ความคิดเห็น •

  • @annesymuna9856
    @annesymuna9856 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Phiona, kweli umepitia Mama. Tunashukuru Mungu mwema aliekutunza hata leo. Nasi tunajifunza toka kwako...naamin ulishinda vyema mapito yako.!!

  • @sekelamwakibete7172
    @sekelamwakibete7172 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Mimi namuelewa sana phiona.... haya mambo usihukumu😢😢😢

  • @HawaAkida
    @HawaAkida 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Wa1 leo naombeni like zangu🥰

  • @MatiasBroo-z7b
    @MatiasBroo-z7b 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atuepushie jaman

  • @sekelamwakibete7172
    @sekelamwakibete7172 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wanaume wanaumiza sana ....I😢😢😢😢.....nawachukia sana

  • @AbelyNyota
    @AbelyNyota 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu, atuepushe na haya. Habari hii inaogofya Mungu, ponya phiona kwa maana matokeo ya dhambi hii ni mabaya, okoa moyo wake apate pumdhiko ndani yake.

  • @HappynesJovenary
    @HappynesJovenary 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yaani hii simulizi lmeniogopesha kuliko simulizi zote ambazo nilisha wai kuzisikilizaga

  • @نجاةالعبري
    @نجاةالعبري 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mnh htr kwel hapa kuna cha kujifunza hak ya mungu jmn

  • @DeodathaMasoud-uo9jf
    @DeodathaMasoud-uo9jf 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ♥♥♥♥ da veronica

  • @margrethmbalinga8338
    @margrethmbalinga8338 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yan imagine MTU anakusababishiaa maumivu,anakupitisha kwenye matesooo halafu alikuoaa mwenyew bila kufosiwa dah😭😭

  • @glorychristopher1845
    @glorychristopher1845 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Story nzur ila matangazo yamezid jaman kha!

  • @swaumphilimini5720
    @swaumphilimini5720 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daah........ Inaumiza san😢😢😢

  • @aisha-t5o3e
    @aisha-t5o3e 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🥰🥰🥰

  • @MichelleMobasa
    @MichelleMobasa 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tupo live❤🎉

  • @gloryngenzi4420
    @gloryngenzi4420 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    hii dunia inanitsha sasa nahis kuogopa 😢😢😢

  • @complex7582
    @complex7582 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna mwanaume anaesamehe kuchitiwa na mkewe

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    vero hyu tumbo tumbo anakela some time 😏😏

  • @Sara-gn6kr
    @Sara-gn6kr 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daaah hii dunia nazidi kuiogopa

  • @PendoMacha-ib6oc
    @PendoMacha-ib6oc 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maskini pole hpiona

  • @Deedlr4767
    @Deedlr4767 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nnachoshangaa fiona anaogopa nn wakat uyo baba ndo wakwanza kucheat mpuuz kabsa
    Roho imeniuma jmn wanaume hawa