asante sana kaka Stive atakama alikuwa ana juwa alihona nimuhimu wakati wa matatizo, watu wana changisha panapo tokeya shida alikuwa naniya nzuri tu, kwa mtazamo wangu nahakiyake hita mteteya ❤.
Hata waziri Mkuu nae waliompa taarifa kuhusu Niffer walimsimulia vibaya bhanaa 😀😀😀🙌 niffer watu ndio wametuma Hela na mda huo serikali ilikuwa Bado haijatoa utaratibu Kwa wale wanaotaka kuchangia 🇹🇿❤️📌
Sio Niffer Pekeake Ambae Hajui Ni watu wengi sana Ambao Hawajui Kuhusu Mfuko huo na Kamati inayo Husika na Majanga ya Kitaifa, Ninacho omba watu wapewe Elimu hii, naimani Kupitia Tukio Hilo la Niffer watu wengi Tumejifunza Kuhusu Kamati hiyo.
Jamani tukumbuke kama Niffer hana historia mbaya ndani na nje ya nchi yetu tuache kumsemea vibaya,tukumbuke huo ubaya tunao msemea utakua deni kwetu na tutaulipa na riba,.
Hata serikali ilichelewa kutoa utaratibu wa kichangia watu wana vyama vyao nawatachangiana je watawazuia serikali nayo ijitathimini kuwa wachukue michango kwa matajiri nawafanyabiashara hii ya mitaani watuachie wenyewe niffer hana makosa hebumwacheni niffer wa watu
Nani amuonee Wivu? Kumbuka kwani mahafa yametokea mara ngap? Alf yeye akusanye pesa km nn? Watanzania wajinga sana. Unajua izo pesa anazipeleka wap? Alishindwa yeye kwenda at hospital kupeleka msaada.
using your power on a helpless person like niffer is oppression… yani waziri mkuu hana haja ya ku prove uwaziri wake, tunajua yeye ni waziri na anaweza kumfunga..
Nikweli steve ila mtu anaefaa kusamehewa Niyule aliekosea Na ukamuambia umekosae anakakubali kosa huyo Ni faster sana kumsamehe ila yeye amekosea Nabado anabishana Na wazili mkuu hiyo kibuli cha aina gani kama wazili mkuu anaweza kubishana Nae ww Steve utamuambia Nini jibu Nikwamba anajua alichokifanya acha apate adabu kwanza apigwe ata myezi sita2 ili kama mtu anampa kibuli ajue kua kapotea
shida ya watu wengi ni wajuaji, niffer mjuaji steve nae ni mjuaji, nae anataka kujifanya anajua sheria, Sheria ifate mkondo wake, ikiwa kila mtu ataamua kufanya uhalifu na akajifichia kwenye kichaka cha kusema hakujua, bhas sheria isingekuwepo.
Sema wabongo wana chuki sana, wasiochanga ndio wanatumia nguvu nyingi kuwa discredit. I am sure Niffer hakujua kama ni kosa kisheria. Na angejua ni kosa kisheria asingefanya. Serikali haiwezi kumfunga Niffer kwa mihemko ya machawa na watu wenye chuki. She will be fine.
Wangapi ulishawahi kuombea wavunjifu wa sheria msamaha ww Steve ni mjinga Sana acha kiherehere ww una mdomo wa kuingialia uvunjaji wa Sheria? Ww kila kitu unajifanya unajua hata ww ulishawahi kutuhumiwa kula michango Sasa unatuambia nn?
Mm namuunga mkono nifa ila diva huyu muongo muongo sana njaa sana kwakweli ila nifa sijui ila ana moyo mzuri japo alikisea ila naamini siku nyingine hato ludia
nI KWELI ILA mUNGU MWEMA NDIYE ANAEJUA NIA ILIYOKUWEPO NDANI YA nIFFER NA mUNGU NI WA HAKI ATATENDA KWA HAKI. MAWAZO YA MUNGU SIO YA WANADAMU. MUNGU ATASIMAMIA HILI
Hakuna cha ujinga hapo sheria ifuate mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine mpaka yeye awe kipaumbele serikali ina fanya kazi gani huo ni utapeli km utapeli mwingine wachukuliwe hatua za kisheria wana tafuta kiki kupitia maafa ya kitaifa km angekua raia ambae hana umaru km nifa je? Ungejalibu kumuombea radhi ndio mngekua kipaombele ya kukanda miza wacha jeshi la polisi lifanye kazi yake na sheria ifuate wewe turia kaka.
