Mambo 8 yanayo fanikisha kutengeneza business plan bora ya vifaa vya umeme

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Mambo 8 yanayo fanikisha kutengeneza Business Plan bora ya vifaa vya umeme ni muendelezo wa video zinazo tolewa na Tan Business Channel
    Unapotaka kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme kuna mambo mengi muhimu unatakiwa utekeleze.
    Huwezi kutekeleza mambo yote kwa ufanisi kama hauna maandiko yatakayo kuongoza.
    Unatakiwa uwe na Business Plan, ambayo ni dira itakayo kuongoza kuanzisha na kusimamia biashara ya vifaa vya umeme
    Business Plan nzuri ni ile inayo kuongoza kuanzia mwanzo hadi pale utakapo anzisha biashara ya vifaa vya umeme
    Business Plan pia inaweza kukusaidia kupata mkopo kutoka benki na fedha kutoka kwa wawekezaji au wahisani kwa ajili ya biashara ya vifaa vya umeme
    Kwenye video hii tunaeleza jinsi ya kutengeneza Business Plan ya biashara ya vifaa vya umeme
    Tunakuomba subscribe huduma zetu, ili usipitwe na video zetu zinazotoka kila siku
    Sasa unaweza kupata vitabu vyetu vya ujasiriamali na bidhaa nyingine kupitia duka letu la online tanbusiness.my...

ความคิดเห็น •