From Tanzania naitwa Elisha athuma mfuru Niko mwanza naomba maobezi ya biashara yanga yaspare famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen
Pasta Esiekil baba mungu apewe sifa Mimi naitwa Joseph oduor nimeokoka lakin nikuwa nataka nikuje unifubguwe juu roho inatamani kuimba kuomba kuubiri laki sichijuwi
Thiis songs blesses me so much. Indeed a gospel song is the spirit that lives in that person. I only used to hear bits of this song .. now since I discovered this video I cannot get enough of it. God show me how to a better person in Christ.
Mtumishi wa mungu niombee mm na mwanangu mm nipo Kenya na bwanangu tumeachana kaniachia mtoi ako hom tz kw a mamangu pastor niombee niwe na moyo wa kusonga mbele hakuna kitachonitenga na yesu wangu
Msalaba ni bora kuliko vyote.Yesu,Aliyanunua maisha yangu kwa bei kali!!! Mimi ni mali yake;Mungu! Kitu gani kitanitenga na Yesu Mwokozi wangu? Hakuna,kabisa!!!
pasta bwayesu asifiwe namatumaini mkosalama katika bwana Amen 🙏🙏 pasta niombee family ygu napia mm uniombee mtumishi niko mbali riadhi plz nikumbuke kwamaombi Amen 🙏🙏🙏
I love you so much the brother of Jesus,postar pray for me and my kids, haswa mtoto wangu mkubwa,watu wakwao awamtaki, shuleni alikua vizuri , kufika class 3 mtoto wangu alibadilika upto now ajui chochote 😢has a mother inaniuma poster 😢 my son amekua akiniletea mazawadi from shule, Sahi nikiitwa na mambo mengine to postar 😢 please pray for me
Mungu mwenye alipea Hannah na Sarah atakupea usivunjike Moyo God says come to me bring your problems to me ,Leta mizigo yako nitayapumzisha .Just Amini kila kitu kitakuwa Sawa 🙏🙏🤦
Poster Ezekiel hio wimbo inanibariki sana nashukuru mungu tu hakuna kitu kitanitenganisha na mungu wa ombea watoto wangu na Mzee wangu na mum asikiipoa Amen
Na watch live kutoka narok,Mimi ni Irene nafurahia Sana tumeshida kesi you are free pastor in Jesus name.walio kupaka matope ,leo ni wewe kesho ni wao, hakuna atakaye bishana na jina la mungu.
Glory to God, this song has not only blessed me but also gives a deep thought about my relation with Jesus Christ, thank you Lord Jesus Christ holy spirit for salvation. Amen
Bwana asifiwe akii napenda hii wimbo inanifuza mengi balikiwa😢 pastor,,Niko Saudia nikumbuke kwa maombi plz Niko napitia magumu waja Mungu anipinganie ame,,plz pastor kama kuna siku utatufanyia ibaada wakenya wote wenye tuko Saudia, Qatar, Lebanon,bahalin,,plz plz kwaza wenye tuko Saudia plz palikiwa pamoja nnfamilia yako pastor Sara amen❤,,, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢tukupuke huku n shida tuu waja Mungu asimame n sisi😢 akii
Pastor Ezekiel kindly niunganishe na mume wangu Meshack Taracha..na watoto wangu Vkey...na Vney..niko Nairobi wako Webuye...fungulia my best half milango ya kazi nami pia....watoto wangu wape nyota ya masomo....nitolee spirit of rejection... Amen 🙏🙏🙏
Bendera ya ushindi wangu ni wewe yesu,mungu mwenye ushindi atakushindia,huyu mwokozi wangu hakuna kitu daima kitanitenga naye,heshima na utukufu ni zako baba yangu pokea
Pastor mh pia niombe pastor niweza kupata kazi pastor pamoja n family yetu and also my is filling unwell just pastor pray for my mom umuondelee vifo vya mapema pamoja n baba yangu
Not even ur arrest and fabricated allegstions will separate me from the love of God. The church is praying u must emerge victorious for the body of Christ 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor this song always make me not give up in life coz sometimes I used to be hopeless in life😭😭😭ady nitamani ata kutoka dunia hii yaani nmepitia mengi sana nmteswa na wachawi kutoka kwa familia yngu lkn Mungu yupo 🙏mniombe tafadhali na mm pia nikiomba uku😭😥😥😥God will bless you
