Huyo sio wa kupigwa bakora anaweza pig kelel huyo wa kumzimua ngumi za mdomo kama unapiga mwizi af unachakqza kqbisa kisha unqmperek hospital unasema kqshapatikn
Shemeji anamiaka Singapi huyu shemiji ungemuambia chooni hakuna mtu angemsikia kama mimi ningemkusanyia watu na mama ake ningemuita aje aone fedheha ya mwanae unamlinda shemeji mmoja wakati mjini wapo kibao unamtaka shemeji yako huku unaogopa
Yaani kaka meamba mm ni mfuatilisji wa story zko! Robo tatu ya story zako Huwa unazungimzia usaliti wa wanawake katika nyanja tofauti,vp kuhusu USALITI wa wanaume?.........story kama bodabofa wangu,kariakoo hii na nyingine kama tatu hivi nimezisahau! The same theme! Hebu uje na kitu kipya kama ni usaliti waguse na wanaume! Sijui mke wako ana tabia Gani!
Jaman pole sana
Nzuri sana jamn ❤
Jaman hv nikwel au mbn kama igizo vile
😂😂 huyo mama ana akili kweli
Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao mwamba 😘😘
We umeisikiliz
Ndio 🤣🤣🤣🤣🤣❤️
Jamani mwamba tego vipi au ndio haipo tena😂😂😂
Huyu shem amkule tu Mambo yaishe 😂😂😂😂
Ulipenda tu na weye kwa nini ile siku ya kwanza aukusema kwa kaka yako unamukuta nyumbani kwako sema kweli
Mzinifi yoyote hakosi uwongo janaume zima etilimezidiwa nguvu na mzinzi mwenziye atakuwa anamtaka .
🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤🎉
Wenye uvumilivu kama songwe tujuane😢😢
Ila wanawake wengine😢
Duu kazi kweli
❤❤❤🎉🎉
Na Anapenda kukaa uchi siatarihii😂😂😂😂❤❤
Litupie nje usiku Waite wahuni waje wali bebe usiku
Tayari hapa,,
❤❤❤🎉🎉
Iv hii stor nikweli au atuelew ujuwe
❤❤❤
❤❤❤🎉
hii inamlenga yule dada wa tanga muongo
Yaan me ningekua ndo songwe ningemcharaza bakora sana mpk mwenyewe angeomba kutoka
Huyo sio wa kupigwa bakora anaweza pig kelel huyo wa kumzimua ngumi za mdomo kama unapiga mwizi af unachakqza kqbisa kisha unqmperek hospital unasema kqshapatikn
Pokea sm
❤❤❤🎉🎉
Shemeji anamiaka Singapi huyu shemiji ungemuambia chooni hakuna mtu angemsikia kama mimi ningemkusanyia watu na mama ake ningemuita aje aone fedheha ya mwanae unamlinda shemeji mmoja wakati mjini wapo kibao unamtaka shemeji yako huku unaogopa
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉
Ila huyu kaka ana subra kweli😂😂
Kwani si umpe tu huo utamu 😂
😋😋😋😋😋
❤❤❤🎉🎉
Shemeji weee aaaa we mtoto unautaka na wewe unajijaza kisabuni
Mimi Naomba adhabu ya huyo dada iwe ni kumpoteza ndugu yake mama yake ya kaka ake
Jamani wapoteza muda tyuu apo ludi ukampe shem kitu
Unatoa wap nguvu ya kulala na mke wa ndugu yako kabisa wa kuzaliwa na ndugu yupo hai na wajachana
Nikiskia majina ya mitaa ya tanzania najihisi kama nami nipo ndani ya story yan huyo shemeji angekula mshedede wa chapa chap mambo yasiwe mengi
Sasa huyo mama sarah ni binadamu au ni shetani? Maana hana huruma na mtoto wake, mume wake,na ata mama yake jamani,do! Hatari kweli.
Maliza bas stor na wewe MB zinaisha sasa
Mbona leo fupi
sasa nawew si umpe 😅
Kwakweli ampe tu roho yake irizike na uroda 😂😂😂
Unatumalizia vocha
Sasa ndugu yangu siunaacha tu kusikiliza kama hauna vocha haujalizimishwa na mtu bwana we 😮😮😮😮😮😮
Kwan uliitwa 😂😂😂
huyu jamaa simkweli anawapotezea watu mda tuu kwa nini asiwe muwazi yeye kaa
hajamla huyo shemegi yake basi huko njiani kumla
Haifunguk
Yan msomi mzm na haujui kusoma na haujui kwanini haifunguki😂😂😂
Ila msomi kisoda😂😂😂🙌
😂😂😂😂
Mbn aifunguk
❤❤❤🎉🎉
😂😂 aifunguki kwasababu mda unakua haujafika sikuna kengele hapo chini jamani unagonga basi unasubiria
Mbona haifunguki mnaoelewa tuelekezeni nini tufanye
Mda bado
wee kwanin toka siku ya kwsnza hukumwambia kaka yako
Jamani naombeni kuuliza hivi hii stori ni kweli?😅
Kama sio kweli sasa kwanini unasikilizi 😮😮😮
@@zenaathumani8144 haya bwanaa
😂😂dada wa majibu😂😂@@zenaathumani8144
Ila huyu mwanamke anakera duuh
@@MoshiMoshi-qy8dqsumbe nae mjinga mjinga cjui msukuma wa wap
Yaani kaka meamba mm ni mfuatilisji wa story zko! Robo tatu ya story zako Huwa unazungimzia usaliti wa wanawake katika nyanja tofauti,vp kuhusu USALITI wa wanaume?.........story kama bodabofa wangu,kariakoo hii na nyingine kama tatu hivi nimezisahau! The same theme! Hebu uje na kitu kipya kama ni usaliti waguse na wanaume! Sijui mke wako ana tabia Gani!
Ishughulishe akili ako kaka😂
Wewe nimjinga nahuyo shemejio pia mjinga
Ujinga tu mpaka hapo unamakosa makubwa kusumbuwa watu bora hata umwe ukalazwe na wewe kimya akae na kaka ake