MKOPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 21

  • @cheapprice4u864
    @cheapprice4u864 15 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu dada na D wanajua sana kuigiza.. above all, they are cute

  • @saidabubakari7560
    @saidabubakari7560 16 วันที่ผ่านมา +4

    Nanga mwanangu umetuwakilisha vyema kabisa 😂😂

  • @ClaraSelemani-x9e
    @ClaraSelemani-x9e 17 วันที่ผ่านมา +1

    Bravo NANGA 👏👏 msiache kufanya mnachofanya

  • @khatibsalim7298
    @khatibsalim7298 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nampenda sana Zama.. anajua

  • @emanuelantony7178
    @emanuelantony7178 15 วันที่ผ่านมา

    Iyoo nzurii iyoo nzuri 😂😂😂

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 16 วันที่ผ่านมา

    Sema hiyo ni aisee

  • @baboonsametomeabuu3233
    @baboonsametomeabuu3233 17 วันที่ผ่านมา +2

    Nanga hii Umeuwa...yani Wamama hili tatizo ni sugu kwao cjui hawaoni mifano Wtu wanavyoadhirishwa sababu Mikopo

  • @doctormkulima9474
    @doctormkulima9474 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nanga ww mtu ovyo 🤣🤣🤣🤣

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 16 วันที่ผ่านมา

    Heheh nanga huyo

  • @lulyehomadale9009
    @lulyehomadale9009 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ushauri NI mzuri ila punguza yale maneno kama ,ushenzi na upumbavu, kama inatweza utu wa wanawake

    • @dearmama7865
      @dearmama7865 16 วันที่ผ่านมา

      Punguza ushauri

  • @karlschrader4026
    @karlschrader4026 14 วันที่ผ่านมา

    Sound quality

  • @wesleymichael9290
    @wesleymichael9290 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ongezeni episode apo

  • @wesleymichael9290
    @wesleymichael9290 16 วันที่ผ่านมา +2

    Zama ana behave kama mke mwema sijui ndo yuko hivo kwenye mahusiano yake dah sijajua. Yan mwanamke ukiwa unaongea anakusikiliza anaomba msamaha yan ananifanya nimfikirie sana kwa mema.

  • @Dyram_dee
    @Dyram_dee 17 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂 ila nanga..

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 17 วันที่ผ่านมา +1

    Ila nanga😂

  • @undanimohamedi8451
    @undanimohamedi8451 16 วันที่ผ่านมา

    Sauti haipo clear

  • @abbaskpcarsallers996
    @abbaskpcarsallers996 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mwamba saut kwako inakua changamoto shida nin

    • @emmanuelmasabo8194
      @emmanuelmasabo8194 16 วันที่ผ่านมา

      Awaambie maeditor wajitahidi sauti ndiyo kila kitu, ukifeli sauti video inaharibika

  • @jrpatrick2269
    @jrpatrick2269 17 วันที่ผ่านมา

    😀😀😀😀😀 kuondoka??😀😀😀

  • @alihussein4303
    @alihussein4303 17 วันที่ผ่านมา

    Sauti