Pastor niombee maana maisha yangu imekua yakuangaika nakukataliwa na watu yaan mpaka nmefika mwisho nahitaji maombi 🙏😭😭akuna kitu kitanitenga n yesu mwokozi wangu
Hello pastor niombee ndoa yangu isimame na pia mum wangu anasumbuliwa na magonjwa 😭😭😭ikome juu nko na yesu hakuna kitu ambacho kitanitenganisha na bwana🙏🙏🙏
Hakuna kitu chochote ambacho kitanitenga na uso wa mungu wangu biashara zangu zilikua chini hakuna kuuza hata chochote but wakati nilihudhuria mkutano uliokua Kisumu kirembe ground angalau biashara imeanza kutembea aliyekua amefunga biashara zangu yamurudia yenye mwenyewe
Hakuna chakutenganiza mwiokozi wangu
From Tanzania naitwa Elisha athuma mfuru Niko mwanza naomba maobezi ya biashara yanga yaspare famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen
Niombee pastor
Mapito ni ya mda akuna cha kuniteganisha na yesu
Hakuna kitakachonitenga na yesuu
My pastor forever
Pastor ombea dada yangu ameingia kujifungua kwa operesheni atoke salama na mtoto wake Asante Yesu!!!!!
God bless you man of God
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Pasta Esiekil baba mungu apewe sifa Mimi naitwa Joseph oduor nimeokoka lakin nikuwa nataka nikuje unifubguwe juu roho inatamani kuimba kuomba kuubiri laki sichijuwi
Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Am Eliza, I pray for God to be seen in my family and destroy all evil altar which was made against my life I know he will answer me 🙏🙏🙏
Thiis songs blesses me so much. Indeed a gospel song is the spirit that lives in that person. I only used to hear bits of this song .. now since I discovered this video I cannot get enough of it. God show me how to a better person in Christ.
Akuna kitu itanitenga na bwana yesu amen poster niombe maisha aijakuwa rahisi tangu ni nitoke shule amen
Kitu gani kitanitega na yesu mwokozi wangu
Pastor mm niombee niko saudi n sina kazi ❤❤❤❤❤
Kweli kabisa🙏🙏🙏
Hakuna kitu kitakacho nitenganisha na yesu mwokozi wangu😭😭😭
Very powerful
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😭😭😭😭😭😭😭😭YESU MOKOZI WANGU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mtumishi wa mungu niombee mm na mwanangu mm nipo Kenya na bwanangu tumeachana kaniachia mtoi ako hom tz kw a mamangu pastor niombee niwe na moyo wa kusonga mbele hakuna kitachonitenga na yesu wangu
Msalaba ni bora kuliko vyote.Yesu,Aliyanunua maisha yangu kwa bei kali!!! Mimi ni mali yake;Mungu! Kitu gani kitanitenga na Yesu Mwokozi wangu? Hakuna,kabisa!!!
My favourite song❤❤❤❤❤❤
pasta bwayesu asifiwe namatumaini mkosalama katika bwana Amen 🙏🙏 pasta niombee family ygu napia mm uniombee mtumishi niko mbali riadhi plz nikumbuke kwamaombi Amen 🙏🙏🙏
Please pastor pray to me so that i can pass my exam and spread the gospel amen
Postar prayer for me ,my family and my daughter's doinding kcpe exam
Thank God
I love you so much the brother of Jesus,postar pray for me and my kids, haswa mtoto wangu mkubwa,watu wakwao awamtaki, shuleni alikua vizuri , kufika class 3 mtoto wangu alibadilika upto now ajui chochote 😢has a mother inaniuma poster 😢 my son amekua akiniletea mazawadi from shule, Sahi nikiitwa na mambo mengine to postar 😢 please pray for me
I thankGod today because am where I am today because of this higher altar
I would like the LORD GOD who you believe in him anitumie na mimi katika kufanya yote ya mpendezayo zaidi na zaidi.AMEN.
Mungu kumbuka familia yangu
Hakuna kitu itanitenga na yesu mwokozi wangu🙏🙏🙏
❤❤❤In love with this song😢can't get enough of it
Pastor pray for me na univunjie madhabau ndani ya maisha yangu
Pastor niombee nipate watoto nimeteseka miaka mingi.
