😮😢😢jambo kaka, asante sana kuonesha city yetu ya Bukavu, ni miaka mingi sana sioni uko, kuanini watu kma vile govenor wa uko ana fanya kazi gani , vumbi mingi akuna canales za maji ya mvuwa.
Sio government ndio ina jengaka mugini ila ni ma company ina saidianaka na government, pia kma una shooters videos uwe na weka camera vizuri, hiyo ni TH-cam watu wote wata kuona...
❤❤❤❤❤❤
😮😢😢jambo kaka, asante sana kuonesha city yetu ya Bukavu, ni miaka mingi sana sioni uko, kuanini watu kma vile govenor wa uko ana fanya kazi gani , vumbi mingi akuna canales za maji ya mvuwa.
ku mwesi ya mai nilikuwa bukavu ku la botte , na lipenda sana bukavu
@@rollyidi karibu tena Bukavu
Haukutuonyesha kwa Kibongee
Kwa Kibonge kuko ku 19em minute
Nakushukuru Dana nami niko wa nguba na Essence
@@erastenkurikiye3547
th-cam.com/video/jEBt-Qw3csg/w-d-xo.htmlsi=azHKYj24NT8_BL9b
@@erastenkurikiye3547 th-cam.com/video/jEBt-Qw3csg/w-d-xo.htmlsi=azHKYj24NT8_BL9b
@@erastenkurikiye3547 kwa KIBONGE tena apa nilipa filmaka 2022 th-cam.com/video/jEBt-Qw3csg/w-d-xo.htmlsi=azHKYj24NT8_BL9b
Kadutu na Bagira ni sehemu ya Bukavu. Ungesema kama mbele ulionyesha commune d'Ibanda sasa unataka onyesha communes za Kadutu na Bagira.
Kiswahili nikigumu kwako ama vipi….ENEYO inamaanisha nini kwako? Problème ya congolais atanafasi hapastaili critiques,il faut toujours critiquer 🤔
Sio government ndio ina jengaka mugini ila ni ma company ina saidianaka na government, pia kma una shooters videos uwe na weka camera vizuri, hiyo ni TH-cam watu wote wata kuona...
Piya sio ma nyumba ndio development, ila ni mabarabara ndio ya maana..
Nikweli kabisa ville kama itakuwa na etage za mingi kama hakuna barabara za muzuri nikazi ya bure
Lakini hautuonesha College d'alfajir
@@UwaseSonia-b2n th-cam.com/video/WPsiK99gNiE/w-d-xo.htmlsi=fAhfjBueUCrMOFeK