12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 14.12.2024.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
- Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451
Hiyo damu ya yesu nikinywa iniondolee magonjwa visirani kwa ndoa yangu na pia mume anguapate kazi na pia mungu afungue njia zangu za kifedha na pia mtoto wangu apate nyota ya masomo amina
Amen 🙏 thanky God
Happy sabbath brethren
Yesu hiyo damu yako SIKU ya Leo iniletee baraka hapa pamoja na familia yangu tufunguliwe umaskini utoweke🙏
Mungu nisaindie nipate pesa kwa Ali ya juu adi maadui washangae
Mungu nibariki na uniondolee ndoto mbaya wachawi wasinifute
Nadai hiyo damu iniongoze kwa jina la yesu kristo leo hii
Nifunguliwe kupitia hii damu ya Yesu
😮😮😮
Nishike mkono bwanaa yesu usiniache naomba pia christo uzidi akili zangu ili nikujue wewe yesu wangu na unipe kibali cha maombi ili tamaa inayoleta mauti isinitawale
nani anajua kwenye pastor Ezekiel ako sai