God answers prayers,Mungu atatenda
God will answer your prayers .,. believe in him🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu ajibu maombi yako
Mungu mwenye alipea Hannah na Sarah atakupea usivunjike Moyo God says come to me bring your problems to me ,Leta mizigo yako nitayapumzisha .Just Amini kila kitu kitakuwa Sawa 🙏🙏🤦
Poster Ezekiel hio wimbo inanibariki sana nashukuru mungu tu hakuna kitu kitanitenganisha na mungu wa ombea watoto wangu na Mzee wangu na mum asikiipoa Amen
Haya majaribu yanaumiza paster niombe
Hakuna kitu kitakacho nitenganisha na YESU🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hakuna Cha kunitenga na YESU mwokozi wanguu.🙏
Kittu gsni kitanitenga na yesu mwokozi wangu! Nipe mke Hadija
🎉🎉 all is well if we abide in him. Mbele iko clear kwa jina la mwokosi.
Niombee kuna madhabau ninataka kunitesa.
Ya mchawi na ninarudi uko Kenya,Nisaidie maisha yangu
nihishi,sai niko mngojwa naumwa na mwili wote.
hakuna kitakacho nitenga na yesu 🙏🙏
Na watch live kutoka narok,Mimi ni Irene nafurahia Sana tumeshida kesi you are free pastor in Jesus name.walio kupaka matope ,leo ni wewe kesho ni wao, hakuna atakaye bishana na jina la mungu.
Asifiwe yesu,pastor naomba mtoto wangu apone,atembee n aonge ako n miaka mbili n miezibili.mungu amutee me Haya mathabau.amen
Pst ombea mtoto wangu elijivia anaongojwa wa sokoceli anemia just pray for her in Jesus name amen
Glory to God, this song has not only blessed me but also gives a deep thought about my relation with Jesus Christ, thank you Lord Jesus Christ holy spirit for salvation. Amen
No one can separate me with Jesus Christ my savior of my life
No satanic weapon that will prosper into my life 🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana asifiwe akii napenda hii wimbo inanifuza mengi balikiwa😢 pastor,,Niko Saudia nikumbuke kwa maombi plz Niko napitia magumu waja Mungu anipinganie ame,,plz pastor kama kuna siku utatufanyia ibaada wakenya wote wenye tuko Saudia, Qatar, Lebanon,bahalin,,plz plz kwaza wenye tuko Saudia plz palikiwa pamoja nnfamilia yako pastor Sara amen❤,,, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢tukupuke huku n shida tuu waja Mungu asimame n sisi😢 akii
😢
Amen kitugani kitanitenga na yesu mokozi wangu
Amen
Pastor Ezekiel kindly niunganishe na mume wangu Meshack Taracha..na watoto wangu Vkey...na Vney..niko Nairobi wako Webuye...fungulia my best half milango ya kazi nami pia....watoto wangu wape nyota ya masomo....nitolee spirit of rejection... Amen 🙏🙏🙏
Akuna kweli kitu yenye itanitenga na yesu amina need your prayers.
Pastor ombea family yangu ikuwe n amani pia mimi nipate mtoto amen
Baba wetu wa mbinguni 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 tenda jambo maishani mwangu nmechoka kukaa pekea yangu nipe ndoa ya heshima kwa jina la Yesu
Bendera ya ushindi wangu ni wewe yesu,mungu mwenye ushindi atakushindia,huyu mwokozi wangu hakuna kitu daima kitanitenga naye,heshima na utukufu ni zako baba yangu pokea
Paste ombea ndoa yngu pamoja jamii yangu kwajili kufunguliwa
Pastor mh pia niombe pastor niweza kupata kazi pastor pamoja n family yetu and also my is filling unwell just pastor pray for my mom umuondelee vifo vya mapema pamoja n baba yangu
Postar naomba uniombee kazi kwa sasa sina kazi niko tu ofisini😢😢😢
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 God bless you pastor in Jesus name
Itreally strengthen me and know that I am not alone i am with God
God bless you!