Uyo stive pia ndo michezo yake hiyo anapenda sana kujinufaisha kwenye misiba na majanga kama hayo!kwaiyo lazma atetee!!serikali imesha sema kuwa itaratibu mambo yote ya majanga na ndio inayohusika sasa wewe unachangisha kama nani!?hacha kutetea ujinga na iwe fundisho kwako pia
Kwasasa Tunaishi Zaidi Kisanii Kwamaana. Maisha Yetu Siyauhalisia Bali Maisha Yetu Niyakuediti Kwamaana Yakuigiza. Kama Wewe Nimtu Wa Msaada Siunao Ndugu Zako Nahata Majirani zako Sindio Pakujitoa Nakusaidia Ndugu Zako
Stive. Umenyooka
Wengine wanachuki ya ushindani ya biashara. Asante stive
Ufala Tu, kila mtu afuate sheria
Asante kaka Leo umeongea makubwa mno kaka. Asante na ubarikiwe mnoo kaka.
Asante sana Stive, ni kweli binti huenda hakujua ni makosa, tumuombee msamaha.
Kutojua sheria sio utetezi
Niffer, you are a hero. ❤ Umeweza. Apewe elimu siyo adhabu! Open an organisation so you can be able to help!
Kila mtu afuate sheria
Kuma
@flackomasterbaddest4155 wanao kimbilia matusi huwa hawana akili
Steve wewe ni kiongozi kweli kwa kauli hii mungu aendelee kukupa nguvu KATIKA umahili na uelewa wako ubarikiwe sana ❤❤❤
Brother god bless you you really talk the truth nothing but the truth be blessed
Ata mm namuunga mkono stive huyu niffer tumuombee tu msamaha wazo lake halikuwa baya, ila kwa hili tatizo ndo kajifunza tusimseme vibaya jaman
Changamoto majibu shida sio kutokujua
Na hata wasanii wa bongo movie ni wasenge tu njaa zinawasumbuwa sana wanapenda kiki sana afie huko huko
Waaambie babah,,Niffer ni mtu na nusu weuweee❤❤❤❤
Ufala Tu, kila mtu afuate sheria
Sitvu umeongea Asante kwa huruma yako wazir i wetu mkuu ea nchi yetu tunaomba nifa umsamee apewe elimu
asante sana kaka Stive atakama alikuwa ana juwa alihona nimuhimu wakati wa matatizo, watu wana changisha panapo tokeya shida alikuwa naniya nzuri tu, kwa mtazamo wangu nahakiyake hita mteteya ❤.
Allah's.w akuongoze katika Kila jambo stive, Leo nimependa ulivyo ongea, kweli ukubwa dawa
Sawa kabisaaa Steve umeongea vizuri sana 🙏
This is maturity brother nimekupenda 👏👏👏👌👌👌
Namwombea msamaha huyu binti hakujua alitendalo,na Mungu amsaidie,Steve wewe ni kiongozi .
Stev bigup 👍👍👍
Mwenyezi mungu atampa wepesi Amni
Steve unaongea point hadi. Basi tusimchukie niffer Leo kwako kesho kwangu matatizo hayanaga hodi
Hata waziri Mkuu nae waliompa taarifa kuhusu Niffer walimsimulia vibaya bhanaa 😀😀😀🙌 niffer watu ndio wametuma Hela na mda huo serikali ilikuwa Bado haijatoa utaratibu Kwa wale wanaotaka kuchangia 🇹🇿❤️📌
Hata kama hana nidhamu alitakiwa akae kimya
@@desolz3809kabisaaa kiburi na kujiona ashakua mkubwa zaidi ya Waziri mkuu
Sio Niffer Pekeake Ambae Hajui Ni watu wengi sana Ambao Hawajui Kuhusu Mfuko huo na Kamati inayo Husika na Majanga ya Kitaifa, Ninacho omba watu wapewe Elimu hii, naimani Kupitia Tukio Hilo la Niffer watu wengi Tumejifunza Kuhusu Kamati hiyo.
