nuru imegeuka giza sipaoni ninapo tembea ila aliapa atakua mwanga sasa simuoni nawaeleza kweli mapenzi mapenzi ni donda sugu sumu ukishazama moyo bora usukume damu tuyawache hayo mengine ya balaa ningejua nisinge penda haya maumivu kweli yananitesa ningejua nisinge penda haya maumivu kweli yananitesa Nimezama kwenye jonzi,kwenye jonzi,kwenye jonzi Nimezama kwenye jonzi,kwenye jonzi,kwenye jonzi
nuru imegeuka giza sipaoni ninapo tembea ila aliapa atakua mwanga sasa simuoni nawaeleza
kweli mapenzi mapenzi ni donda sugu sumu ukishazama moyo bora usukume damu tuyawache hayo mengine ya balaa
ningejua nisinge penda
haya maumivu kweli yananitesa
ningejua nisinge penda
haya maumivu kweli yananitesa
Nimezama kwenye jonzi,kwenye jonzi,kwenye jonzi
Nimezama kwenye jonzi,kwenye jonzi,kwenye jonzi
❤❤❤
🇲🇿🔥😎
Kizaziii
👍
Brother 🔥🙌
👍