PONA MASHAKA ULIOKUWA NAYO IKIWEMO UMASKINI , MAGONJWA, N.K ] SHEIKH OTHMAN MICHAEL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @afric01
    @afric01 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah!!! Sheikh Othman umeisoma Ruqya hii with feelings mashallah!!!. Shukran kwa kutuhimiza kua watu wema. Allah anakupenda na sote tunakupenda Sheikh. Natamani watoto wangu wawe wacha Mungu mfano wako. Tuombee sote Sheikh. Tunakupenda sanaaaa. Jazakallahu kheir. Mungu akupe ya dunia na Akhera.Asante.

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 ปีที่แล้ว

    Allahumma amini yaraabi nimepokea uponyaji na kila nililomuomba Allah naamin kwa uwezo wake Allah litatimia aminii yaraabi shukuran jaziran shehe wetu Allah akuzidishie kira rahery

  • @sadakhamis1346
    @sadakhamis1346 3 ปีที่แล้ว +1

    Salam alaikum Yani sheghe nimeisikiliza hii dua nilikua ninaota ndoto za kukutana na wanaume tofauti tofauti nikawa ninahofu afu nikawa sina hamu ya tendo la ndoa na mume wang lakini ninamshukulu Allah kwauwezo wake na kwakupitia dua ulio isoma seivi sioti ndoto izo Wala mwaili kusisimka na hamu ya tendo la ndoa imeludi Yani mwenyezimungu akubashirie pepo akupe kauli thabiti akunusuru na mabalaa na akujaze hofu ya kumuogopa Allah ana maaswi alio yakataza kiukweli mwenyezimungu akupa shufaa🙏🙏

  • @asharamadhanmwabeha614
    @asharamadhanmwabeha614 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalamualaikum shekhe me nmeskia visomo vyako wallah naitaj kisomo mimi sai nko qatar naomb Dua shekhe nliota nazungushwa nyoka mwilin sai kila nkikaa naisi nyok ananitambalia mwilin wallah shekhe naitaj kisomo Kwan nateseka sna

  • @halimamashallahtabarakalla9784
    @halimamashallahtabarakalla9784 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah m/mungu akuzidishie kwa elmu unayo isambaza

  • @shalifakiyao
    @shalifakiyao ปีที่แล้ว

    Manshalla manshalla shehk Othman nakupenda kwaajili ya alla

  • @sharifaali2439
    @sharifaali2439 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalaam Aleykum shekh othman nashkuru sanna kwa rukya Allah akujaalie kher na baraka akupe nguvu na afya Na maisha marefu kwani msaada wako ni mkubwa sanna nilikuwa na matatizo kwa hizi siku tatu niloanza kuskiza rukya Alhamdulillah naona mabadiliko Alhamdulillah Allahu baariik yaarabby

  • @zulfawaithera5479
    @zulfawaithera5479 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah..sheikh wetu.. Allah akulinde

  • @hanifaothman5347
    @hanifaothman5347 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Shukran Jazeeran uwanafatilia sn vipindi vyako mimi ni mtanzania ila nipo Oman kwasasa InshAllah nikirudi tanzania nitakuja unipatie dua

  • @sharifaali2439
    @sharifaali2439 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalaam Alykum shekh wetu Allah akujaalie kher na baraka ziwe juu yako kwa msaada wakisomo chako nashkuru tokeya nisikize kisomo hichi naona nafuu kiasi Alhamdulillah Allah akupe umri akuwezeshe yaarabby kwani umetusaidiya pakubwa na jaza yako iko kwa Allah Aamiin yaarabby

  • @maisaalawy4512
    @maisaalawy4512 3 ปีที่แล้ว

    Allahuma Ameen Allahuma Ameen tabarak Allah.