Mwacheni aendelee na maisha yake. Hajakusudia kuibahuyu dada. Kama ni hukumu ni kuzichukua fedha alizokisanya. Wakamateni wahujumu uchumi serikalini
Watanzania tupendane jamaniii
yani stive ume ongea big points sana
Jamani tukumbuke kama Niffer hana historia mbaya ndani na nje ya nchi yetu tuache kumsemea vibaya,tukumbuke huo ubaya tunao msemea utakua deni kwetu na tutaulipa na riba,.
MWENYEZIMUNGU SHUSHA JESHI LAKO UKAMTETE NIFFER
Mmmmh kamjinga vile etishusha keshi makubwaaya
Steve uko sawa
Tatizo nchi hii wenye chuki ni weng kuliko wema,Mungu amsaidie tu mdg wetu naamin hta yeye uhaya utamuisha kupitia hili
Hata mwijaku anashabikia jaman huyu jamaa fala kweli unashangilia kwa mwenzio kukwama halafu mwanamke
Nakuunga mkono kaka angu naamin Niffer hakuwa na nia mbaya hakujua sheria haimruhusu tumuombee sio chuki
Hata serikali ilichelewa kutoa utaratibu wa kichangia watu wana vyama vyao nawatachangiana je watawazuia serikali nayo ijitathimini kuwa wachukue michango kwa matajiri nawafanyabiashara hii ya mitaani watuachie wenyewe niffer hana makosa hebumwacheni niffer wa watu
Wa Tanzania tuache chuki tuelekeze maombi yetu kumuombea Niffer asamehewe makosa yake kwa viongozi wetu wakuu.
Dada anamaadui wengi mno ila ili nalo litapita
Kweli maneno yako, ila wa Tz wamezidi lawama.
Umeongea kweli
Chuki ninyingi sana na amini hakuwa na nia mbaya Niffer anakieleele cha utoto anataka kuonekana kila sehemu
Tatizo kanajibu pamoja na nia yake nzr ilitakiwa akae kimya
Mimi pia namuunga mkono Steve Mengere a.k.a Steve Nyerere kuwa Niffer asamehewe haina haja ya kumfunga.
Kujibu kwake kwenye social media kutamponza
Nakuunga mkono maneno yako n sawa na hii saut ikasikike kumtetea niffer jmn
shida tuliyonayo nichuki kuombeana mabaya selikali nimlezi wavija Yule nimdogo mpeni elimu msameen nibtiyenu nimudogo msameen
Kweli kabisa
Umeonge vzr sana
Hakuna watoto wasenge kama NIFFER FAMILY
Nikweli tumwombee jaman tusihukum
Umeongea ya mana sana kuna watu wana roho mbaya sana wanamchukia sana yule binti kwa mafanikio yake
Nani amuonee Wivu? Kumbuka kwani mahafa yametokea mara ngap? Alf yeye akusanye pesa km nn? Watanzania wajinga sana. Unajua izo pesa anazipeleka wap? Alishindwa yeye kwenda at hospital kupeleka msaada.
Hakuna cha wivu? Mtu akikosa aombe msamaha asiwe na kiburi katika makosa yake
@@davidsika5292exactly
using your power on a helpless person like niffer is oppression… yani waziri mkuu hana haja ya ku prove uwaziri wake, tunajua yeye ni waziri na anaweza kumfunga..