Bwana Yesu apewe sifa🙏🙏🙏🙏
Man of God be blessed Ezekiel you are called to serve nations we respect your working
I need your prays am becky from saudia plz plz
Nimebarikiwa sana nashuru Mungu niombee jamii yangu
Not even ur arrest and fabricated allegstions will separate me from the love of God. The church is praying u must emerge victorious for the body of Christ 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Just prey our family and children am Saudi Arabia rafaha tena uniombee nwe n usalama mahali nipo
Pastor niombee nkue n maisha mazuri pamoja n familia yetu
I connect mwende Caro Peter Charles winnie and sophias family with this higher altar GOD to intervene
Pastor this song always make me not give up in life coz sometimes I used to be hopeless in life😭😭😭ady nitamani ata kutoka dunia hii yaani nmepitia mengi sana nmteswa na wachawi kutoka kwa familia yngu lkn Mungu yupo 🙏mniombe tafadhali na mm pia nikiomba uku😭😥😥😥God will bless you
Pastor when you are worshipping,am really touched and gaining hope,May Almighty raises you until one day you be father of many
Asante baba wangu wa kiroho wimbo unni bariki sana
Amen 🙏🙏akuna cha kunitenganisha n yesu mwokozi wangu amen ev Ezekiel be blessed
Akuna kitu kitanitenga yesu nashukuru daddy unaiua moyo wangu
Oooh Jesus hakuna cha kuniteganisha na wewe
Pastor niombee maana maisha yangu imekua yakuangaika nakukataliwa na watu yaan mpaka nmefika mwisho nahitaji maombi 🙏😭😭akuna kitu kitanitenga n yesu mwokozi wangu
Ombea mtoto wangu akiwa shuleni nyuki ina mfata mahali. Popote akienda. Jina lamtoto ni. Mary
Pia mimi hii nyimbo yako inanibariki sana mungu akubariki na akuzidishie mimi niko malindi naomba unikumbe na maombi pastor
IAM blessed by this song glory be to God of Ezekiel
Akuna kitu kitanitenga ngana yesu mwokozi wangu
Always god is good
Pastor ombea watoto wangu nyumbani siko nao niko saudia bia mm uniombee
Hello pastor niombee ndoa yangu isimame na pia mum wangu anasumbuliwa na magonjwa 😭😭😭ikome juu nko na yesu hakuna kitu ambacho kitanitenganisha na bwana🙏🙏🙏
Ameeni 🙏🇹🇿😭🙏🙏🙏🙏 Hakuna jitoa kwako Jehovah 🙏😭🙏😭🙏🇹🇿
I have found myself hear after what is going on,,, but I know God is watching everything shall be well 🙏🙏🙏 Ezekiel I believe in what you do
blessed song waaaah
Hakuna chochote kitakachonitoa kwako Yesu, ninakataa kila jambo baya maishani mwangu.
Akuna kinacho weza nitenga na yesu ataisemwe Magali hata nitukanwe ,nidahauliwa, nipo na yesu Wangi Hadi mwisho
Lord I pray for my daughter to graduate this year najua utatenda
Mungu naomba niokoke ,, Pastor niombee maisha yangu imekwama niko na 34 yrs Sina mtoto,Sina nyumba chochote naanza haifaulu,ulevi na kulala nje .
Shida,tabu, Raha Wala mwanadamu havitanitenga na YESU MWOKOZI
Natamani ni fikie hicho kiwango ch warship
Akuna chakunitenga na yesu mwokozi 🙏 wangu
Hakuna kitu chochote ambacho kitanitenga na uso wa mungu wangu biashara zangu zilikua chini hakuna kuuza hata chochote but wakati nilihudhuria mkutano uliokua Kisumu kirembe ground angalau biashara imeanza kutembea aliyekua amefunga biashara zangu yamurudia yenye mwenyewe
Huu wimbo naweza husikiza a hundred times bila kuboeaka.huwa mabarikiwa sana.thanks PST Ezekiel ubarikiwe
Pastor please 🙏 pray for my family na watoto wangu ziko na wao Niko mbali nao.
Amen
Hapana,ninakataa kabisa
Aliyenunua Maisha yangu kwa damu ya bei ghali.Kweli hakuna Cha kunitenganisha na Yesu🙏
Kitu gani kitanitenga na Yesu mokozi wangu
Amen l wish to be at home so that I reach you for salvation
Amen be blessed a man of God huu ŵmbo hua unanitoa machozi
Nothing shall separate me from the love of God
Mungu wangu NAMI nikumbuke unapobariki wengine,Mungu nope ufunguo was nyota yangu nakuomba BABA