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran jazakallab kheir, Ameen ameen yaraab alamiin Insha Allah sote jamii Islam. Allah akujaalie kila la kheir katika ilmu yako azidi kutubarik daima 💕💕

  • @ankdullahtv1693
    @ankdullahtv1693 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mung akujaalie pepo

  • @aishamohammed2427
    @aishamohammed2427 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +4

    Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah. Shukran jazakallab kheir kwa Dua hiyo sheikh💕💕

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 ปีที่แล้ว

    Shuku ran jazakakum Allah khery

  • @aliidrisahmadhuvavaruu4918
    @aliidrisahmadhuvavaruu4918 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleykum shekh Othman Michael masha Allah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 3 ปีที่แล้ว +2

    ماشاءالله تبارك الله جزاك الله خيرا شكرا يا شيخ

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran wajazaqa mu Allah hul kheir

  • @aliidrisahmad5797
    @aliidrisahmad5797 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh

  • @azizahamis8024
    @azizahamis8024 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah,shekhe wetu Jazzakallaahu khairan.

  • @skam8800
    @skam8800 3 ปีที่แล้ว +1

    mashallah asante sana shekh

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @mysalhasadala1985
    @mysalhasadala1985 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah allah akuongoze na kheri nyigi akuondolee na shari zake🙏🙏❤❤

  • @aminahusen6072
    @aminahusen6072 3 ปีที่แล้ว +1

    As saallaam Aalaiykum warrhmatullah wabarakatuh shukran sheikh JazzakaAllahu kheir. Kisomo kizuri sana maashaallah. Allah akulipe kila lakheri inshaa'Allah

  • @aliidrisahmadhuvavaruu4918
    @aliidrisahmadhuvavaruu4918 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleykum

  • @aliidrisahmadhuvavaruu4918
    @aliidrisahmadhuvavaruu4918 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleykum warahmatullahi

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah tabarakaAllah sheikh wangu

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Allihamdulillah

  • @claudemp701
    @claudemp701 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh shukran kwa kisomo Allah Akulipe kila jambo la heri nilikuwa namatatizo ila tangu niaze kusikiliza viisomo hivi Alhamndulillah

    • @aliidrisaxmad856
      @aliidrisaxmad856 3 ปีที่แล้ว +1

      Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
      52710094

    • @aliidrisaxmad856
      @aliidrisaxmad856 3 ปีที่แล้ว +1

      Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
      52710094

    • @aliidrisaxmad856
      @aliidrisaxmad856 3 ปีที่แล้ว +1

      Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
      52710094

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa allah tabarakallah

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah ❤

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 3 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah shukran kwa kutusomea ruqiyah , Allah atuponeshe sote tulionamatatizo ya kichawi has ad na majini .
    Sheikh mm sikutapika lkn nilikua najihisi using zip na kusinziq je hiyo pia ishara ya kua niko na majini?

  • @Africadigitalchannel
    @Africadigitalchannel 3 ปีที่แล้ว +1

    assalam alkum Ustadh mashallah kwazi unafanya allaha Akujalie undelee kutupa Dua me nko keny na me ni comedian yani life yangu imechange sana baada ya kuwa poa baada ya miaka mbili hivi Naomba Dua

  • @quibibiabdalaabdala8864
    @quibibiabdalaabdala8864 3 ปีที่แล้ว +1

    Machallah

    • @aliidrisaxmad856
      @aliidrisaxmad856 3 ปีที่แล้ว

      Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
      52710094

    • @aliidrisaxmad856
      @aliidrisaxmad856 3 ปีที่แล้ว

      Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
      52710094

    • @aliidrisaxmad856
      @aliidrisaxmad856 3 ปีที่แล้ว

      Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
      52710094

  • @mejuomar4397
    @mejuomar4397 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam Aleykum shekh wetu mi naomba kuuliza..mimi nipo qatar ila namba hizi nlituma ujumbe kwa njia ya whatsup na ujumbe ukasomwa ila sikujibiwa au lazima mtu apige simu direct

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @aliidrisahmad5797
    @aliidrisahmad5797 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh

    • @alikauku7516
      @alikauku7516 2 ปีที่แล้ว

      Mashallah othuman shehekh mm leo naondoka Kenya leo hishallah nataka nifike ukokwako hishallah