Kwajina lamwenyezimungu mwenye huruma muhurumie Niffer mtoto wamwanamke mwenzetu
Nikweli steve ila mtu anaefaa kusamehewa Niyule aliekosea Na ukamuambia umekosae anakakubali kosa huyo Ni faster sana kumsamehe ila yeye amekosea Nabado anabishana Na wazili mkuu hiyo kibuli cha aina gani kama wazili mkuu anaweza kubishana Nae ww Steve utamuambia Nini jibu Nikwamba anajua alichokifanya acha apate adabu kwanza apigwe ata myezi sita2 ili kama mtu anampa kibuli ajue kua kapotea
Asante steve
Hakuwa na nia mbaya: asamehewe tu
Tatizo limekuwa kubwa duuuh
Watanzania ndio wametuma Hela zao kwake Kwa kuamini zitafika sehem husika badala yake dada wawatu kaonekana Tapeli
Ni kweli Steve. Hicho kibibi Cha kipare kiache roho mnaya kama , Mchawi
Uko sawa mkuu
Duu! Uko sahihi
Wamemtafsiri vibaya .hakutaja jina la mtuu amesema watu wasiwe na wasiwasi
Niffer hana mshauri ndio maana kil kitu anajifanyia anaona sawa inshaallah litapita
Hana niya mbaya aombewe niffer
Ata yule mashalove anajisahau km nimuuza waschana😮 afu anaka kumkandamiza niffer wawatu hanabaya
Nyerere family's hawataki hiyo pimbi itumie Hilo jina2?
shida ya watu wengi ni wajuaji, niffer mjuaji steve nae ni mjuaji, nae anataka kujifanya anajua sheria, Sheria ifate mkondo wake, ikiwa kila mtu ataamua kufanya uhalifu na akajifichia kwenye kichaka cha kusema hakujua, bhas sheria isingekuwepo.
Exactly
Ww ulikuwa ukijuwa km kuna iyo kamati ya maafa watu huchangia?? Roho mbovu tu
Steve asema hamjui niffer na hana haja ya kumjua 😂😂😂😂😂😂😂
Sema wabongo wana chuki sana, wasiochanga ndio wanatumia nguvu nyingi kuwa discredit. I am sure Niffer hakujua kama ni kosa kisheria. Na angejua ni kosa kisheria asingefanya.
Serikali haiwezi kumfunga Niffer kwa mihemko ya machawa na watu wenye chuki. She will be fine.
Kweli ana watu wake alie waambia jamni mana mie sija sikia kabisa kama ana changisha
Inaonyesha malezi mazuri Hana kumjibu mtu mzima kama hivyo ni ukosefu wa adabu. Maana hiyo hata baba yake huenda anamjibu kama anavyo taka.
Steve kutojua isiwe sababu ya kuvunja sheria....angeuliza tuu kma alikua hajui ila kukurupuka na kihereheree kiiiingi kimemponza
Watu bwana " kisa imetolewa amri akamatwe ndo mnajifanya kumuonea huruma" lkn asingekamatwa mngesema pesa zilizotolewa n nyingi kala"
Kweli serekali imsamehe bure tu huyu binti hakufanya kwa nia mbaya, wamuelekeze tu n kumpa elimu
ata mimi najua Niffer akua nania njema
kama niffer ni mtoto basi na steve nae ni mtoto, sio kwa pumba izo.
Mi naona wangemsamahe kwa kupitia nifa wengi wamejifunza mengi,,,alikosea kujichukulia maamuzi mkonon
Ni kwel kabsa stiv umesema vyema hakuna aliyekamilika hata hao serikalin huwa wanachanga na michango mingne inaliwa tu
ichi kibabu kinatetea sana kwa vile na chenyewe kilaji kizuri sana cha rambirambi😂😅
Apo akuna kupepesa macho uyu apewe adhabu ya kupigwa viboko 120 stini matakoni stini mikononi ili siku nyingine kiherehere kimpungue
😂😂😂😂😂
Waziri mkuu msameheni tu huyo bint hakuwa nania mbaya hakujuatu njia zakupita
Kweli kabisa maneno yako nifa alikuwa hajuwi kama nimakosa.wema umeponza
Et simjui na sihitaji kumjua ila hyu mtu mfupi huwa ana vituko😂😂😂😂😂😂
Wangapi ulishawahi kuombea wavunjifu wa sheria msamaha ww Steve ni mjinga Sana acha kiherehere ww una mdomo wa kuingialia uvunjaji wa Sheria? Ww kila kitu unajifanya unajua hata ww ulishawahi kutuhumiwa kula michango Sasa unatuambia nn?
