Mungu anasema tumsifu na kumuimbia tukirukaruka kama ndama. Hata Daundi alijua hivyo ndipo akazitoa nguo za kifalme akamurukia Mungu. Nyinyi mwamuimbia mkisimama kama vikingi. Na mbona wanawake wajirembesha kwa nywele ambazo zinastahili kuwa simefunikwa, na tena mwanamke anasema katika kusanyiko. Prayers of the disobedient can not be received by angels to take to God.
Kama una hamu ya disco nenda huko alafu waache waje na mapambo yao be atawatubu wamekuja kwa daktari mkuu .afadhali hai waliokuja na nywele zao ka Is a kuliko walio bar au kwa mganga was kienyeji.ujumbe wa mch ni kudumu ktk maombi. Pastor Rei karibu Tanzania
@@josephkirimi5453 hivi Bible inasema daudi aliruka au alicheza hekaluni au wakati akipokea sanduku la agano .hekaluni ni patakatifu hata malaika mbele za Mungu ni kuimba tu mtakatifu mtakatifu mtakatifu.sio kuruka ruka .
I kno why i should pray and pray with who may i be the Hannah in the Bible and be strong and persist in prayer Amen
Happy Sabbath
Greetings. Am healed by the sermons
Wonderful!
Great message am blessed .
Amen😊
Finnishing the work. We must Finnish what we started
Praise the Lord
Amen Lord bless you postor because you have thought me allot in prayer
Amen 🙏
😊
True
Pastor Please Pray for Jay healing fr an accident.also Eric.and Smith.Thanks.Pray for there mothers.and wife and children thanks
Pastor Please Pray for Jay healing fr an accident.also Eric.and Smith.Thanks.Pray for there mothers.and wife and children thanks
Mungu anasema tumsifu na kumuimbia tukirukaruka kama ndama. Hata Daundi alijua hivyo ndipo akazitoa nguo za kifalme akamurukia Mungu. Nyinyi mwamuimbia mkisimama kama vikingi. Na mbona wanawake wajirembesha kwa nywele ambazo zinastahili kuwa simefunikwa, na tena mwanamke anasema katika kusanyiko. Prayers of the disobedient can not be received by angels to take to God.
Kama una hamu ya disco nenda huko alafu waache waje na mapambo yao be atawatubu wamekuja kwa daktari mkuu .afadhali hai waliokuja na nywele zao ka Is a kuliko walio bar au kwa mganga was kienyeji.ujumbe wa mch ni kudumu ktk maombi. Pastor Rei karibu Tanzania
@@ibrahimmjema135 Hamna tofauti kati ya wanao habundu kwa kutotii na wale wanaoimba kwa bar. Wote Mungu anawaona sawa, ni wenye dhambi.
@@josephkirimi5453 hivi Bible inasema daudi aliruka au alicheza hekaluni au wakati akipokea sanduku la agano .hekaluni ni patakatifu hata malaika mbele za Mungu ni kuimba tu mtakatifu mtakatifu mtakatifu.sio kuruka ruka .
How sad you do not have God's symbol of the Three Angel's Message.
Amen 🙏