii baba baba vio😂
Wow, nafurahi part 3 imekamililika
Huyu jamaa nampendaga sana anavyo ongea😂
🤣🤣🤣🤣
😄😂😂😂 yani urudishe vitu na upivirudisha noma aiseee
😅😅😅🤣 story ni tamu kweli
Kapendeza mnoooo hiyo hair cut. Katokea handsome mno
Sana
Kwelii kapendeza handsome mashallah
Sanaaaaaaaaa🤣🤣
@@nurusalim846 sanaaaaa teeenaaaa
Hakuna binaadamu mbaya etiii maisha tuuu
Davistar ur smile kills me 😊16.29
How kills you while you are alive leave lying us
@@fadhiliswalehe9286 Wanawake wa siku hizi full kujitongozesha.😫😫😫😭😭😭
Aaaahhhhh Ni yeyeee
🥰💃💃
jamaa ana vituko kwakweli et sanitaiza ubanda😂😂😂😂😂
Wahuni atakama wanadanganya ila wanavyo ongea lazima uamini kwel😄😄😄
Namkumbuka vzur tu tuko pamoja
Inapendeza sana
Hhhh mze wa kai tulikuwa tumemiss part 3 tanks a lot
Kumbe mzuri hiv, huyu si ndo alikuwa kibaka nusu nusu apigwe pira au nimefananisha
Week elfu tanoo Dhaa nomaaa
Huyu ndie alielishwa nyama ya nyani eee, eti ina kijasho flani hivi dah 😂
Mkewe mauzauza kaka pole san😁
Jamani amependeza😍😍
Huyu jamaa na huko kupiga gonga noma sana
Dah noma
Mtu wa chingili leo kapendeza hatar🤣🤣🤣
Mnooo
Mbaka nilimsahau🤣🤣🤣🤣
@@roseuwambe8089 😂😂😂😂 kapendeza balaa
@@pilimusa7770 Kawa HB🤣🤣
@@roseuwambe8089 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuliosikia mke mauza uza tujuane🤣🤣🤣🤣
Davistar 👏👏👏👏👏
Uyu jamaa chenga sana ila ananipa raha et uhai nataka na maisha mazur pia you're gentlemen 😄😄
Asante davista kwa kutuletea part 3
Vipi hapa
Nafurahia sana hizi simulizi lakini sasa itakua vizuri kama mtaweka link ya sehemu zilizopita
Sanitizer oyee😂,,mnotmia muache Corona hamna Tz😂
🇱🇷🇱🇷🇱🇷🤣🤣🤣🤣
Jama ni bloooo nimemkubali sanaaaa 😂😂😂
Asante sana
Leo amekua handsom boy kumbe mzur 👌👌
Nlikuwa naisubli 👌
Hata na mie
Namunakaa kufanana ama mdogo wako😂😂😂😂😂😂
Amependeza sana leo
Leo kamekuwa smt boy Haha jicho ona mdomo nyamaza😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Vizuri kaka Davista umenifurahisha we acha tu. Mim mvivu wa kucomment ila kwa kuwa niliidai bora nionyeshe my aprreciation. Thanks.
Dhuuuu inabidi akuchane live sio😂🤣🤣🤣
Kawa handsome 🙈
😃😃
Kabisaaa
@@pilimusa7770 sana tu Leo kang'aa kweli
Kapendeza nywele zake
@@nurusalim846 mnooo
Hahahahaaaa nilimissss kucheka
Hata na mie
Dooh nimecheka niite kiti sio mama
Du 😁😀sanitaiza..
Bangi bwana
Daaaaaah hakuna mtu sura mbaya kweli umaskini nimbaya Sana
Paundi siunawaona kina diamond na?rickloss wanavyopendeza japo hayo hayatawasaidia chochote mbele ya Allah kitakachowasaidia baada ya kufa ni matendo yao muzuri
Kapendeza kweli
Umeona maisha tu sote wazuriii
@@nurusalim846 kabisa yani
@@pilimusa7770 sanaaaaa
Camera man kajisahau🤣🤣😜😜
Tulikumisi bro na story yakooo mutamuuuuu muzeee wa mineno mingi
Mbona mu handsom hivi maisha jameni
Hahaha nimefurahi kumuona mchizi 😆😄
Leo kapendeza jamani
Yan yuko handsome
@@pilimusa7770 umeona eee kama so nyeye
@@agnesj.h9789 yani kawa mzuri kweli
@@pilimusa7770 sana tu bagi mbaya sana ila watu wajuwi
@@agnesj.h9789 😂😂😂😂😂😂😂
Safi muendelezo plz
Kapendezaaaaaaa🤣🤣
🤔🤔🤔🤔
Bora aisee umetuletea huyu mwamba!
Chezea gongoo weee😀😀😀😀
Hahahaha mama vipi mbona unanyata na mji wako ????
sanitiser njigili gongo 😁😁😁 Mke wangu mauza uza kavimba
Dooh! Kumbe ni Hb kiasi hiki....
Pamoja sana mtu makini
Mashallah dakika 30 na mmefika namba 30
Hawa coment 😂😂😂😂kukimbilia nb
@@nurafedrick378 kabisaa
Nilikuwa namsubir Kwa hm
😂😂😂😂Mbona sanitizer
Kitu cha Santizer..
MUONGO BANGI BANGI TU
Kawa mjuli 😂
Mnoooo
Sanaa
Kwann pik pik inabebaje mxigo dereva boss ndotaratibu?AMA boss anahisi anaeza kupunguxiwaa mxigo😂😂😂
Khari angelipiga moto
Maimuna kasinzia duuuuh!
P1
🇰🇪🎤🎤🎤
Kumbe story inaendelea
kumbe hb uyu kaka 😀😀😀
Leo kapendeza hatali
Anachoota yule na mwingine anaota hivyo hivyo so maonyo utsonaje kama huoti vile mwanxoni umepigwa matukio na mitume
Mzee w bangi
kweli huyu mlevi hadi sauti imekufa kwa gongo daa!!!.
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 ati sanatizaa amenichekesha
@@nurafedrick378 ata mimi nilijuwa santaiza ya kujikinga na korona kumbe pombe ya gongo atari sana
@@fatmaalrshdii7615 😂😂😂🤣🤣🤣🤣gongo ishapewa Jina tayari
@@nurafedrick378 yani dunia inamambo ya kufuraisha na kusikitisha pamoja sana mdau Mwenzangu
Oyoooooooo❤
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄kwajirani usiku mkubwaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂watoka kuwangaaa AMA kudanga na vibabu huyo konk mkeo
Hhhhh kawa mzuri jamani
Wa nane
Hongera mpenzi
Hodiii
Karibuuu
@@nurusalim846 ahsantee mamii
Karibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@@ayshamahariq6665 ahsanteee mamii
Leo kapendeza mwambie aache gongo na bangi
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄mitihani huo kweli mana unamregesheajee nahakunaa🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️kemea ilifanyaa kazi 😪😪😪😪😪😪😪😪😪maimunaaa huyooo
jangombeboys1999
Tupo makini sana watu wako
Bonge la hb. Ss kwnn mnywa gongo na bangi
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
Hahahahaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