Pond filtration system/mfumo wa kusafisha maji kwenye bwawa la samaki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Katika juhudi zakuboresha nakurahisisha ufugaji samaki kisasa Tanzania,sasa Positive eye Co. Ltd tunakuletea mfumo wa kusafisha maji katika bwawa la samaki ili kuhakikisha ubora wa maji na hivyo matokeo bora kwa mfugaji samaki wa kisasa pasipo mfugaji kulazimika kubadilisha maji mara kwa mara. Tunauza mifumo hiyo ya size tofauti tofauti karibu kuweka oda yako kulingana na malengo yako.

ความคิดเห็น • 2