Kapaso Bkp ft. Sponsor, Fadhili Chunchu - Shisha Singeli (Official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 3

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic ปีที่แล้ว +3

    Shisha Singeli
    Vinanada Classic
    Aaah Chunchu Eeeh
    Ohh Jamani Mapenzi na shisha mi napenda shisha
    Mi mwenzako sipendi mapenzi ya kibongo mi napenda shisha
    We jamani mapenzi na shisha mi napenda shisha
    Siku hizi siyataki mapenzi ya kibongo napenda Shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Oya Weeh
    Kila mtu ana haki ya kupenda anachotaka
    Kuhusu mapenzi mwezenu sielewi
    Kunywa mitungi mibange kula bata
    Yaani mademu ndio mmhh sielewii
    Oya mtanichanganya ukinyima shisha
    Ukitaka ni lose hope we ninyime shisha
    Fadhili utanivuruga ukininyima shisha
    Ukitaka nikufelishe we nyime shishaa
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Kumanisha nini wezee
    Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
    Shii beberuu Kapaso hapa Genius From Tanzania
    Anga Bkp Brand anaitwa sabri night
    Oyaa hii nikiwa na Fadhili chunchu chan
    We bish Dereva wa mkoa
    Nakusalimia mwanangu Kaiser Larden
    Don Mendezi We D smartCode
    Roho safi mwanagu Big stima
    Subiri fadhili Subiri
    Aaah sponsor Mc Hapa
    Mtk

  • @mussadesgner9211
    @mussadesgner9211 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali ❤❤❤❤

  • @mussadesgner9211
    @mussadesgner9211 ปีที่แล้ว +1

    Show kaliiiiiii