#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @carolmutuku527
    @carolmutuku527 ปีที่แล้ว +1

    Amina watumishi wa yesu na awatie nguvu mpeleke injili kwa mataifa watching from 🇰🇪

  • @MosesWakristo-ko5ze
    @MosesWakristo-ko5ze ปีที่แล้ว +1

    Utukufu una YESU Milele

  • @musondakapwepwe3632
    @musondakapwepwe3632 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi kwa kunipa ufunuo huu

  • @musondakapwepwe3632
    @musondakapwepwe3632 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa mungu béaba azidi kutufungua kupitia nemo namaombi hii ameeeene

  • @nduwamungujerry7447
    @nduwamungujerry7447 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mchungaji Mwenyezi Mungu azidi kukutunza

  • @michaelyohana4467
    @michaelyohana4467 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina pastor katekela nakuelewa baba piga kazi ya MUNGU

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu. Pastor Katekela Mungu Aendelee kukutunza na kukulinda. Mimi nimejifunza mambo mengi mno Barikiwa sana. Jacktan Barikiwa sana na Promover TV kwa ujumla. Ninawapenda bure.

  • @pastoreliya663
    @pastoreliya663 2 ปีที่แล้ว

    Nakupa live mchungaji nakupenda sana kupitia mafundisho yako nimeokoa wengine Leo kwa jina la Yesu

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 2 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana wa tumishi wa Bwana kwa kupeleka injili nyumbani kwetu Baraka njo nilipo zaliwa nawa washukuru sana mumefanya nihone nyumbani kwetu tena

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @shalomkubali4884
    @shalomkubali4884 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi ubarikiwe saana

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa zaidi mtumishi katekela kuwepo kwetu congo

  • @johnmkama8074
    @johnmkama8074 2 ปีที่แล้ว

    Mtume wetumpya wa kizazi cha wana wa Uflme wa Familiarly ya Ukombozi na vuzazi vyao ubarikiwe baba AMIEL YARED KATEKELA kwa ufunuo huo hapo Kongo amen

  • @elizabethlusato7363
    @elizabethlusato7363 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awatie nguvu muwe salama watumishi wa Mungu

  • @peninahkariuki1136
    @peninahkariuki1136 2 ปีที่แล้ว

    Ameen watching from Kenya 🇰🇪🙏

  • @hamzalsadiki4284
    @hamzalsadiki4284 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mchungaji mtekela

  • @ufahamuufahamu5192
    @ufahamuufahamu5192 2 ปีที่แล้ว +1

    ninabarikiwa sana kukusikiliza hasa katika ushuda wako ,nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen MUNGU awa Bariki nyote AMEN

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 2 ปีที่แล้ว

    Mngu aku bariki kwa kufika kwetu

  • @edithajohn4563
    @edithajohn4563 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu aliyabeba yote msalabani ili Mimi nikombolewe,sibebi hata chembe ya mizigo ya babu yeyote,nguvu ya msalaba imemaliza yote,nimekombolewa kwa damu ya Yesu.

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen BWANA awabariki sana

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @edithajohn4563
    @edithajohn4563 2 ปีที่แล้ว +1

    "Hakika hapana hukumu ya hadhabu kati walio ndani ya Kristo"

  • @angelaniminyeko821
    @angelaniminyeko821 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda huu mkubwa wa babako mtumishi je babako alikueleza mahali alikuweko huyo masaa yote

  • @marymbodzembodze2707
    @marymbodzembodze2707 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen

  • @bubasharajabu3068
    @bubasharajabu3068 2 ปีที่แล้ว +1

    ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

    • @geraldmkusa7958
      @geraldmkusa7958 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akutunze pastar na barikiwa sana na huduma yako

  • @bebebebe9269
    @bebebebe9269 2 ปีที่แล้ว

    Thank you LORD JESUS 🙏🙏🙏

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 2 ปีที่แล้ว +1

    Ninakushukru sn umenifungua tangu nimejua siri ya mapaka yanayo Lia eneo la nyumban kwan nikaomba maombi ya kuvunja minara hakuna paka anaelia kwangu

  • @stellahkathure-px9cf
    @stellahkathure-px9cf ปีที่แล้ว

    Me nashangaa kaa ulishaguliwa plz sisi wakenya tuko na matatiza tafadhali kwani unaubiri tz peke yke ama🇰🇪karibu kenya komboa wanaubiriwa ata bawasilamu plz wanandangaywa kabisa

  • @esthermomanyi4516
    @esthermomanyi4516 2 ปีที่แล้ว

    Mamba yako

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @alexjotham5041
    @alexjotham5041 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @usatoenglandvegas4046
    @usatoenglandvegas4046 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @annahmwende1897
    @annahmwende1897 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @beatricendikumana8776
    @beatricendikumana8776 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen

  • @leahkaruga5522
    @leahkaruga5522 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen

  • @ungwamseke4819
    @ungwamseke4819 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @esthermomanyi4516
    @esthermomanyi4516 2 ปีที่แล้ว

    Amen