Ndo mana ukawa chair siyo watu Wana argue Kwa emotion
Ndo wajifunze waache kukurupuka
Mm namuunga mkono nifa ila diva huyu muongo muongo sana njaa sana kwakweli ila nifa sijui ila ana moyo mzuri japo alikisea ila naamini siku nyingine hato ludia
Naunga mkono Apewe tu elimu, arudi nyumbani akalale, hana matatizo uyo dogo ni elimu tu.
Kwel mkuu umenena🤛🤛
Ninaiomba selekari yangu impe elimu nifa hakujuwa kama anakosea alijuwa anawajibika kuwasaidia walio pata maafa wazuri mkuu wetu wa nchi msamee nifa
Binti nifaa wamsamehe tu maana kwamawazo yangu alikuwa na nia nzuri tu tatizo hakuelewa mwongozo.
Hawa ndio wale watoto ambao wazazi wao wakisema kitu wanawajibu.
nI KWELI ILA mUNGU MWEMA NDIYE ANAEJUA NIA ILIYOKUWEPO NDANI YA nIFFER NA mUNGU NI WA HAKI ATATENDA KWA HAKI. MAWAZO YA MUNGU SIO YA WANADAMU. MUNGU ATASIMAMIA HILI
Wengi hatujui kama kuna mfuko hatujui
shule ndogo kitengo cha disaster and prepareness planning si kipo amechangish kam nan kutojua sheria sio sababu ya kuvunja sheria
Tumuombee msamaha hakuwa na nia mbaya maana ningum kutumia nafas hii kujipatia kipato
Mnaojuakunipendekeza muombeeni
Taari atakuwa amejifuza,kitu serikari kama,serikari mumsemehe kwakumuonya tu
Utatoka kwenye hili na utakuwa mtu mwema utafanya kwa utaratibu maalumu
Kumbe kuna mda huwa unaakiri nzur hivo
Sasa serikali iko kwa janga kma hilo mbona ujitie kihereheree cha kujionyesha ni mwama?mambo mengine twayataka wenyewe kwa ukubwa wa mitandao
Ivi uyu angepewa kibali Cha kungisha angepata ata milioni mbili au mna mbeza niffer
❤❤❤❤
Sasa só hangeuliza Hawa wanatamaha na ustaa na ela
Nifa kanunua maji ya mil 30 😂
Hakuna cha ujinga hapo sheria ifuate mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine mpaka yeye awe kipaumbele serikali ina fanya kazi gani huo ni utapeli km utapeli mwingine wachukuliwe hatua za kisheria wana tafuta kiki kupitia maafa ya kitaifa km angekua raia ambae hana umaru km nifa je? Ungejalibu kumuombea radhi ndio mngekua kipaombele ya kukanda miza wacha jeshi la polisi lifanye kazi yake na sheria ifuate wewe turia kaka.
WEMA WAKE UTABAKIA KUWA NIMUANGAZA KWAJAMII
Umeongea ra maana tumeombee
Wote ndio hao hao matapeli wa mjinii
Uyo stive pia ndo michezo yake hiyo anapenda sana kujinufaisha kwenye misiba na majanga kama hayo!kwaiyo lazma atetee!!serikali imesha sema kuwa itaratibu mambo yote ya majanga na ndio inayohusika sasa wewe unachangisha kama nani!?hacha kutetea ujinga na iwe fundisho kwako pia
Kwasasa Tunaishi Zaidi Kisanii Kwamaana. Maisha Yetu Siyauhalisia Bali Maisha Yetu Niyakuediti Kwamaana Yakuigiza. Kama Wewe Nimtu Wa Msaada Siunao Ndugu Zako Nahata Majirani zako Sindio Pakujitoa Nakusaidia Ndugu Zako
MUACHIENI NIFFER KABLA MUNGU HAJATUHUKUMU